Form 4 na wengine, angalieni hapa!

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Haya matokeo ndiyo hayo yametoka!! Kila kitu hadharani, sasa ukiwa hapa JF ndo mpango nzima!! Manake watu washaanza kuhoji, mi nina hiki au kile nitafanyaje, haya ngoja nitajaribu kuweka mwongozo na alternatively nyingine due to spme perfomances kwa wote, manake naona huku kitaa watu wanadanganyana sana!!

Hii ni kwa kadri ninavyofahamu mimi, kama kuna marekebisho basi yafuatie:

=> Credit Qualification kwa hali ya kawaaida ni 'C'-Na ili uende Form 5 unahitaji uwe na C 3, hapa ni either umebalance Combination(Comb) au hujabalance. Sasa kama una C 3 na comb hujabalance, hautachaguliwa serikalini bali shule binafsi utaenda kusoma mchepuo utakaofanana na masomo yako.
[ Mfano: Civ-C, Kisw-C, Geo-C...unaweza fanya HGK ama HGL ama kozi nyingine hata kama english na History una D].

=>Ukiwa na C 2 na D kadhaa(lets say 4 ya 26), hapa utaweza kwenda Form 5 shule za Private lakini utatakiwa utafute C ya 3 kw kureset wakati upo form 5. Same na C 1 You need to re-sit.

=> Hapa sasa ndipo kwenye utata. Ukiwa na D 3, kiukweli sahau Form 5 kama hauhitaji kurisit, sasa qualification hizi zina option zifuatazo:
1. Unahitaji kupiga long pass kwa kwenda Chuo kwa ngazi ya Certificates. Duraation ya hii kozi ni 1 year Certificate. Sasa hapa kuna vyuo kadhaa vinavyotoa certificates. Hapa ni D za masomo yoyote yale Basic(sina uhakika kama B/Knwoledge na Islam zinazingatiwa na ndio maana nasema D za Basic Subjects)
Mfano: Unaweza kufanya Certicates vyuo vya CBE-Mambo ya Biashara, IFM, TIA, Utumishi wa Umma(Public Service) Vyuo vya Kilimo na Ualimunk.
Nakozi nyingi tu wanatoa kwa certificates..mfano Procurement, Accounts, Public Admistration, Recording, Clearing and Forwarding, Social Development, Secretarial Duties, Education nk.

=> Ukiwa na D 4 upo qualified kufanya ngazi ya certificate kama nilivyoanisha hapo juu.

=> Ukiwa na D 5 sasa hapa wewe umeula!! Hapa unaruhusiwa kabisa kufanya Basic Diploma katika vyuo vyote wanavyotoa Duploma. Kwa mfano vyuo hivyo nilivyovitaja hapa JUU, chukua form yako kwa maringo achana na biashara ya kurisit omba kozi ya diploma, Teana kama una D ya hesabu na English ndo inakuwa rahisi zaidi kuchukuliwa.

=> Kwa wale waliosoma mahesabu kuna vyuo vingine kama DIT(Daar Institute), AIT(Arusha Inst) na Mbeya Tech Msishau kufanya maombi, na kwale waliopiga fresh Biology with minimum of D angalieni option za Nursing ni nzuri sana na katika vyuo vya MATC na COTC.

Kama kuna marekebisho yanakaribishwa na kama hoja ama daubt basi uwanja ndio huu. Most welcome!!

UPDATE:

Mkuu nashukuru sana kwa ufafanuzi wako. Hata hivyo kwa kuwa umetoa nafasi ya kujazia sehemu ambayo labda inamabadiliko yafuatie,nafikiri nijikite kwenye mambo mawili
1:Mkuu kwa ufahamu wangu,hairuhusiwi tena mtu kuendelea na 4m 5 na wakati huohuo akiwa anarisit. Hii ni kwasababu ili ufanye mtihani wa kidato cha sita lazima uwe umekaa darasani miaka miwili toka umalize kidato cha nne,hivyo basi ukijiunga na 4m 5 huku unarisit hiyo miaka miwili haitatimia.
2:Hairuhusiwi tena kuunga unga vyeti,mfano mtu alikuwa na c mbili then arisit ili apate moja aunganishe na zile mbili za mwanzo,swala hilo haliwezekani tena. Hii ni kwa sababu ili mtahiniwa aruhusiwe kufanya mtihani kidato cha sita lazima awe amepata angalau crediti 3 O-level kutoka kwenye kikao kimoja ( ie 3 credits in o-level at the same sitting). Hii inamaanisha mtu akiamua kurisit anayakana matokeo yake na anatafuta mengine,na kwa mfano kama mtu alikuwa na c mbili na zilizobaki ni D halafu akarist assume akapata tena C mbili na D nne labda na F moja,hawezi kuanga hayo matokea akadai eti ana C nne kwasababu zimepatikana kwenye vikao tofauti(miaka tofauti). Hata hivyo lazima nikiri kwamba taratibu za kuunga vyeti zilikuwa zinatumika hapo nyuma lakini kwa ufahamu wangu ni kwamba kwa sasa zimefutwa. Kwahiyo kama mtu ana C mbli hawezi kwenda form 5, na akiamua kurisit ajue ni kama anaanza kazi upia. So kama kuna mtu hali hii inamgusa aangalie hayo mambo.
2i9m911.jpg

