Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

. iNGEKUW AMNAFANYA FOREX HIZO HELA ZA KUGAWANA KTK PYRAMIDS ZISINGEKUWEPO.NA UKIACHA MALIPO YA MWEZI ULIPASWA ACCOUNT YAKO IWE HAI NA UPOKEE FAIDA ZAKO KM KAWAIA KWA VILE UNAINGIZA HELA.UKWELI NI KWAMBA WANAKUCHOMOA NA HUPEWI HELA ILIYOBAKI.KWA VILE NI DANGANYA TOTO, hizo hela mnazogawana ktk ada za kijinga .



Nicholaus umeandika maneno mengi sana lakini suala la msingi hujaligusa hata kidogo, ngoja mimi nikupe ufafanuzi ufuatao:

TMT (The Million Team) imeunda baada ya mchakato mrefu sana wa kuitangaza Biashara ya Forex hapa Tanzania, kimsingi biashara hii ilikuwa inafanyika lakini kwa watu wachache sana ambao walikuwa wanaifahamu na hawakutaka kushare na Watanzania wenzao. Kilichofanyika kwanza Mr Ontario aliitangaza hapa JF na alipata mwitikio mzuri kutoka kwa Wanajamii wa Forum hii.

Kilichofanyika ni kuhamasisha watu wasome vitabu kwa wingi ili wapate kufahamu undani wa Forex na kweli hilo lilifanyika kwa kiwango kikubwa vitabu vilitumwa vingi tu na hata wewe ukivihitaji utatumiwa nawe pia uvisome.

Baada ya hatua hiyo kilichofuata ni watu kupata mafunzo ya wiki moja lakini Mr Ontario alitoa Offer kwa watu 300 wa mwanzo ambao wangejisajili TMT kuwa angetoa mafunzo kwa ada ndogo tu ya Tshs 65,000/= ili kulipia gharama ndogi ndogo za uendeshaji wa Ofisi na kufacilitate watoa mafunzo. Watu walishiriki vizuri sana na kumaliza mafunzo hayo ya awali.

Baada ya mafunzo ya awali kukamilika Mr Ontario akasema mafunzo yatakayo endelea kwa anae hitaji atachangia kama ada Tshs 130,000/= na ni mafunzo ya siku 5 na mara nyingi yanaanza Jumatatu hadi Ijumaa. Unachokipata katika mafunzo hayo kwanza ni kuifahamu Forex, pili kufahamu njia sahihi ya jufanya uchambuzi wa soko la Forex muda gani wa kuingia na muda gani wa kutoka na mengineyo, lakini la muhimu zaidi ni kupata Lifetime Mentorship huu ni kama muongozo wa jinsi ya kufanya Trades zako kwa maisha yako yote.

Naomna nikuweke wazi Mr Nicholaus hakuna kuchangizana fedha pale TMT kwa mtindo wa UPATU kama unavyodiriki wewe kuwaaminisha watu. Biashara ya Forex inafanyika kupitia kwa Brokers ambao si lazima mtu akuchagulie bali unachagua wewe mwenyewe na ukiridhika unamtumia fedha unafungua Live Account na unaanza kufanya biashara. Brokers wako regulated na Mamlaka zinazoangalia mambo yote yanayohosu Forex.

Mr Nicholaus ukiona kitu hukifahamu jitahidi sana kuuliza na si kuja na analysis yako na kuanza kuwasema watu kuwa wanaendesha UPATU hiyo si sawa. Ni kukumbushe tu kuwa wakati TMT inaanzishwa pale Jangid Plaza walishakuja Maofisa kadhaa wa Serikali wakiwa na Polisi baada ya kupokea wrong information kama hizi unazozizungumza wewe na walipewa maelezo ya kutosha na kuangalia vibali vyote na kuona kuwà hakukuwa na tatizo lolote.

Povu limekutoka sana ila unachokizungumza ni kitu tofauti kabisa na kinachofanyika, watu hawachangishwi fedha kama kwenye upatu, wanalipa ada ya kuhudhuria mafunzo na unapotaka kufanya biashara ya Forex wewe unakuwa na account yako ambayo haiingiliwi na mtu yoyote zaidi yako wewe na Broker wako tu.

