Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

unajua we jamaa ni mnafiki sana tena sana achaga ujinga we ni mtu mzima kaa tuliza akili yako kama ni mafanikio kweny ujasiria mali dogo ame kupiga Gape kubwa
tena kubwa sana lakini kutwa kumu anzishia thread za kimafumbo na kumsema kama mwanaume si ufunguke tuu??

kwann usi jifunze kutoka kwake zaidi unacho kifanya ni kupita kwny nyuz zake na kutia shombo kama una fahamu lolote si useme na wap ume ona watu wame shikiwa akili zao?

kweny hii Forum ya biashara na uchumi ume jaza post nyng tu kuna nzuri za kuelimisha na kuna za waz waz za kumkashifu mwana kima fumbo mafumbo m nakuelewa vizur sana lakin unacho kifanya jua sio sahihi kama kuna kitu una jua Funguka apa as a man sio unavo fanya ww kina fiki!!!!
Mara moja moja jisifie mwenyewe make hata ONTATIO huwa anajisifia mwenyewe.

Sasa je wewe nani atakusifia? au ukisha shikiwa akili lazima ukeshe kusifia wanaume wenzako?

Mwanaume hasifii mwanaume mwenzake hiyo ni kazi ya wanawake kusifia na pia ni kazi ya watu wavivu.

Uko sawa? wacha kusifia bali jisifie hata MO huwa anajifisia mara nyingi sana

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Siko hapa kushindana na yoyote. Na sikonhapa Kusifia mtu. Hahaha wewe lini utasifiwa?

Unashinda humu kusifia wanaume wenzako?

Ufala mkubwa sana jisifie wewe binafisi, tehe tehe Mke wako mwenyewe akijua unashinda kwenye mitandao kusifia wanaume atakukimbia.

Acha ufala mimi sishindani na mtu bali nashindana mwenyewe.

Pesa za mtu totote yule ni zake yeye naaisha yake na si zangu kwa namna yoyote ile.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Sasa nime kuelewa we ni mtu wa aina gani
sitajibu upuuzi wako wowote utakao andika apa bali nitakuja na Fact ya kuonesha kwann all the time umekua Against sana!!

[HASHTAG]#watchMe[/HASHTAG]
 
Sasa nime kuelewa we ni mtu wa aina gani
sitajibu upuuzi wako wowote utakao andika apa bali nitakuja na Fact ya kuonesha kwann all the time umekua Against sana!!

[HASHTAG]#watchMe[/HASHTAG]
Hahaaa usipo jibu inanihuusu?

Make kutwa nzima kusifia hapa. Mwanaume kamili unashinda kusifia wanaume wenzako?

Mimi sishindani na mtu na sisifii mtu najisifia mwenyewe na sihitaji kusifiwa na mtu pia.

Screenshot_2017-10-11-08-26-23.png

[HASHTAG]#watchMe[/HASHTAG]
 
Sasa nime kuelewa we ni mtu wa aina gani
sitajibu upuuzi wako wowote utakao andika apa bali nitakuja na Fact ya kuonesha kwann all the time umekua Against sana!!

[HASHTAG]#watchMe[/HASHTAG]
Hahaaa utahangaika sana endelea na project yako ya kushikiwa akili
 
Ndio maana nnawashangaa watanzania wenzangu... Sijui nani katuloga kwa kweli!!
kuna watu mnawapa umaarufu bure tu.. mnapoteza muda wa kufanya analysis kujibizana na watu wazima walioshindwa kutafuta pesa wakiwa vijana..msiwe mnawajibu watu kama hao ni kupoteza muda bure...wakiuliza kuhusu forex wape FOREX BIBLE, ASTO FOREX, na vitabu kama 6 watarudi week ya 6 wakiwa na akili timamu wakati sie nunapiga pesa
 
Ingia katika prospectus ya UDSM, OUT au hata UDOM. Tafuta course ya INTERNATIONAL FINANCE Alafu tafuta course outline za International finance utakuta huu upatu wa Forex
Acha upuuzi tumeshaongelea haya. Internationala finance?Pia kuna international terrorism, na money laundering pia ni international business.Whats your point kuwa inaternational?
 
