Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Nilikuwa siamini kuwa we ni mtupu kiasi hiki kichwani....Khaaaaa...unatia kinyaa mkuu...umeandika maneno mengiiii....mashudu tupu.
haina shida naweza kutema kwa sasa una msisimko sana.maisha yenyewe haya ccm wamekaza.
 
Mkuu wangu trust me you know nothing about forex trading...na nakusahuri ukae kimya kuhusu hii ishu maana unavyozidi kuongea ndo unavyozidi kujivua nguo.

Hata wale ambao walikuwa wamebakiza heshima kidogo kwako watakudharau sana tena sana...huo ndo ushauri wangu kwako mkuu....yaaani huji chochote kuhusu forex....narudia hujui CHOCHOTE KUHUSU FOREX.
 
Kuna tofauti kati ya hii inshu na betting??
Ni mchanganyiko fulani wa upatu ktk forex na km betting fulani controlled na computer. Hella wanazopata ni vizo wanazolipishwa ktk membership fee, na hela kibao za kufundishwa.Zinazungushwa kiakili ktk formula za computer jamaa wanapewa kidogo kidogo cha kuendelea.Km ingekuwa biashara yenye faida halisi ya soko.wenye mtandao wasingeweka malipo ya mwezi wanayapa amjina fulani ila ukweli wanazirudisha hizo hela ktk mgao. kawaida ya upatu wanaoingia mwanzoni wengi wanajua kuwa haitokula kwao.Na wanajua wanapiga mandezi.Wengine huwalinda watumwa wao kwa kuwaambia usiongee na watu wenye akili ndogo,wapinga maendeleo,huko kutoongea kunasadia hata watu wa dini ili kulinda watu watu wao wasishawishike kutoka, na hata wakipigwa au game likianza fikia pagumu karibia na kuanguka.huwa wanaanza walaumu wateja wao kuwa shida sio upatu ,ila wao ndio wavivu.

Ni km forever living ,wanadanganyaw atu ni biashara ,kumbe wanataka kula hela yao, na mavitu wanayowauzia wanawaambia hakuna shida hata ukitumia tuu sio shida ,ila ingiza watu.Watu wanakuwa wateja wakimini kuwa ni wajasiria mali. wanakwenda gombana na rafiki na ndugu wanapopeana hasara au ndugu wakikataa kuingia ktk huo upuuzi.Wauzaji dili za upatu ni wanyonyaji wa mahusiano,anakutumia wewe kuweka uhsino wako rehani ili umuaminishe anayekuamini kununua bidhaa kwa faida yao.Na siku zote husema mafanikio ya uongo kuliko waliyo nayo. Nawajua wengi wamejenga kwa mikopo ila wanawaambia watu kuwa ni forever living, wakishakosa watu wanawapasha kiporo moto wale wale kwa kuwadhalilisha kuwa ni wao tuu hawakomai warudie km hawataona mafanikio. Watoto w ashule wengi ndio wanajiunga bila kujua.Na wafanya kazi wa serikali wasiopenda kuumia ktk bisahra halisi.
 
Maskini Nicholas...kwa nn unajihaibisha hivi mkuu wangu???
 
Mmekataa kuelezea details za upatu wenu niwasaidie.Ila sio mbaya nikiweka walichoongea wengine.Mkiendelea kujichekesha tuu mnaotaka waibia bila kusema risk wenye akili watajua wanacheza nini.Nadhani mnaelewa kiingereza vyema au hata cha kuombea chai au cha kusikilizia EPL.

What a timely Warning from you Mr. E
In my candid opinion, your site has to be praised as one of the benefits of the website.

I just finished a 2day seminar on imarket live in Nigeria. I paid $10, hoping that will be all to achieve a basic understanding of forex, registration inclusive.
I was saddened when we were asked to pay $300 for proper registration and Training.
Then will be expected to be paying about $175 for monthly subscription. Too bad!
Hence, I decided to make some research. Lo, your site was my succour.

My question to you is:

Since they’vebeen proven to be potential scammers in the USA, what has the USA government done about them?
Why are internationally regulated brokers like HOTFOREX and FXTM partnering with imarket live,
Thirdly, what are the technical questions that we ought to inquire from their agents whenever they approaches us?
Thanks in expectancy
Bernard.
 
Nilikuwa siamini kuwa we ni mtupu kiasi hiki kichwani....Khaaaaa...unatia kinyaa mkuu...umeandika maneno mengiiii....mashudu tupu.
Mtupu nini?Mbona mnakosa adabu wakati nawauliza MNAJUA KUNA TOFAUTI YA FOREX AND PONZI IN THE FOREX. nadhani mnafahamu tofauti ya madawa na juice na Upato wa forever living ktk kupitia virutubisho.
 
Mmekataa kuelezea details za upatu wenu niwasaidie.Ila sio mbaya nikiweka walichoongea wengine.Mkiendelea kujichekesha tuu mnaotaka waibia bila kusema risk wenye akili watajua wanacheza nini.Nadhani mnaelewa kiingereza vyema au hata cha kuombea chai au cha kusikilizia EPL.

What a timely Warning from you Mr. E
In my candid opinion, your site has to be praised as one of the benefits of the website.

I just finished a 2day seminar on imarket live in Nigeria. I paid $10, hoping that will be all to achieve a basic understanding of forex, registration inclusive.
I was saddened when we were asked to pay $300 for proper registration and Training.
Then will be expected to be paying about $175 for monthly subscription. Too bad!
Hence, I decided to make some research. Lo, your site was my succour.