Tujifunze kuweka akiba ya maneno kwa sababu si kila jambo unaweza kulifahamu kwa ufasaha wewe pekee yako wapo watu wengine wanajua mengine mengi uliza usibeze na kutoa lugha za kashfa haiyumkini wapo wenye kashfa zaidi yako.

Mwisho nikuase tu kuwa kinachokusumbua tunakifahamu acha hizo tabia wewe ni mtu mzima sana mapovu yanakutoka bila sababu na kama mtu huwezi kushindana nar basi jiunge nae, unakaribishwa sana TMT ili uje upate mafunzo. Pambana na Hali Yako!

Nawasilisha
 
Nyie watoto vilaza kweli kweli.Matusi mliyokuwa mnaporomosha ndio maana hamkusoma nilichokuwa naandika .Sasa mnajipayukia tuu kuwa kuna sehemu nilisema forex ni sawa na upatu.Ila hamkusema sehemu nyingine nilisema nini.Niliwauliza swali zuri je mnajua tofauti ya FOREX NA UPATU KTK FOREX? Nikawaambia pia kuwa kunaVIRUTUBISHO na SABUNI KM BIDHAA TUNAZONUNUA SMARKET na zinazowatajirisha wachaga wengi na KUNA UPATU KUPITIA VIRUTUBIDHO Km ILIVYO KWA FOREVER LIVING. NIkawaambia km mnachofanya ni upatu kupitia forex km cover,ila kinachofanyika hamtengenezi hela halali kwa kununua na kuuza fedha za kigeni. Ila mnagawana hela za viingilio, hela za sijui semina na semina kubwa,na hizo package za viwango,na michango yake kwa mwezi.

Ukirudi hapo juu ktk mfano wa smarket au duka la mangi ambaye ni bilionea sasa hivi.Yeye aliuza colgate ya aloe vera na isisyo na aloe vera km bidhaa na kupata faida kwa kuuza bidhaa,na sio kumuunga mtu na kugawana viingilio, forever livingi bidhaa sio muhimu hela za kujiunga kwa vile ni kificho ili wasiharamishwe marekani ambapo upatu ni haramu. NI km bar inayouza sigara na bangi kwa kificho. Ndio maana wanasema wazi hata ukitumia sio shida.Biashara gani hiyo.Mjasiriamali anatumia bidhaa badala ya kuuza kwa faida?Huyo ni mjasiriamali au mteja?


ROREVER LIVING HAKUNA BISHARA HAPO, HAPO NI KUWA WEWE NI MTEJA KWA VILE NDIE UNATUMIA BIDHAA KM UNAVYONUNUA MKATE NA KUULA, NA PIA NI AGENT WA KUKUSANYA HELA KWA BOSS WA KILELENI NAE ANAKUPA COMMISSION. MNGEKUWA MNAJUA UCHUMI WAPUUZI NYIE MNGEJIULIZA WAPI MNA ADD VALUE HADI MSTAHILI KUPOKEA HELA?HATA BIT COINS ZENYEWE LAZIM UFANYE MINING KUPITIA COMPUTER KM VILE UNAVYOCHIMBA DHAHABU. UNATUMIA UMEME WAKO,PROCESSING POWER YA COMPUTER YAKO.NDIO UNAPATA BIT COINS YENYE THAMANI HUSIKA NA HIVYO KUSTAHILI KUNUNUA KITU. IN ESSENCE NYIE WATOTO MNATAKA FANYA HIYO FOREX YENU KM FOREX YA KWELI AMBAYO WATU WANANUNUA HELA NA KUUZA KWA BEI YA JUU. ILA MNACHOFANYA NI KM KUCHUMA JANI N AKULIFANYA PESA YA KUMLIPA MTU MLIYESIMAMA NAE PEMBENI YA MTI ULIOCHUMA. HATA waxhimba mchanga wanuuza kwa vile kuuchimba waliingiza value kwa kutolea jasho ingawa mchanga ni bure.

wengi wenu ndio wale mnaoamini kuokota hela aliyoangusha mtu ni halai yako.Kuangusha hela hakuondoi umiliki wako. ila muokotaji anaweeza kuibia kwa vile hauwezi muona au akaamua kutumia kwa vile unaweza usikae rudi tena kwa kipindi kirefu na akaokota mwingine au ikaoza