View attachment 606867
una jiita mjasiria mali then una wafata watu inbox ili kuwachafua ili iweje??

iyo Convo ume ianzisha mwenyew sikujui hunijui then what ulitaka ugundue nini??

am not that stupid mwaga ugali na mwaga mboga
[HASHTAG]#watchMe[/HASHTAG]
Wow!!! This is Chasha, someone who has high reputation in this forum did this
 
Kwanza ukitaka tuende sawa kweny hii issue ya forex kubali ubongo wako ukubaliane na changes.....

Soma facts zifuatazo;

Forex ni biashara ya pesa za kigeni ambayo inahusisha kuuza na kununua hizo pesa, najua hili unalijua.

Hii biashara inahusisha pesa zenye thaman kubwa kiuchum [pesa za mataifa makubwa mfano usd, japanese yen, great britain pound, euro], precious metals, cryoptocurrency etc.

Ni biashara inayofanyika online......ni sawa na bureau de change lkn inayofanyika online.....na controller ni world market control agencies, km vile stock exchange kubwa kubwa dunian, hali ya uchum wa nchi husika, nk.

Physical office zipo hasa za brokers.....sabab huwez trade bila broker.......kiufup broker ni yule unayemtumia physical money thru online pale unapofund acc yako......baad ya kutrade huyo broker ndo atahusika kukulipa pesa yako uloingiza.......ni sawa na ww una pesa yako ulotumiwa kwa mpesa ukitak kuitoa unaend kwa agent unatoa virtually then unapewa ur physical money....

Ni biashara ambayo ni somo kabsa kwa wale wanaosoma au waliosoma masomo ya uchumi kuanzia secondary mpk level za juu.....lkn as usual elimu yetu imekaa theoritically zaid hivyo kuipractice huwa ngumu.

Cha mwisho unachotakiwa kujua ni kwamba its an international business.....nchi zilizoendelea ni kitu cha kawaid san.....kwa afrika nchi ya afrika kusini ndo hii biashara ipo kwa rate kubwa sabab ni nchi iliyoendela tofaut na nchi nyingne za afrika.......kwa tanzania kuna watu wanaifanya hii biashara lkn ndo hivyo hawatak kuwafumbua watu macho ila ontario kaamua kutusogezea fursa....
Rubbish, umeweka story nzuri juu, chini ukamalizia nchi zilizoendelea ni kawaida?Ni kawaida forex ila sio kawaida upatu ktk forex. Pia sio kawaida ni halali,hata huko ushoga ni kawaida sana.Je inafanya kuwa sahihi?Pia infact Hizo hizo nchi hazina utaratibu wa kufanya biashara zinazoishia kuhamisha hela nje ya nchi.KUna swali umeruda sijui hujui nilikuwa namaanisha nini? Nilitaka mnipe mchanganuo wa kuonyesha kuwa mwisho wa siku hela zinazoingia nchini km dollar ni nyingi kuliko mnazosaidia maharamia kuchukua mchini halafu nyie mnagawaiwa kiduchu.
Kuhusu TMT:

Kwanza unatakiwa ujue pesa tulolipa sio ada wala kiingilio.......its just a commitment fee.....ni pesa ambayo haitosh hata matumiz ya week kwa maisha ya dar...... knowledge tunayoipata ina thaman kubwa mara 100 ya icho kiwango cha pesa.
Commitment ipi zaidi ya kuingiza mtaji?
Vision na mission ya TMT iko wazi.....to be a first forex broker in east africa, hilo ndo lengo la bwana mdogo ontario.....ni kjana mwenye vision kubwa ktk maisha yake.....hichi anachokifanya sio kwamb hana malengo la hasha....ana maana yake....kumbuka huyu ni mtu ambaye tayar ni icon kweny ujasiriamali hivyo kamwe hawez haribu cv yake kwa kuendesha upatu wa kuibia watu pesa zao.
Hata upatu nao wana vision ya kuwa wa kwanza pale juu ile wafanyiwe kazi na hawa hapa chini.
TMT ni kampun ilosajiliwa na mamlaka zote husika....hata ukitaka kuoneshwa documents we sema tuu.....ni kampuni yenye objectivea zake na soon utaona matunda yake......we gonna be first agents.......kampun ni watu na watu wenyew ndo sisi.....

