Mange Kimambi: Nini kibadilike kwa wanaharakati?

Mawele

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,044
Reaction score
3,691
Ningeomba kila Mtanzania afikirie kwa kina na kisha tutoe mawazo yetu nini kibadilike kwa wanaharakati.

Mimi personally naona kama wanaharaki wengi harakati zao zinaharibu movement kuliko kupeleka movement mbele.

Just because tuko same side doesn’t mean tuangalie tu pale some of us kazi wanayofanya ni more damaging to the movement kuliko kusaidia movement.

Yani mpaka naona kama kunahitajika training ya wanaharakati kufanyika au labda kuwe na group la wanaharakati ambapo kabla mtu hajaposti upuuzi wowote ambao katumiwa DM anatuma kwenye group then wanaharakati wengine wanatoa mawazo.

Too much fake news na ukurupukaji wa habari kitu ambacho sasa kinafanya wanaharaki wote tuonekane waongo with zero credibility.
Yani wao kila kitu anachotumiwa DM wanaruka nacho without thinking.

Hakuna strategy ya mapambano hakuna matumizi ya akili, hakuna strategy ya kuondoa wananchi uwoga na kuwawekea safe space ya kukutana na wananchi wenye fikra kama zao. Hakuna effort ya kujenga sailoji ya wananchi ni kuposti upuuzi wanaokota okota huko.

Wanaharakti wengi are killing the movement instead of advancing it kwa sababu ya ukurupukaji.

Hawajui hata target audience yao ni nani na jinsi ya kuwatengenezea safe space kwenye platform zao. Wao wanadhani the whole of Tanzania is their target audience, hapana target audience ni Watanzania wanaodai ha tu.

Naomba tushauriane jinsi ya kudili na hili tatizo.

Mfano I saw 3 huge mistakes just this last week alone, tena wiki ya maandamano, Story ya kimama kukimbia nchi, then akajitokeza kuwaharibia credibility kwa wanancji, ile barua feki ya wanafunzi wa vyuo vikuu na mbaya zaidi ile ya jana usiku wa manane wanaharakati wanaposti na kuriposti habari ya kuwaarifu Watanzania kuwa wauwaji wa KMKM kutoka Zanzibar wameingia bara na kuvalishwa nguo za polisi, really, hii ndio message ya mwisho wanaharakati kuwapa waandamanaji??? So CCM wawape habari za kutisha na nyie pia muwape za kutisha.

Alafu naomba mnisamehe kwa ambao nitawakwaza. Sio kama nataka kuwa kiongozi wa movement au kujifanya mjuaji na wengine hawajui, hapana hakuna kiranja kwenye hii movement, wote tuko sawa ila lazma turekebishane la sivyo hakuna mwananchi atatoka kuandamana kwa kuhamasishwa na watu ambao hawana credibility!!!! THIS IS WHY NAONGEA!!!!!!!!!

Bila kujenga credibility na uaminifu na u-seriousness na kujenga saikolojia za Watanzania hakuna Mtanzania atatoka kuandamana tena, watakuwa wanafanya maandamano ya kukaa ndani, which is not enough
 
Hauko sahihi hata kidogo. Uliyaka wafanyeje? Wadau wa maandamano ni Gen Z. Sasa utawakusanya wote uwahubirie? The only way ni kwenye social media. Tatizo ni kuwa tulijengewa uoga tangu 1961 tunapata uhuru. This is a girst attempt. Next wataona/ tutaona kosa liko wapi and we move forward to rectify!
Ukombozi hauji kwa single attempt! We might need years to come mpaka watu waamini kuwa risasi zitageuka maji ndipo ukombozi utapatikana
 
Kuna siku M23 itaanzishwa....time will tell!
 
Mange kimambi acha kukaa uchi na kuvaa chupi hadharani kingine futa laana ya kulalwa na baba yako
 
Tatizo kubwa la wanaharakati wengi wa sasa ni kutumia hisia sehemu inayohitaji data na mantiki, wanakubali kuendeshwa na dhana kwamba "haraka ndio msaada" wanashindana nani awahi kuposti wa kwanza harakati bila kujali ukweli jambo ambalo ni kosa la kimkakati.

Unapoposti habari feki, unaipa serikali/mfumo mwanya wa kutumia huo uongo kuichafua harakati nzima yani wanatumia kosa lako moja dogo tu kuhalalisha ukimya wao au kuonesha kuwa wapinzani ni waongo, kwanini uwe sababu sasa ya kuwaharibia na wengine kwa sababu ya ukurupukaji wako?

Badala ya kuwajenga raia wajue mwelekeo, wanaishia kuwachanganya na fear mongering ambazo mwisho wa siku zinawafanya watu waone kila kitu ni kama drama hivi.
 