Hiyo forex yenu Upatu unaofanywa kupitia forex, km umalaya kupitie elimu(Binti anaweza kwenda soma IFM ili aongeze thamani ktk umalaya wake au kuwapata wateja wengi kwa haraka). iNGEKUW AMNAFANYA FOREX HIZO HELA ZA KUGAWANA KTK PYRAMIDS ZISINGEKUWEPO.NA UKIACHA MALIPO YA MWEZI ULIPASWA ACCOUNT YAKO IWE HAI NA UPOKEE FAIDA ZAKO KM KAWAIA KWA VILE UNAINGIZA HELA.UKWELI NI KWAMBA WANAKUCHOMOA NA HUPEWI HELA ILIYOBAKI.KWA VILE NI DANGANYA TOTO, hizo hela mnazogawana ktk ada za kijinga ,wao ndio wanachukua nyingi, computer inachezesha shere inawarudishia % fulani kistaili, bila kuvuka asilimia zao.nanyi mnajiona mnaingiza hela.

kuna sheria ktk physics na pia uchumi una similar.MATTER IS NEITHER CRETED NOR DESTROYED. KTK uchumi ili nyie muingize hela ktk system yenu nzima(Nyie jumlisha mmiliki wa huyo mtandao), hamuwezi tengeza value from nowhere. Ili nyie mpate na mmiliki apate lazima hizo hela zitoke kwa nyie kufanya biashara na upande mwingine.Yaani muwe ktk masoko fulani mnapoenda kununua hizo hela, kisha mnawauzia wengine nje ya mfumo wenu.Hiyo faida ndio iingie ktk mfumo wenu.Na huko ktk mfumo wenu ndipo mnagwana hiyo faida.Kinachofanyika ktk mfumo wenu ni km uwe na nchi inayofanya biashara ndai ya mipaka yake tuu.hawaingizi hawatoi. Ni ngumu sana kuongeza faida.Mtagombania hela mliyo nayo hata ikibidi kuporana, kwa vile haitoshi. Ndio mnachokifanya, na wamiliki wa mtandao wanataka ongeza kiasi kikubwa kuliko nyie,na hicho kiasi kinatoka kwenu.Kuweka forex ni zuga tuu ili isionekane haramu sana.
Kwanza ukitaka tuende sawa kweny hii issue ya forex kubali ubongo wako ukubaliane na changes.....

Soma facts zifuatazo;

Forex ni biashara ya pesa za kigeni ambayo inahusisha kuuza na kununua hizo pesa, najua hili unalijua.

Hii biashara inahusisha pesa zenye thaman kubwa kiuchum [pesa za mataifa makubwa mfano usd, japanese yen, great britain pound, euro], precious metals, cryoptocurrency etc.

Ni biashara inayofanyika online......ni sawa na bureau de change lkn inayofanyika online.....na controller ni world market control agencies, km vile stock exchange kubwa kubwa dunian, hali ya uchum wa nchi husika, nk.

Physical office zipo hasa za brokers.....sabab huwez trade bila broker.......kiufup broker ni yule unayemtumia physical money thru online pale unapofund acc yako......baad ya kutrade huyo broker ndo atahusika kukulipa pesa yako uloingiza.......ni sawa na ww una pesa yako ulotumiwa kwa mpesa ukitak kuitoa unaend kwa agent unatoa virtually then unapewa ur physical money....

Ni biashara ambayo ni somo kabsa kwa wale wanaosoma au waliosoma masomo ya uchumi kuanzia secondary mpk level za juu.....lkn as usual elimu yetu imekaa theoritically zaid hivyo kuipractice huwa ngumu.

Cha mwisho unachotakiwa kujua ni kwamba its an international business.....nchi zilizoendelea ni kitu cha kawaid san.....kwa afrika nchi ya afrika kusini ndo hii biashara ipo kwa rate kubwa sabab ni nchi iliyoendela tofaut na nchi nyingne za afrika.......kwa tanzania kuna watu wanaifanya hii biashara lkn ndo hivyo hawatak kuwafumbua watu macho ila ontario kaamua kutusogezea fursa....

Kuhusu TMT:

Kwanza unatakiwa ujue pesa tulolipa sio ada wala kiingilio.......its just a commitment fee.....ni pesa ambayo haitosh hata matumiz ya week kwa maisha ya dar...... knowledge tunayoipata ina thaman kubwa mara 100 ya icho kiwango cha pesa.


