Kisima
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 4,438
- 5,441
Kadegree sio ishu sana.. ishu ni kuboresha maisha mkuu. Ebu nenda pale k'koo kafanye research ndogo tu kujua ni wangapi wenye degree wanaoparate b'ness pale?Kama bado ana nia ya kusoma na wewe unauwezo wa kumsomesha mtafutie shule aanze form two.
Nasema hivi kwani hii situation ilinitokea na mimi. Nina mjomba angu nae alipata div 0 ila nikamtafutia shule akarudia form two na amefanya mtihani last year jana matokeo yametoka amepata division two ya points 19.
Kwahiyo msikilize yeye kama anataka shule bado do like that ila usimlazimishe.
Atleast kwa sasa hivi mtoto ukitaka aende vzr apate angalau first degree maisha ni magumu sana kitaa bila hata kadegree kimoja.
Akikomaa kusaka ngawila na kufanikiwa kuwa nazo shule itajileta yenyewe..