jidhjp.gif
 

=> Kwa wale waliosoma mahesabu kuna vyuo vingine kama DIT(Daar Institute), AIT(Arusha Inst) na Mbeya Tech Msishau kufanya maombi, na kwale waliopiga fresh Biology with minimum of D angalieni option za
Nursing ni nzuri sana na katika vyuo vya MATC na COTC.


Hapo kwenye blue, waweza fafanua zaidi. Majina ya vyuo kwa kirefu, mahali vilipo na malipo yake na muda wa courses?
 
mkuu sizinga! masomo ya sayansi wanachukua total point ngapi?
kuna mdogo wangu kapata div. 3 point 24 na ana B/maths C, Biology C, Civics C, Kiswahili C na the rest ana D
mfano PCM ana DDC, PCB ana DDC, EGM ana DC na PGM ana DDC

mshahara wenyewe wakulenga na manati huu, nijue kabisa kama anaenda private nianze michakato ya kukaba wabunge wakikatiza anga zangu.
 
Hapo kwenye blue, waweza fafanua zaidi. Majina ya vyuo kwa kirefu, mahali vilipo na malipo yake na muda wa courses?

Nursing-zipo college nyingi wanatoa hii kozi, wale manesi wa mahospitalini na wahudumu, na mara nyingi hizi college zinakuwa ndani ya hospitali, nadhani mikoa mingi yenye hospitali kubwa kubwa wanatoa nursing...mfano Pale Hospitali ya Ndanda mission ipo, Nkomaindo Masasi ipo, Newala-Mtwara ipo na mikoa mingine.

MATC-Ni Medical Assistant Training College hizi zipo nyingi ingawa kwa sasa ndizo zimebalisha na kuwa COTC na mara nyingi wanachukua wanafunzi waliotoka form 6 moja kwa moja. Kwa mfano pale Kibaha(Tumbi hospital, Mtwara hospital nk)

COTC- Hii ni Clinical Officers Training College ambapo watu wa form naao wanajiunga na huwa mara nyingi ukimaliza diploma yako(3yrs kama sio 4yrs) unakuwa na direct employment frm government au sehemu nyingine.(Tumbi hospital, Mtwara hospital nk)
 
mkuu sizinga! masomo ya sayansi wanachukua total point ngapi?
kuna mdogo wangu kapata div. 3 point 24 na ana B/maths C, Biology C, Civics C, Kiswahili C na the rest ana D
mfano PCM ana DDC, PCB ana DDC, EGM ana DC na PGM ana DDC

mshahara wenyewe wakulenga na manati huu, nijue kabisa kama anaenda private nianze michakato ya kukaba wabunge wakikatiza anga zangu.

Mara nyingi masomo ya sayansi na mengineyo wanaanza ku-count masomo mawili, sasa hapo cut point inategemea na perfomance ya mwaka huo....kwa matokeo ya mwaka huu nadhani cut point itashuka kidogo coz watoto wengi wamefel.
Masomo mawili na maana gani, mfano PCM mara nyingi wanaangalia Physics na Maths, PCM Bios na Chem, EGM ni Geograph na Math...sameway na masomo mengine.