Vision na mission ya TMT iko wazi.....to be a first forex broker in east africa, hilo ndo lengo la bwana mdogo ontario.....ni kjana mwenye vision kubwa ktk maisha yake.....hichi anachokifanya sio kwamb hana malengo la hasha....ana maana yake....kumbuka huyu ni mtu ambaye tayar ni icon kweny ujasiriamali hivyo kamwe hawez haribu cv yake kwa kuendesha upatu wa kuibia watu pesa zao.

TMT ni kampun ilosajiliwa na mamlaka zote husika....hata ukitaka kuoneshwa documents we sema tuu.....ni kampuni yenye objectivea zake na soon utaona matunda yake......we gonna be first agents.......kampun ni watu na watu wenyew ndo sisi.....


Km huelew hata macho huna?
 
IMG-20171010-WA0010.jpg


Endelea kutapeli kaka, kama hadi wataalam wa uchumi wanakuita kutoa speeches kwenye makongamano makubwa namna hii, basi utapeli wako ni mzuri.

Kwa wale mnaotupinga, sisi tumeamua wenyewe kutapeliwa!

Leave us alone!
 
Kwanza ukitaka tuende sawa kweny hii issue ya forex kubali ubongo wako ukubaliane na changes.....

Soma facts zifuatazo;

Forex ni biashara ya pesa za kigeni ambayo inahusisha kuuza na kununua hizo pesa, najua hili unalijua.

Hii biashara inahusisha pesa zenye thaman kubwa kiuchum [pesa za mataifa makubwa mfano usd, japanese yen, great britain pound, euro], precious metals, cryoptocurrency etc.

Ni biashara inayofanyika online......ni sawa na bureau de change lkn inayofanyika online.....na controller ni world market control agencies, km vile stock exchange kubwa kubwa dunian, hali ya uchum wa nchi husika, nk.

Physical office zipo hasa za brokers.....sabab huwez trade bila broker.......kiufup broker ni yule unayemtumia physical money thru online pale unapofund acc yako......baad ya kutrade huyo broker ndo atahusika kukulipa pesa yako uloingiza.......ni sawa na ww una pesa yako ulotumiwa kwa mpesa ukitak kuitoa unaend kwa agent unatoa virtually then unapewa ur physical money....

Ni biashara ambayo ni somo kabsa kwa wale wanaosoma au waliosoma masomo ya uchumi kuanzia secondary mpk level za juu.....lkn as usual elimu yetu imekaa theoritically zaid hivyo kuipractice huwa ngumu.

Cha mwisho unachotakiwa kujua ni kwamba its an international business.....nchi zilizoendelea ni kitu cha kawaid san.....kwa afrika nchi ya afrika kusini ndo hii biashara ipo kwa rate kubwa sabab ni nchi iliyoendela tofaut na nchi nyingne za afrika.......kwa tanzania kuna watu wanaifanya hii biashara lkn ndo hivyo hawatak kuwafumbua watu macho ila ontario kaamua kutusogezea fursa....

Kuhusu TMT:

Kwanza unatakiwa ujue pesa tulolipa sio ada wala kiingilio.......its just a commitment fee.....ni pesa ambayo haitosh hata matumiz ya week kwa maisha ya dar...... knowledge tunayoipata ina thaman kubwa mara 100 ya icho kiwango cha pesa.


Vision na mission ya TMT iko wazi.....to be a first forex broker in east africa, hilo ndo lengo la bwana mdogo ontario.....ni kjana mwenye vision kubwa ktk maisha yake.....hichi anachokifanya sio kwamb hana malengo la hasha....ana maana yake....kumbuka huyu ni mtu ambaye tayar ni icon kweny ujasiriamali hivyo kamwe hawez haribu cv yake kwa kuendesha upatu wa kuibia watu pesa zao.

TMT ni kampun ilosajiliwa na mamlaka zote husika....hata ukitaka kuoneshwa documents we sema tuu.....ni kampuni yenye objectivea zake na soon utaona matunda yake......we gonna be first agents.......kampun ni watu na watu wenyew ndo sisi.....