Unakuta jibaba na midevu kama katani lina forward feki news kwa ujasiri wote na linajiona lipo timamu kisa tu hiyo feki news kaitoa kwa Hilda newton.
Ningeomba kila Mtanzania afikirie kwa kina na kisha tutoe mawazo yetu nini kibadilike kwa wanaharakati.

Mimi personally naona kama wanaharaki wengi harakati zao zinaharibu movement kuliko kupeleka movement mbele.

Just because tuko same side doesn’t mean tuangalie tu pale some of us kazi wanayofanya ni more damaging to the movement kuliko kusaidia movement.

Yani mpaka naona kama kunahitajika training ya wanaharakati kufanyika au labda kuwe na group la wanaharakati ambapo kabla mtu hajaposti upuuzi wowote ambao katumiwa DM anatuma kwenye group then wanaharakati wengine wanatoa mawazo.

Too much fake news na ukurupukaji wa habari kitu ambacho sasa kinafanya wanaharaki wote tuonekane waongo with zero credibility.
Yani wao kila kitu anachotumiwa DM wanaruka nacho without thinking.

Hakuna strategy ya mapambano hakuna matumizi ya akili, hakuna strategy ya kuondoa wananchi uwoga na kuwawekea safe space ya kukutana na wananchi wenye fikra kama zao. Hakuna effort ya kujenga sailoji ya wananchi ni kuposti upuuzi wanaokota okota huko.

Wanaharakti wengi are killing the movement instead of advancing it kwa sababu ya ukurupukaji.

Hawajui hata target audience yao ni nani na jinsi ya kuwatengenezea safe space kwenye platform zao. Wao wanadhani the whole of Tanzania is their target audience, hapana target audience ni Watanzania wanaodai ha tu.

Naomba tushauriane jinsi ya kudili na hili tatizo.

Mfano I saw 3 huge mistakes just this last week alone, tena wiki ya maandamano, Story ya kimama kukimbia nchi, then akajitokeza kuwaharibia credibility kwa wanancji, ile barua feki ya wanafunzi wa vyuo vikuu na mbaya zaidi ile ya jana usiku wa manane wanaharakati wanaposti na kuriposti habari ya kuwaarifu Watanzania kuwa wauwaji wa KMKM kutoka Zanzibar wameingia bara na kuvalishwa nguo za polisi, really, hii ndio message ya mwisho wanaharakati kuwapa waandamanaji??? So CCM wawape habari za kutisha na nyie pia muwape za kutisha.

Alafu naomba mnisamehe kwa ambao nitawakwaza. Sio kama nataka kuwa kiongozi wa movement au kujifanya mjuaji na wengine hawajui, hapana hakuna kiranja kwenye hii movement, wote tuko sawa ila lazma turekebishane la sivyo hakuna mwananchi atatoka kuandamana kwa kuhamasishwa na watu ambao hawana credibility!!!! THIS IS WHY NAONGEA!!!!!!!!!

Bila kujenga credibility na uaminifu na u-seriousness na kujenga saikolojia za Watanzania hakuna Mtanzania atatoka kuandamana tena, watakuwa wanafanya maandamano ya kukaa ndani, which is not enough
 
Hauko sahihi hata kidogo. Uliyaka wafanyeje? Wadau wa maandamano ni Gen Z. Sasa utawakusanya wote uwahubirie? The only way ni kwenye social media. Tatizo ni kuwa tulijengewa uoga tangu 1961 tunapata uhuru. This is a girst attempt. Next wataona/ tutaona kosa liko wapi and we move forward to rectify!
Ukombozi hauji kwa single attempt! We might need years to come mpaka watu waamini kuwa risasi zitageuka maji ndipo ukombozi utapatikana
Unachotetea ni kipi?
Juzi juzi kuna vichaa wengine wametengeneza barua ya Ai halafu nyumbu wao wakawa wanaisambaza, eti tarehe ya kufungua shule imesogezwa mbele.
 
Ningeomba kila Mtanzania afikirie kwa kina na kisha tutoe mawazo yetu nini kibadilike kwa wanaharakati.

Mimi personally naona kama wanaharaki wengi harakati zao zinaharibu movement kuliko kupeleka movement mbele.

Just because tuko same side doesn’t mean tuangalie tu pale some of us kazi wanayofanya ni more damaging to the movement kuliko kusaidia movement.

Yani mpaka naona kama kunahitajika training ya wanaharakati kufanyika au labda kuwe na group la wanaharakati ambapo kabla mtu hajaposti upuuzi wowote ambao katumiwa DM anatuma kwenye group then wanaharakati wengine wanatoa mawazo.

Too much fake news na ukurupukaji wa habari kitu ambacho sasa kinafanya wanaharaki wote tuonekane waongo with zero credibility.
Yani wao kila kitu anachotumiwa DM wanaruka nacho without thinking.

Hakuna strategy ya mapambano hakuna matumizi ya akili, hakuna strategy ya kuondoa wananchi uwoga na kuwawekea safe space ya kukutana na wananchi wenye fikra kama zao. Hakuna effort ya kujenga sailoji ya wananchi ni kuposti upuuzi wanaokota okota huko.