Mara zote wanacount A point 1, B pt 2, C pt 3, D pt 4 na F pt 5, so kwa cut pt inaweza kuanzia 7 ie(C D)ingawa siko sure sana kwa ufaulu wa mwaka huu.
Kwa huyo mdogo wako nadhani anaweza kufanya PCM au PCB lakini aende Private coz asitegemee sana gova, manake jina lake linaweza lisitoke akawa amechelewa maombi. In short amejitahidi coz credit anazo
 
Mara nyingi masomo ya sayansi na mengineyo wanaanza ku-count masomo mawili, sasa hapo cut point inategemea na perfomance ya mwaka huo....kwa matokeo ya mwaka huu nadhani cut point itashuka kidogo coz watoto wengi wamefel.
Masomo mawili na maana gani, mfano PCM mara nyingi wanaangalia Physics na Maths, PCM Bios na Chem, EGM ni Geograph na Math...sameway na masomo mengine.

Mara zote wanacount A point 1, B pt 2, C pt 3, D pt 4 na F pt 5, so kwa cut pt inaweza kuanzia 7 ie(C D)ingawa siko sure sana kwa ufaulu wa mwaka huu.
Kwa huyo mdogo wako nadhani anaweza kufanya PCM au PCB lakini aende Private coz asitegemee sana gova, manake jina lake linaweza lisitoke akawa amechelewa maombi. In short amejitahidi coz credit anazo
thanks mkuu kwa mchanganuo huo na ushauri wako pia.
ngoja nianze kujipanga aende shule za private tu,
 
Kwa ufupi kozi za certificate nyingi kama sio zote ni mwaka 1 na diploma ni miaka 3, bt COTC ni miaka 3 ila sehemu nyingine ni miaka 4 coz kuna mwaka wa training palepale utakaposomea(This is diploma infact) mfano Ndanda ni 4yrs coz...sasa gharama sina uhakika nazo lakini pale Ndanda huwa unfanya makubaliano nao kwamba utalipiwa Ada lakini ukishamaliza kozi basi utafanya kazi hapohapo na utakatwa mshahara wako mpaka pale deni litakapoisha ndipo unaweza kuondoka if possible.
 
thanks mkuu kwa mchanganuo huo na ushauri wako pia.
ngoja nianze kujipanga aende shule za private tu,

EGM nayo siyo mbaya coz Economics ataikuta huko na hesabu sina shaka nae anaziweza...so kozi yoyote inayorelate hapo anaweza akafanya...anyway kila heri
, selection nadhani zitatoka mwezi wa 3 mwishoni au 4
 
mkuu sizinga! masomo ya sayansi wanachukua total point ngapi?
kuna mdogo wangu kapata div. 3 point 24 na ana B/maths C, Biology C, Civics C, Kiswahili C na the rest ana D
mfano PCM ana DDC, PCB ana DDC, EGM ana DC na PGM ana DDC

mshahara wenyewe wakulenga na manati huu, nijue kabisa kama anaenda private nianze michakato ya kukaba wabunge wakikatiza anga zangu.

Hadi Point 10 Kwa Wale Ambao Masomo Yote Yanapatikana O level na hadi point 6 kwa wale ambao masomo mawili tu ambayo yapo O Level Hapa na maana wale wa EGM, HGE, ECA etc. Pia Kupata Post hutegemea ufaulu wa wengine ktk kiwango kikubwa kwenye combination zao hapo ndio maana kuna second selection hau kutoswa.
 
Hadi Point 10 Kwa Wale Ambao Masomo Yote Yanapatikana O level na hadi point 6 kwa wale ambao masomo mawili tu ambayo yapo O Level Hapa na maana wale wa EGM, HGE, ECA etc. Pia Kupata Post hutegemea ufaulu wa wengine ktk kiwango kikubwa kwenye combination zao hapo ndio maana kuna second selection hau kutoswa.

ngoja nijiandae kumpeleka private tu, itabidi niongeze juhudi kuwaibia wahindi ili ada ipatikane.
 
Mkuu Sizinga, mdogo wangu amepata hivi:

Civics-C
Engl-B
Kisw-B
Bio-D
Maths-F
Geo-C
Hist-D

Ana option gani?
 
DARASA HURU WAACHE KUPANIC SASA WADOGO ZETU FUATENI USHAURI WALEKEZENI
PAMOJA SANA KAMANDA
NA WALE WA ARUSHA KUNA IAA NA QUALIFICATION NI HIZO NIMEZITOA KWENYE WEBSITE YAO
Admission to Basic Technician Certificate Programmes - One Year

Technician Certificate in Accounting (TCA)

Technician Certificate in Information Technology (TCIT)

Technician Certificate in Computer Science (TCCS)

Technician Certificate in Business Management(TCBM)

Technician Certificate in Banking & Finance (TCB&F)

Technician Certificate in Procurement & Logistics Management (TCPLM)

Minimum Entry Qualifications
· Form IV (four) with at least three passes in relevant subjects including Mathematics or English OR
· National Storekeeping Certificate OR
· Full Technician Certificate (FTC) OR
· NVTA Level 3 OR
· Any other equivalent qualification e.g. ATEC
 
Ahsante sana kwa mwongozo huu!
Kwani sikuwa na idea mwanangu nimpeleke wapi ana D 5.
 