Km huelew hata macho huna?
We jamaa,Umeocomment POINT TUPU....Umeiva hongera
 
Salute bosses

Tangu tumeanza hii movement JamiiForums mmekua pamoja nasi muda wote. I must be very thankful for their continuous support and generosity, thanks team for the great work. Siwezi kuweka kwenye maneno mazuri sana, but you guys owe me big time, I will expect you to consider yourself in my debt [emoji14].

Kwa mafanikio makubwa sana tulianza training na mentorship ya forex hapa Tanzania wiki kadhaa zilizopita, mpaka sasa tayari zaidi ya wanafunzi 350 wamenufaika na hii movement. I am not exaggerating things, lkn kiuhalisia 95% ya wanafunzi wametengeneza pesa ndefu sana, na wataendelea kutengeneza pesa for their lifetime.

Mifano ni mingi mingi mingi sana, siwezi kupost yote hapa, lkn kiukweli people are downloading money. Mfano mzuri ni huyu mwanafunzi alianza kutrade Ijumaa iliyopita akiwa na $90 (200,000 TZS) baada ya wiki 1, hadi jana alikua na $635.90 (1,425,000 TZS) mind you hii ni ndani ya wiki 1.
9ba62836e6ea18a2b9240fc1fa3f402c.jpg

be8fcc085ee2056e2a7131ac6d5ac01d.jpg


Kuna mwanafunzi mwingine yeye alianza wiki 2 zilizopita. Huyu ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph, Yeye alianza na $199 (445,00p), mpaka jana ijumaa alikua ana $1437 (3,220,000 TZS). Huu ni mshahara ambao waheshimiwa wengi ambao wapo kazini zaidi ya decades kadhaa hawapati kwa mwezi
446cc8b9111e99909242b4d1d9b41a9b.jpg


Mifano ni mingi sana, kama huyu kwa siku ya jana pekee aliingiza $808 (1.8 mil), pesa ambayo watu wengi sana TZ hawaipati ndani ya mwezi mzima.
b0986386c42a525f79b799ef03896a7d.jpg


Kwa mtaji wa 375,000 siku 1 tu ya jana kapata faida ya 116,000
dcab4699b38d8d593ec1da3cda0dc1f3.jpg


Wanafunzi wengi tulioanza nao wiki ya kwanza tayari wameanza kuwithdraw profits from their trading accounts to bank accounts ili kuupgrade their living standard nk nk.

The whole idea kuhusu The Million Team ni kueneza hii elimu ya forex kwa watu wengi zaidi, Tanzania nzima. It's not breaking news that people are struggling to make money for themselves, si Dar pekee yake bali Tanzania nzima. Nilikua naumia sana kwamba ofisi zipo Dar, na asilimia 95 wanaopata training ni watu wa Dar pekee wakati TZ ina mikoa zaidi ya 30. Hii kitu ilinifanya nifikirie njia yoyote mbadala ya kuwafikia waTanzania wengi zaidi, sitajali natumia gharama kiasi gani, but as far as the impact is worth it sina tatizo kabisa.

Sasa hivi tumeamua kuzunguka mkoa mmoja baada ya mwingine, hadi mwaka unaisha nitahakikisha kila kona ya TZ imefikiwa, at all COST, even if it means I have to spend money from my own pockets. I have no any other good option.

I must be honest, wanafunzi wa Dar wanafahamu vizuri, price ambayo wanalipia kama training na mentorship fees is less than a fraction of what others charge. I just decided to share part of my life with my fellow brothers and sisters, that's all. No one will ever be broke for giving his neighbour a piece of bread.

Utaweza kuona gharama tuyayoicharge tukiwa Dar ni 130,000 and still ni gharama hiyo hiyo tutawacharge watu waliopo Tandahima, Tunduma, Kasulu nk, japo tukiwa nje ya Dar itabidi tulipe gharama ya hotel, flights, on road travel, training venue nk. The whole movement is to bring back hope Tanzanians. Muda wa kukaa kuitukana serikali, kwamba hawajakufanyia ABC, ni bora ungetumika in a productive way.

Tunaanza kuzunguka mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya. Ni ngumu lkn inawezekana sana.

Leo mimi na team yangu tutasafiri kwenda mwanza... tutaanza mwanza training tarehe 9 hadi 13 (Monday-Friday). We will work day and night kuhakikisha tumegusa waTanzania wengi iwezekanavyo tukiwa mwanza. Kisha tutarudi Dar kwa wiki 1. Baada ya hapo tutaenda Arusha, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Morogoro... and the list goes on and on.