My question to you is:

Since they’vebeen proven to be potential scammers in the USA, what has the USA government done about them?
Why are internationally regulated brokers like HOTFOREX and FXTM partnering with imarket live,
Thirdly, what are the technical questions that we ought to inquire from their agents whenever they approaches us?
Thanks in expectancy
Bernard.

Kama haya ndo mashudu unagoogle kuhusu forex basi nakuonea huruma...ndo maana nimekuambia YOU KNOW NOTHING ABOUT FOREX TRADING...endelea kugoogle hayo mashudu uzidi kujiabisha.
 
I would like to share my experience with IML. I tried it myself for two months, or I paid for two months to be specific. After six weeks I cancelled the account since I wanted to make sure that they wouldn’t send me another bill, and it said on their website that once you cancel you can still use it until your next bill is due. IML then quickly inactivated my account and stopped answering emails. I guess I’ll never get thart 75 dollars back…
 
Kama haya ndo mashudu unagoogle kuhusu forex basi nakuonea huruma...ndo maana nimekuambia YOU KNOW NOTHING ABOUT FOREX TRADING...endelea kugoogle hayo mashudu uzidi kujiabisha.
sina ninachogain kwako kukusaidia,in fact hata mimi nikitaka cheza naweza cheza na kupat ahela fasta na kuzitoa.Kisha kesho nibaki na watu wangu wa karibu niliowaibia hela nikagawana na criminals duniani. Tatizo kw amuda huu ni km binti aliyepata boyfriend wa kwanza ni rahisi hata kuwatukana wazazi wake hadi baadae ndio akili hurudi.
 
Naomba mnijuze sifa za kujiunga na forex training no kuanzia elim IP?
 
sina ninachogain kwako kukusaidia,in fact hata mimi nikitaka cheza naweza cheza na kupat ahela fasta na kuzitoa.Kisha kesho nibaki na watu wangu wa karibu niliowaibia hela nikagawana na criminals duniani.

Nimekaa nasikia Mbona kuna Harufu ya mavi humu...
Kumbe ni wewe jamaa yangu umejinyea... Katawaze kwanza basi.

upload_2017-10-8_21-48-43.png
 
Nimekaa nasikia Mbona kuna Harufu ya mavi humu...
Kumbe ni wewe jamaa yangu umejinyea... Katawaze kwanza basi.

View attachment 604967
Mnanitukana sio nimewauliza sana maswali, mnaonyesha hela zilzioingia kwani unadhani huwa haziingii kwa wezi waliotangulia? Hata jamaa yagu mmoja niliwahi mshika akionyesha nyumba ninayojua alivyojenga, anadanganya watu kuwa kajenga kwa upatu.Katoa picture kwa watu kibao kuonyesha wengine. Ningefurahi tuu km mngekuwa wakweli na kuweka risk zinazohusiana na hii ponzi. Hamtaki kutoa details kwanini.Matusi tuu mnaweka hapa.
 
Kuna chuo kikuu Tz au duniani kinachofundisha betting??

Kuna kitabu chochote kinachoelezea jinsi ya kubeti??

Nijibu tuendelee kiongozi...
Betting ni standard prediction games na zina sheria inayotokana na standards za hiyo michezo.Sheria zilitungwa kutokana na hiyo michezo ilivyotengenezwa haifikiriwi km bahati nasibu ya kawaida ndio maana masharti yake kwa nchi nyingi sio magumu,ila nchi zilizoendelea kuna issue mashirika makubwa ya malaysia na thailand yananunua hadi wachezaji wakubwa duniani ili matokeo yaende tofauti na upande walioweka points nyingi.Na wengi tuu wameshikwa na vikosi vya upepelzi ktk michezo ulaya.hata wacheza tenisi wakubwa wamekiri kufikiwa na watu km hao. maswali yao kidogoyana ulimbukeni. Kwa taarif ayako kuna courses za vyuo vikuu zinafundisha kwa watu wa sheria, wa uchumi, na wataalamu wenye kuenda kuwa wadau ktk hiyo sector.Ila kwa ujumla wengi wanafundishana.
 
Mkuu wangu unajivua nguo mchana kweupe... Yani kweupe peee!!! [emoji23][emoji23][emoji23]
tayatibu nitakushika tuu, hata km utajitoa fahamu ila utajitoa km wanavyojitoa wanywa gongo na wauzaji wao.Huwa wanakiri hiyo kitu sio nzuri ingawa wamechagua.Na wengi wanaangamaia njiani wakati wachache wanafanikiwa.
 
Umeshatawaza??????????
mnatukana matusi badala ya kujadili hoja.Mnaogopa nini kujadili na mbele ya ng`ombe wenu wa maziwa? Si mnataka muwafundishe.Ningekuja ktk darasa lenu mngenitukana hivyo badala ya kujibu hoja?Sasa ndio mnaniweka hapa.Km hamjibu nilichoomba.Wekeni breakdown hapa tuione.Then tungali wapi ni economically viable and sustainable. Wapi inaonyesha uchumi ktk mtiririko, hela inatoka wapi?mnanunua ktk soko gani au bank kupitia hiyo platform na mnauza wapi?Na hizo hela nyingine mnazochukua kwa watu zinaishia wapi na ni za nini km kuuza na kununua hela za kigeni FOREX Foreign Exchange kwa njia yenu kunalipa.
 
Back
Top Bottom