Tafadhali nishauri; kijana wangu amepata Civics D,Geo D,Eng D na Math D.
 
[h=1][/h] [h=3]
range.jpg
[/h]
[h=1]Certificate Programmes COLLEGE OF AFRICAN WILDLIFE MANAGEMENT -MWEKA[/h][h=1]Certificate Programmes[/h]
[h=3]Basic Certificate in Wildlife and Tourism Management[/h] Target Students
The course aims at imparting students with skills, knowledge and attitudes necessary in safari hunting.
Timetable and Duration
Technician Certificate in Tourism Hunting is a one-year course. The course programme runs from August through to June each academic year. The second semester of this course corresponds with hunting season in Tanzania so that students are able to attend hunting exercises during the last sessions of the programme.
Training Methodology:
Training approaches include lectures, interactive structured lectures, directed and self-directed study, seminars, tutorials, student presentations, field and College-based practical.
Assessment and Course Awards:
Students must gain 120 Level 1 credits to be eligible for the award of Technician Certificate. These credits are gained through passing all assessed Certificate modules. In order to pass Certificate modules, students must achieve a final module mark of not less than 50% and pass all final exams. Assessment will be based on a mixture of practical exercises, written assignments, group and individual exercises, reports and examinations. Course assessment is about 70% practical and 30% theory.
Level Descriptors:
This qualification falls under National Technical Award (NTA) Level 5. The holder of the qualification will be able to apply skills and knowledge in a range of activities, some of which are non routine and be able to assume hunting operational responsibilities.
Entry Qualifications:
The minimum entry qualification required for admission into the Technician Certificate in Tourism Hunting course is EITHER an Ordinary Level School Certificate (or equivalent) five (5) Passes with at least two (2) credit passes in Biology, Mathematics, Chemistry, Physics, Geography and English OR a Certificate in Wildlife Management from Pasiansi Wildlife Training Institute or other recognized training institutions in the region OR a Basic Certificate course qualification from Mweka.

[h=3]Technician Certificate in Tourism Hunting[/h] Target Students
Technician Certificate in Wildlife Management course is designed for lower level personnel in wildlife or natural resource management agencies, NGOs and private sector organisations.
Timetable and Duration
The Technician Certificate in Wildlife Management is a one-year course. The course programme runs from August to June each academic year. Students may also attend these modules over a longer period of time to suit their own needs.
Course Objectives
The course aims to provide students with training in the basic aspects of wildlife management ranging from wildlife biology and ecology to management approaches, in particular working with local communities. In addition, the course aims to develop discipline, communication skills, an ability to understand and follow instructions and professionalism in Certificate graduates.
Training Methodology
Training approaches include lectures, interactive structured lectures, directed and self-directed study, seminars, tutorials, student presentations, field and College-based practical.
Assessment and Course Awards
Students must gain 120 Level 1 credits to be eligible for the award of Certificate. These credits are gained through passing all assessed Certificate modules. In order to pass Certificate modules, students must achieve a final module mark of not less than 50% and pass all final exams. Assessment will be based on a mixture of practical exercises, written assignments, group and individual exercises, reports and examinations. Course assessment is 80% practical and 20% theory.
Entry Qualifications
The minimum entry qualification required for admission into Technician Certificate in Wildlife course is EITHER an Ordinary Level School Certificate (or equivalent) five (5) Passes with at least two (2) credits in Science subjects in Biology, Mathematics, Chemistry, Physics, Geography and English OR a Certificate in Wildlife Management from Pasiansi Wildlife Training Institute OR Allied Basic Certificates accredited by the National Council for Technical Education (NACTE) or Vocational Education and Training Authority (VETA) OR a Basic Certificate course in Wildlife Management Certificate from Mweka (details available on request).

