hapana with 17 leo mwezi wa pili form two bado hawajasajiliwa ampeleke akaanze Form two katika Shule nzuri atapata number kama school candidate na atamaliza tuu akiwa na 20 years na akibahatika kuingia Form 5 atamaliza akiwa na 22 na Chuo atamaliza akiwa na 26Elimu ya bongo ukihalibu form 4 bola utafte namna nyngne ya kutoka ktk maisha na sio kuludia coz hutatoka daima.....pia kwa div four hata ufundi ktk taasisi znazoeleweka anaeza asipokelewe....mpe mtaj wa bzness akishndwa hapo ozesha akaijaze dunia.....
Kumbe una ushauri sema basi tuu kichwa ngumuhapana with 17 leo mwezi wa pili form two bado hawajasajiliwa ampeleke akaanze Form two katika Shule nzuri atapata number kama school candidate na atamaliza tuu akiwa na 20 years na akibahatika kuingia Form 5 atamaliza akiwa na 22 na Chuo atamaliza akiwa na 26
Ongea nae kwanza upate mtizamo wake kwanza kuhusu kurudia mtihani au kwenda kusomea kazi.
Kama kurudia mpe QT
Kama course zipo nyingi mfano
Ususi.upambaji.urembo
Hotel management
Computer graphic designs
Kozi zifuatazo atamaliza ila kazi itamsumbua kwani watadai cheti cha kidato cha 4
Secretarial studies
Record management
Human Resources
Business Administration
etc
Hana mwili mkubwa, asantePole sana,
Kwa hiyo elimu ya la saba sasa kwenda ufundi haitamsaidia; pengine akaanze form one kama hana mwili mkubwa.
Sasa kama kapata F masomo yote utasemaje kafeli kwa bahati mbaya? Muulize vizuri tu kilichomfanya afeli ni kipi hasa?Utakuwa ni mjinga sana kuamini kila anayefeli ni kilaza, nimeona watu waliofanikiwa vizuri kiuchumi japo walifeli shule
Hapana mkuu siyo kweli naamini hivyo, nimeona watu ambao hawana elimu ya darasani wanafanya mambo yao vizuri ila mwisho wa siku inabidi warudi darasani au la waajiri watu waliosoma katika shughuli zaoSwala sio mwili......hiv kafel akiwa yuko mentally fit atafaulu vp ukimpeleka form 1or 2.....peleka ufund au ozesha....mtoa mada inaelekea pia ana amin bila kupga kitab huwez kuwa mtu ktk maisha
Why pm? Kiseme hapa as u heard matokeo mabovu huenda kuna mwingine ana janga kama hilo.Mpeleke chuo cha ufundi. Ukitaka chuo kizuri n mp nitakuelekeza
Kweli mkuuSasa kama kapata F masomo yote utasemaje kafeli kwa bahati mbaya? Muulize vizuri tu kilichomfanya afeli ni kipi hasa?
Chunguza marafiki zake ni wa aina gani? Fuatilia nyendo zake japo sio rahisi,pengine alijua tu kuwa atafeli kwa jinsi alivyofanya au alivyojibu maswali ya mitihani,ila anazuga tu kwako eti hakutegemea?!
Hata mimi nilikuwa nawaza hivi mkuu, asante
Unataka kusema Biashara inafanywa na watu walioFELI?Elimu ya bongo ukihalibu form 4 bola utafte namna nyngne ya kutoka ktk maisha na sio kuludia coz hutatoka daima.....pia kwa div four hata ufundi ktk taasisi znazoeleweka anaeza asipokelewe....mpe mtaj wa bzness akishndwa hapo ozesha akaijaze dunia.....
Kiongozi naona umeishia kulaumu bila kushauri hebu mpe NENO mleta mada na wote wenye mawazo usiyopenda yakusomaWabongo tunaamini sana kwenye kusoma, yaani tuaamini kusoma vitabu, na walio leta elumu wao kwa sasa kusoma darasani sio ishu tena. Kosa tunalo fanya ni kurazimisha watoto wasome hata kama sio hoby zao, hata kama haipandi.
Na thread hii 90% wanatoa ushauri mtoto arudie, apelekwe kozi mara ufundi, haya ni makosa makubwa sana na yatatugharimu sana.