Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Ongea nae kwanza upate mtizamo wake kwanza kuhusu kurudia mtihani au kwenda kusomea kazi.
Kama kurudia mpe QT
Kama course zipo nyingi mfano
Ususi.upambaji.urembo
Hotel management
Computer graphic designs
Kozi zifuatazo atamaliza ila kazi itamsumbua kwani watadai cheti cha kidato cha 4
Secretarial studies
Record management
Human Resources
Business Administration
etc
 
kwao ni Moshi?
kama ni Mchagga huenda akawa na ndoto za biashara
muendeleze kwa cherehani akikua ataingia katika biashara ya nguo na kuendelea zaidi
kwa Div 0 kidato cha IV kwa shule za Day kwa Dar hataweza
 
Ongea nae kwanza upate mtizamo wake kwanza kuhusu kurudia mtihani au kwenda kusomea kazi.
Kama kurudia mpe QT
Kama course zipo nyingi mfano
Ususi.upambaji.urembo
Hotel management
Computer graphic designs
Kozi zifuatazo atamaliza ila kazi itamsumbua kwani watadai cheti cha kidato cha 4
Secretarial studies
Record management
Human Resources
Business Administration
etc
Thanks mkuu
 
Mdada wa miaka 17 kupata 0 form 4,ni vema mpate muda wa yy kujikubal na kuachnowladge hayo matokeo. Na awe vigilant ku realise and recognise core factors zilizomfanya aface those poor results. Hii itamsaidia atakapo rud class aweze kuonyesha man's ability and man's resilience to rise from the ashes of destruction.
 
Kwanza pole sana mkuu inaonekana mtt kaferi si kwamba hana akili bali ni mazingira na shule aliyokuwepo kama ndivyo basi naomba mtt asipelekwe ufundi wala wapi huyu uwezo wa kufauru bado anao isitoshe bado mdogo cha kufanya mtafutie masomo ya qt hakuna mbaya hata akipoteza mwaka kwa kutafuta crdt then kama akipata mtafutie chuo kizuri cha maswala ya afya(kama alisoma sayansi )achana na advance mtapoteza mda na hela
 
Kwa sasa ukimuuliza anataka nini atajibu kitu chochote maana hakutegemea hayo matokeo kwa kifupi hata wewe utajichanganya,hebu tulieni kwaza tena umwambie kufeli mtihani sio kufeli maisha,tulieni hadi mwezi huu uishe then mkae pamoja mjue kipi cha kufanya.
 
Nakushauri usimpeleke ufundi arudie kidato cha kwanza shule tofauti na shule aliyo soma!! Ukizingatia sasa hivi chini ya Dr Magufuli elimu ni bure!! Kumpeleka ufundi ni kumpotezea mda wake na wako!!
 
Ongea nae kwanza upate mtizamo wake kwanza kuhusu kurudia mtihani au kwenda kusomea kazi.
Kama kurudia mpe QT
Kama course zipo nyingi mfano
Ususi.upambaji.urembo
Hotel management
Computer graphic designs
Kozi zifuatazo atamaliza ila kazi itamsumbua kwani watadai cheti cha kidato cha 4
Secretarial studies
Record management
Human Resources
Business Administration
etc
huuu ndio ushauri
 
Umeshindwa kumsaidia akiwa shule, Ametaga ndio unaanza kufikiria kumsaidia.


Div 0 kwa miaka hii ina maana ni Kilaza wa kutosha. Jarbu kumtafutia shule aanze kidato cha kwanza.
 
pia nami nahitaji msaada dogo langu kapata iii~25 ana 'c' ya history 'c' ya kiswahili na 'c' ya biology masomo mengine ana 'd' je anaweza kwenda kidato cha tano,?
 
Nina uncle wangu kapata matokeo mabaya sana, ambayo sikuyategemea na wala yeye hakuyategemea ila all is well.....

Yeye (na wewe....) hamkuyategema kwa kuwa alikuwa anafanya vizuri sana darasani na imetokea tu bahati mbaya akataga?

Well, kama ndivyo, then mfanyie mpango wa kurudia kuanzia form three. Miaka 17 si mbaya saaana, anaweza hata kurudia kuanzia form II. Ni vizuri awe na cheti cha form IV hata kama utakuja kumpeleka kusomea ufundi huko mbeleni.
 
Arudie mtihani tena mwaka huu 2016 maana bado kumbukumbu za masomo anazo na akijua kuwa mwaka huu anafanya mtihani atakuwa na bidii ili mradi umpe moyo asijione mnyonge.Angalau apate hicho cheti japo cha D 3 ndio hapo utaweza kumuuliza yeye anapenda kufanya nini hapo baadae.
 
Back
Top Bottom