[h=3]Technician Certificate in Wildlife Management[/h] Course Objectives
This Technician Certificate in Wildlife Tourism course is intended for persons who will guide tourists and interpret natural, cultural and historical/heritage resources for tourist. Also the course aimed at providing knowledge, skills and attitudes that would enable graduates to conduct tourism activities.
Target Students
Technician Certificate in Wildlife Tourism course is designed for lower level wildlife tourism personnel working in wildlife or natural resource management agencies, NGOs and private sector organisations.
Timetable and Duration
Technician Certificate in Wildlife Tourism course is a one-year course. The course programme runs from August to June each academic year. Students may also attend these modules over a longer period of time to suit their own needs.
Training Methodology
Training approaches include lectures, interactive structured lectures, directed and self-directed study, seminars, tutorials, student presentations, field and College-based practical. Students participate in four safari modules.
Assessment and Course Awards
Students must gain 120 Level 1 credits to be eligible for the award of Certificate. These credits are gained through passing all assessed Certificate modules. In order to pass Certificate modules, students must achieve a final module mark of not less than 50% and pass all final exams. Assessment will be based on a mixture of practical exercises, written assignments, group and individual exercises, reports and examinations. Course assessment is 80% practical and 20% theory.
Entry Qualifications
The minimum entry qualifications required for admission into the Technician Certificate in Wildlife Tourism course is EITHER Ordinary Level School Certificate (or equivalent) five (5) Passes with at least two (2) credits in Science subjects in Biology, Mathematics, Chemistry, Physics, History, Geography and English OR a Certificate in Wildlife Management from Pasiansi Wildlife Training Institute OR Allied Basic Certificates accredited by the National Council for Technical Education (NACTE) or Vocational Education and Training Authority (VETA) OR a Basic Certificate course in Wildlife Management Certificate from Mweka (details available on request).

[h=3]Technician Certificate in Wildlife Tourism[/h] Course Objectives
This course aims to provide in-depth training in a wide variety of subject areas relating to wildlife management in order to develop a comprehensive understanding of the multi-disciplinary nature of wildlife management. The course builds upon Technician Certificate level training by developing knowledge and skills in wildlife biology, ecology and management approaches, as well as providing a more detailed focus on ecological monitoring, community conservation, wildlife utilisation, planning and administrative functions. In addition, the course aims to develop analytical and critical skills, independence, self-discipline and professionalism in Ordinary Diploma graduates.
Target Students
The Ordinary Diploma in Wildlife Management course is designed for middle cadre wildlife managers working within wildlife or natural resource management agencies, NGOs and private sector organisations.
Timetable and Duration
The Ordinary Diploma course is a two-year course. The course programme runs from August to June each academic year. Students may also attend these modules over a longer period of time to suit their own needs.
Training Methodology
Training approaches include interactive structured lectures, directed and self-directed study, seminars, tutorials, presentations and field practical.
Assessment and Course Awards
Students must gain 240 credits to be eligible for the award of Ordinary Diploma. These credits are gained through passing all assessed Diploma modules. In order to pass Ordinary Diploma modules, students must achieve a final module mark of not less than 50% and pass all final exams. Assessment will be based on a mixture of practical exercises, written assignments, group and individual exercises, reports and examinations. Course assessment is 60% practical and 40% theory.
Entry Qualifications
The minimum entry qualification required for admission into Ordinary Diploma is EITHER an Advanced Level School Certificate (or equivalent) with at least one (1) Principal Pass and two (2) Subsidiaries in Biology, Chemistry, Geography, Mathematics, Physics, Agriculture and Nutrition. OR Technician Certificate in Wildlife Management from Mweka or other recognised wildlife management training institutions. Work experience of at least two years in Natural Resources Management and related disciplines would be an advantage.
 
tafadhali nishauri; kijana wangu amepata civics d,geo d,eng d na math d.
mkuu huyu root yake kama kamanda sizinga alivyotoa muongozo ni kupitia basic certificate( business studies yaani accounting,procurement supplies market au bba) kama yupo dar cbe au ifm .arusha iaa halfu akifaulu anaunganisha diploma ya kozi hiyo ..au la kama unaona anaweza kupambana arudie tena (reseat) ila hii option inahitaji mtoto mwenye moyo na ambaye anamegundua makosa either ni shule aliyosoma kwa maana ya (uhaba wa walimu na vitendea kazi , umbali ) au uwezo wake ni mdogo au alikuwa mzembe ndio vilipeleka kufeli kwake .kama amejitambua anaweza kureseat vinginevyo apitie hiyo root niliyokwambia mwanzo nadhani nimejaribu kutoa mchango wangu
 
Back
Top Bottom