Km huelew hata macho huna?
Kusajili kampuni ni kitu kingine kupewa leseni ni kitu kingine.Je mna leseni ya BOT?Mna deposit bei ngapi BOT ya kugarantee watu mnaowadanganya na kuwalazimisha waingie kwa nguvu hizi.Wengi hawajui wanafanya nini zaidi ya kuona transactions tuu. Pia Nimekuuliza ktk forex mnayofanya unajua nani unamuuzia na nani ananunua zaidi ya kuona sijui rangi ya blue?Infact brokers wapo clear zaidi ktk kuuza bond, share, etc ila money ni very trick zaidi ya unavyotaka jaza junks hapa na story za wale jamaa zetu wanaoongea kisha wahuni wao wanapiga makofi na kelele na kusema huyu ni nouma humuwezi kaona mengi..
 
Rubbish, umeweka story nzuri juu, chini ukamalizia nchi zilizoendelea ni kawaida?Ni kawaida forex ila sio kawaida upatu ktk forex. Pia sio kawaida ni halali,hata huko ushoga ni kawaida sana.Je inafanya kuwa sahihi?Pia infact Hizo hizo nchi hazina utaratibu wa kufanya biashara zinazoishia kuhamisha hela nje ya nchi.KUna swali umeruda sijui hujui nilikuwa namaanisha nini? Nilitaka mnipe mchanganuo wa kuonyesha kuwa mwisho wa siku hela zinazoingia nchini km dollar ni nyingi kuliko mnazosaidia maharamia kuchukua mchini halafu nyie mnagawaiwa kiduchu.Commitment ipi zaidi ya kuingiza mtaji? Hata upatu nao wana vision ya kuwa wa kwanza pale juu ile wafanyiwe kazi na hawa hapa chini.
Kusajili kampuni ni kitu kingine kupewa leseni ni kitu kingine.Je mna leseni ya BOT?Mna deposit bei ngapi BOT ya kugarantee watu mnaowadanganya na kuwalazimisha waingie kwa nguvu hizi.Wengi hawajui wanafanya nini zaidi ya kuona transactions tuu. Pia Nimekuuliza ktk forex mnayofanya unajua nani unamuuzia na nani ananunua zaidi ya kuona sijui rangi ya blue?Infact brokers wapo clear zaidi ktk kuuza bond, share, etc ila money ni very trick zaidi ya unavyotaka jaza junks hapa na story za wale jamaa zetu wanaoongea kisha wahuni wao wanapiga makofi na kelele na kusema huyu ni nouma humuwezi kaona mengi..
ndio maana mmeambiwa someni vitabu kuhusu forex, tatzo watz ni wavivu mno kushughulisha akili
 
Siku zote hoja zinajibiwa kwa hoja.

Ukiibua tuhuma zisizo na ushahidi tegemea majibu ya karaha, na sio hoja!

Nicholas anadai TMT inaendesha upatu kupitia forex. Tunaomba atupe uthibitisho ili apewe majibu kutokana hoja na uthibitisho atakaoutoa.

Lakini kama ataendelea tu kutoa false accusations, basi anastahili majibu anayopewa. Ataishia kutuita vitoto, vilaza, matapeli au vyovyote atakavyopenda ila hana hoja ya kutukwamisha!

Hebu tudiscuss kwa hoja mkuu. Wekeni uthibitisho TMT inaendesha vipi upatu wa Forex?

Otherwise, tusikaripiane. Maana hizi ID feki naweza kujikuta namtukana mtu wa umri sawa na mzazi wangu. Sio kitu kizuri!

