Mambo niaje kaka?
I'm here my bro I ain't go nowhere so long as Jf is still accessible to me any time, any day.
Mkuu kaveli I am big supporter of this movement and i urge you to join and be the part of revolution as quickly as possible, this is rarest opportunity you should never allow it to pass up.
Once you are fully equipped with the right forex skills you won't be the same again financially, you'll never think about njaa, you will never go bankrupted,you will never wish to work manually again,you will start chasing your dream life,you will be an investor,you will be a bank for 9-5 job employees,you will be your own boss, you will bring back Pepetua(kidding though) yaani you will be financially stable forever as long as the forex market exists.
Sasa nini kina takiwa?
Ni kupata knowledge sahihi isiyokuwa na utata na mazoezi ya kutosha. Unaweza ukajifunza hata wewe mwenyewe lakini itakuchukua muda mrefu sana kuja kuwa profitable angalau mwaka mzima hivi kwa sababu utakuwa unasoma na vingine ambavyo hautakuja kuvitumia kabisa.
Kwa sasa naona hakuna haja ya kukomaa mwenyewe uchukue muda wote huo wakati kijana Ontario ametuletea mentors wa kuaminika wanao rahisisha kazi within one week na uangalizi wanakupa tena kwa bei nafuu kabisa.
Mimi binafsi Niko kwa game tayari tangu muda tu japo mwendo wangu bado ni wa kihoga.
This week kulikuwa na news kibao na haikuwa wiki rafiki kufanya trading kwa amateur trader ambae hana uangalizi wowote.
Halafu kama nimawahi kukujuza kuhusu hii kitu kipindi cha nyuma angalia private messages.
Nna tutorial videos kadhaa za kukuongoza lakini mentorship muhimu.
Jumapili njema.