Utaratibu wa kujiunga:

Kuna magroup ya wasap yataanzishwa, so tutajimobilize kwa kutumia hayo magroup na JamiiForums pia. Then after Tutadiscuss pamoja, wapi na lini tunafanya tour. Inabidi uingie group la mkoa wako ama mkoa wa jirani yako, not otherwise. Kama uko Moshi na unahisi utaweza kuhudhuria training ya Arusha, unaingia group ya Arusha, kama upo Simiyu unaweza ingia group ya mwanza. Tukiwa huko kwenye groups tutapanga kila kitu kwa pamoja in a very transparent order. Kwasasa magroup yapo kikanda!!

Magroup yapo kama ifuatavyo

Lake zone - kanda ya ziwa
TMT Forex Lake Zone

Northen Zone - Kanda ya kaskazini
TMT Forex Northen Zone

Highland zone - nyanda za juu kusini
TMT forex Highland Zone

Coast Tanzania - Dar & pwani
TMT Forex Dar

Central Zone - Dodoma na mikoa jirani
TMT Coastal zone

Good work!
 
I am OK brother!

I do hope j'3 imeanza vizuri.

Karibu sana kwa any kind of primary help bro!


cheers bro...

Will check with you whenever I need technical assistance on forex.

God be with you wherever you are mkuu.

-Kaveli-
 
Ahsante sana Mr Ontario na team yako apo Jangid.Mentors wetu na Secretary !kazi yenu Kubwa....matunda ya kazi yenu nimeyaona kuanzia siku ya kwanza tuu kufanya LIVE TRADING...
Mbarikiwe sana.
View attachment 603793
Hiyo ni faida kwa siku ya jana tuu...namaanisha jana ijumaa 06/10/2017 tena jioni kuanzia Saa 9 mpk saa mbili usiku
Mtaji wngu ni chini ya 200$...
Be blessed again and again
Duh! $45 kwa mtaji wa $200!? Hapa utakuwa ulitake high risk aisee. Mm niko Bukoba ila tar 26 mwezi wa 11 nataka kuja training japo kimtaji changu kitakuwa $100
 
Screenshot_2017-10-10-18-15-41.png
hii ni screenshot yangu ya mapema Leo. Hesabu yangu hii ya kulaza kila siku ninapopata nafasi ya kutrade hii hapa dola 100 ambayo ni sawa na 100×2300= 230000/= kwa Siku. Leo imezidi.

ONTARIO I tried it and it works. We are just paid by waiting patiently the screen to turn blue.

"I'm riiiiiiiich!!!" Screamingly
 
Always tunapewa guidance and mentor wetu juu ya lot size and idadi ya trades to place kulingana na capital uliyonayo. Kwa mtaji wangu wakati naanza, nilitumia 0.02 lot size na 7 trades at once. Na ulipoongezeka above 700 I used 0.03 na 10 trades at a time. Though I sometimes scalped when I was already in [emoji838] [emoji838] [emoji838]
Mkuu ulianza na $ ngapi?
 
View attachment 606325 hii ni screenshot yangu ya mapema Leo. Hesabu yangu hii ya kulaza kila siku ninapopata nafasi ya kutrade hii hapa dola 100 ambayo ni sawa na 100×2300= 230000/= kwa Siku. Leo imezidi.

ONTARIO I tried it and it works. We are just paid by waiting patiently the screen to turn blue.

"I'm riiiiiiiich!!!" Screamingly
This thing is real from theoretical point of view and practically...kwakuwa kuna training that proves positivity of the idea....ila sio hizo screenshots kuwa ndio evidences. Kwa anae vutiwa na forex, yes its not a new phenomena , work it out and will work for you!
 
View attachment 606325 hii ni screenshot yangu ya mapema Leo. Hesabu yangu hii ya kulaza kila siku ninapopata nafasi ya kutrade hii hapa dola 100 ambayo ni sawa na 100×2300= 230000/= kwa Siku. Leo imezidi.

ONTARIO I tried it and it works. We are just paid by waiting patiently the screen to turn blue.

"I'm riiiiiiiich!!!" Screamingly
Ndio maana nnawashangaa watanzania wenzangu... Sijui nani katuloga kwa kweli!!
 
Back
Top Bottom