Leteni hoja
SIo nadai ndio hivyo.Na hakuna hoja mmejibu nyie.Kwanza km mnajiamini sana kuliko kutembe nchi nzima mkikomba hela wekeni kiasi pale BOT km dhamana.Na muwe na leseni BOT.Blah blah nyingine ktk pesa hakuna.
 
wakikujibu nipigie simu
 
ndio maana mmeambiwa someni vitabu kuhusu forex, tatzo watz ni wavivu mno kushughulisha akili
Mpuuzi kweli wewe mtoto sina muda sana wa kubishana na upuuzi wenu.Nilichokuwa nataka watahadharisha biashara ya pesa za watu nchini lazima uwe na Leseni ya BOT na uwe umeweka dhamna nono,ili watu wakiumizwa ulipe bob.

Wewe si umekisoma hicho kitabu na kukielewa ?Mbona huna majibu hapa?Unavibrate tuu .Siwashangai wabongo,hata baba zenu wakiona hela uwa wanasema mkataba upo safi kwa maslahi ya taifa.

MUDA MREFU HAPA VIJANA WOTE MPO VERY SHALLOW ILA MNAJIONA MPO FRESH SANA. MNANIAMBIA NISOME KITABU CHA FOREX KUHALALISHA UPATU KTK FOREX NANI KAKUAMBIA NITAKUTA HUKO HUU UPATU? NI KM GAIDI ANIAMBIE NIKASOME KITABU CHA JESHI NI NINI ILI NIONE KUWA GAIDI NI MTU HALALI.JUST BECUASE NA WAO WANATUMIA MBINU ZA KIJESHI.
 
mie mmoja wapo...ila kwa upande wa visiwani kama hamasa ni ndogo kwetu..cjui kwanini!
 
hii inaweza kuwakatisha tamaa hawa mafacilitator kwa kweli
 
CMA proposes tough rules for online forex traders in Kenya

By Patrick Alushula | Tuesday, Jul 19th 2016 at 00:00

Share this story:

CMA currently regulates all trading taking place on the Nairobi securities Exchange. It wants to extend its regulatory powers to cover online forex trading.

NAIROBI: The Capital Markets Authority (CMA) is proposing tough regulations on businesses and brokers involved in online foreign currency trading.

Through draft regulations named ‘Licensing requirements for online forex brokers and conduct of online forex business’, companies seeking to enter forex trading will be required to have capital of at least Sh50 million.

Where an applicant is an online forex broker in another jurisdiction, the applicant will have to commit that the Sh50 million will be maintained in Kenya at all times. In addition, the regulator also wants such businesses to have at least Sh40 million, being 80 per cent of their capital, in liquid form.
Sasa hapo utapeli ukwapi? Huu utapeli gani mpaka utungiwe sheria ungekuwa utapeli wangekataza kabisa
 
Mpuuzi kweli wewe mtoto sina muda sana wa kubishana na upuuzi wenu.Nilichokuwa nataka watahadharisha biashara ya pesa za watu nchini lazima uwe na Leseni ya BOT na uwe umeweka dhamna nono,ili watu wakiumizwa ulipe bob.

Wewe si umekisoma hicho kitabu na kukielewa ?Mbona huna majibu hapa?Unavibrate tuu .Siwashangai wabongo,hata baba zenu wakiona hela uwa wanasema mkataba upo safi kwa maslahi ya taifa.

MUDA MREFU HAPA VIJANA WOTE MPO VERY SHALLOW ILA MNAJIONA MPO FRESH SANA. MNANIAMBIA NISOME KITABU CHA FOREX KUHALALISHA UPATU KTK FOREX NANI KAKUAMBIA NITAKUTA HUKO HUU UPATU? NI KM GAIDI ANIAMBIE NIKASOME KITABU CHA JESHI NI NINI ILI NIONE KUWA GAIDI NI MTU HALALI.JUST BECUASE NA WAO WANATUMIA MBINU ZA KIJESHI.
Hahahaa mkuu Nicholas
 
Back
Top Bottom