Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Nimemaliza training Jana. I'm not the same guy who came to TMT last Monday!

Hakika nimepata knowledge itakayo nifaa for life.

This thing has to be taught in schools. Tutabadilisha maisha ya watu wengi sana kwa kushinda hii vita ya UHURU WA KIUCHUMI.

I'm a TMT ambassador now. I'll make sure I spread the good news to everyone I know.

Uzuri ni kwamba hatuuzi matikiti kwamba kukiwa na wauzaji wengi tutakosa soko!

We are in the world of endless opportunities for everyone who is willing to take them.

Sitaki kuzungumzia kiasi nilichotengeneza au nitakacho tengeneza hivi karibuni.

I will testify after six months!

It's a liberation movement, you can join us or you can watch us grow!

Results or excuses, the choice is yours. Have results and earn respect or have excuses and earn sympathy!

Peace be upon you!
 
ONTARIO Kuna watu hatuna hizo whatsaap. Unaweza kutupa utaratibu kwa mfano niko Singida lakini nahitaji kujiunga na watu wa Northen Zone - Kanda ya kaskazini, nilipie wapi na nitalipaje. Maana najua tarehe utatujulisha kupitia hapa JF. Tupe utaratibu maana huko Whatsaap magroup mengine yamejaa tayari.
Hauna wasap! Au magrp yamejaa?
 
Wakina sie wenye vichwa vugumu sijui tufanyaje angalau tupate mwanga kidogo....
Nimehudhulia training pale tmt and am thankful for that, naweza nkakusaidia Hv elimu ya forex inayotolewa pale haihitaj uwe na elimu kubwa ila uwe na uwezo wa kuelewa kizungu kwasabab lugha ya kufundishia ndo hyo
Kama upo vzur there is nothing to worry about just attend na the best service they offer ni mentorship aisee ni kitu kikubwa Sana ambacho wanakupatia yan market engineer atakapoona kuna opportunity sokon ata kuinform chap mnaingia sokon mnadownload pesa pamoja.
Ontario popote ulipo ubarikiwe Sana kwa kutuletea ukomboz watz
 
Hakuna tabu ndomana nimeuliza nianzie wapi.
Anza na vitabu mkuu, nenda kwenye Uzi wa kwanza wa mkuu Ontario kuhusu forex. Utapata vitabu vyote humo.

Pia pitia na comments za wadau mbali mbali, nakuhakikishia hautatoka kapa kama kweli unayo nia!
 
Nafurahi kuwa mmoja wa watakaohudhuria na kunufaika na forex training itakayoanza next week mwanza chini ya TMT
 
TMT is the great opportunity to Tanzanians,nawashukuru sana sana Mr V,Rea na Sirjeff Ontario kwa trainings na japo naendelea kujifunza.Nilifanya training week ya pili Group no.3 pale ofisini TMT Jangid plaza Oysterbay Dar es salaam na mwisho wa week iyo iyo nikaanza na 199 usd kama 471,000 tzs hivi mpaka jana tuna trade NFP nimeweza kutengeneza Usd 96 in profit just in a move yaani huku nafanya shughuli zangu zingine sio haba ni pesa ambayo huwezi kuipata kwa week kwenye biashara yoyote ile usd 96 ni kama Tzs 220,000 sipati picha kama mtu unakuwa nondo na una mtaji wa hata usd 5000 and just make 20 % of it per week, ni sawa na usd 1000 sawa Tzs 2200,000.This is very true and very promising opportunity never miss it vijana wenzatu.Naplani in a year nikusanye mtaji niwe na trade like usd 100,000 kama capital yangu and just imagine sawa na Tzs 220 mil and just make 5% of it each week with good risk management ni sawa na 11 mil just per week,ajira gani au biashara gani itakupa faida yote iyo?Vijana kama fursa twenzetu Forex forest just# fornoreason
 
Ahsante sana Mr Ontario na team yako apo Jangid.Mentors wetu na Secretary !kazi yenu Kubwa....matunda ya kazi yenu nimeyaona kuanzia siku ya kwanza tuu kufanya LIVE TRADING...
Mbarikiwe sana.
IMG_3968.jpg

Hiyo ni faida kwa siku ya jana tuu...namaanisha jana ijumaa 06/10/2017 tena jioni kuanzia Saa 9 mpk saa mbili usiku
Mtaji wngu ni chini ya 200$...
Be blessed again and again
 
Back
Top Bottom