Wanaharakti wengi are killing the movement instead of advancing it kwa sababu ya ukurupukaji.

Hawajui hata target audience yao ni nani na jinsi ya kuwatengenezea safe space kwenye platform zao. Wao wanadhani the whole of Tanzania is their target audience, hapana target audience ni Watanzania wanaodai ha tu.

Naomba tushauriane jinsi ya kudili na hili tatizo.

Mfano I saw 3 huge mistakes just this last week alone, tena wiki ya maandamano, Story ya kimama kukimbia nchi, then akajitokeza kuwaharibia credibility kwa wanancji, ile barua feki ya wanafunzi wa vyuo vikuu na mbaya zaidi ile ya jana usiku wa manane wanaharakati wanaposti na kuriposti habari ya kuwaarifu Watanzania kuwa wauwaji wa KMKM kutoka Zanzibar wameingia bara na kuvalishwa nguo za polisi, really, hii ndio message ya mwisho wanaharakati kuwapa waandamanaji??? So CCM wawape habari za kutisha na nyie pia muwape za kutisha.

Alafu naomba mnisamehe kwa ambao nitawakwaza. Sio kama nataka kuwa kiongozi wa movement au kujifanya mjuaji na wengine hawajui, hapana hakuna kiranja kwenye hii movement, wote tuko sawa ila lazma turekebishane la sivyo hakuna mwananchi atatoka kuandamana kwa kuhamasishwa na watu ambao hawana credibility!!!! THIS IS WHY NAONGEA!!!!!!!!!

Bila kujenga credibility na uaminifu na u-seriousness na kujenga saikolojia za Watanzania hakuna Mtanzania atatoka kuandamana tena, watakuwa wanafanya maandamano ya kukaa ndani, which is not enough
I am afraid you don’t fully appreciate the unique environment in which the activists operate!

Kuna war strategist gani unayemjua ambaye amewahi kupanga war strategies in an open house na kuweza kupiganisha jeshi lake with great success. Hata war strategists wa Pentagon ukiwaambia wapange mikakati yao ya vita kwenye mazingira kama ya kina Mange, hakuna vita vyovyote watakavyoshinda.

Bora uwape maua yao wanaharakati wetu kwa kazi kubwa ambayo wameifanya. Serikali ya mazafakas imekuwa na unrelenting headache kwa sababu yao. The mazafakas are wasting a lot of money on counteroffensive measures and image repair!

Mchango wa wanaharakati wetu katika juhudi za kuwaongezea wananchi awareness ni mkubwa sana. Bila mchango wao, mazafakas wenye bunduki na vifaru pengine wasingekuwa wanalazwa na viatu na kuandamanishwa nchi nzima.

Please be realistic!
 
Kuna watu mashetani nyie, yaani mnaomba Mungu mfanikiwe kufanya maandamano?? Yaani mpo tayari kuharibu nchi yenu wenyewe na kukimbilia nchi za wenzenu? Maadui wanawawinda na nyinyi wenyewe mnagombana. Utakuwa na mwisho mbaya sana Mange wewe.
 
I am afraid you don’t fully appreciate the unique environment in which the activists operate!

Kuna war strategist gani unayemjua ambaye amewahi kupanga war strategies in an open house na kuweza kupiganisha jeshi lake with great success. Hata war strategists wa Pentagon ukiwaambia wapange mikakati yao ya vita kwenye mazingira kama ya kina Mange, hakuna vita vyovyote watakavyoshinda.

Bora uwape maua yao wanaharakati wetu kwa kazi kubwa ambayo wameifanya. Serikali ya mazafakas imekuwa na unrelenting headache kwa sababu yao. The mazafakas are wasting a lot of money on counteroffensive measures and image repair!

Mchango wa wanaharakati wetu katika juhudi za kuwaongezea wananchi awareness ni mkubwa sana. Bila mchango wao, mazafakas wenye bunduki na vifaru pengine wasingekuwa wanalazwa na viatu na kuandamanishwa nchi nzima.

Please be realistic!
is propoganda a weapon to movement
 
Historia inawahuku wanaharakati , mimi nahisi inatakiwa akili zaidi hata uhuru ulipatikana mezani sio kelele . Kiufupi , mtu anaukana uraia wake then anakuwa obsessed na hiyo nchi aliyoikana , hizi sio harakati ni nyege .
 
is propoganda a weapon to movement
Propaganda comes in many forms and is deployed in all imaginable situations. Even a lawyer making oral argument in a court of law uses propaganda because (s)he presents only facts that strengthen his or her client’s case or only facts that damage the other party’s case!
 
harafu hawaelewi vyama vinakatiba Yao wanayoamua wao wanataka na ccm ishiriki
 
Back
Top Bottom