- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,088
- 10,558
What I mean is, go get a life and save your broke ass!Old man,What do you mean? young ass!
What I mean is, go get a life and save your broke ass!Old man,What do you mean? young ass!
Ha!ha Huwezi Kujifunza Kuogelea Online! I'm sorry.Mngewekeza nguvu kubwa kwenye online training. Masuala ya analog ya mpaka muonane wakati mnafanya biashara ya online yanapwimbusha ngumba
Mkuu, najua huwa tunakutana sana humu kwenye threads zenye nature ya kujikwamua kimaisha. Nakufuata PM mkuu unipe ABCs kuhusu hii.
Isijekuwa vijana njaa inatuchapa kitaani kumbe kuna fursa ya kupata real money bila jasho kiviiile.
Mkuu Lizarazu upo wapi kaka?
-Kaveli-
Haa haaa live mkuu jipange novemba kuja mbeyaSongea lini aiseee....dah kukaa porini sa nyingine kunacost kweli kweli!
Wakuu karibuni sana kwenye FX business. It is real lucrative business na mm tayari ninaanza kuona a good future katika maisha yangu. Nilikuwa miongoni kwa watu wa awali kabisa kupata training na mentorship.
Nakosa maneno ya kuwashukuru TMT na hasa Ontario kwa kukubali heartly kushare this opportunity. It has been a life changing opportunity.
Safari yangu ilianza na $643 wiki mbili zilizopita na mpaka sasa nimeshatengeneza about 1,500+$. Nimehamisha 1,000$ kwenda my landing account na kesho J3 naipeleka account yangu ya bank ya FNB. Balance ya profit na my initial capital sum to $1,000+ naanza nayo wiki inayoanza kesho J3 na by the end of the next week it will sure reach 2,000$.
Atakaye kosa this opportunity will should blame him/her self down the line
Karibuni TMT mpate madini yatakayobadirisha maisha yenu
[emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] ForNoReason
View attachment 604483
Wakuu karibuni sana kwenye FX business. It is real lucrative business na mm tayari ninaanza kuona a good future katika maisha yangu. Nilikuwa miongoni kwa watu wa awali kabisa kupata training na mentorship.
Nakosa maneno ya kuwashukuru TMT na hasa Ontario kwa kukubali heartly kushare this opportunity. It has been a life changing opportunity.
Safari yangu ilianza na $643 wiki mbili zilizopita na mpaka sasa nimeshatengeneza about 1,500+$. Nimehamisha 1,000$ kwenda my landing account na kesho J3 naipeleka account yangu ya bank ya FNB. Balance ya profit na my initial capital sum to $1,000+ naanza nayo wiki inayoanza kesho J3 na by the end of the next week it will sure reach 2,000$.
Atakaye kosa this opportunity will should blame him/her self down the line
Karibuni TMT mpate madini yatakayobadirisha maisha yenu
[emoji838] [emoji838] [emoji838] [emoji838] ForNoReason
View attachment 604483[/QUOTE
Always tunapewa guidance and mentor wetu juu ya lot size and idadi ya trades to place kulingana na capital uliyonayo. Kwa mtaji wangu wakati naanza, nilitumia 0.02 lot size na 7 trades at once. Na ulipoongezeka above 700 I used 0.03 na 10 trades at a time. Though I sometimes scalped when I was already in [emoji838] [emoji838] [emoji838]MWANA WA NGURUMO
Nafurahia sana kupata mrejesho kutoka kwa wanufaika wa hii fursa ya Forex.
Naomba kukuuliza, katika trading zako
=>LOT SIZE ilikuwa constant@0.02 kwa muda wote?
=>How many trades were placed at once?
Natanguliza shukrani
Hongera sana nkwarisambu kwa hatua kubwa nawe uliyofikia. Big up sana MkuuMkuu hzo hatuna za taratibu unazoenda nazo ni nzuri sana...mm nilianza na $330 ndani ya seven trading days account ina $2500 mpaka nimeogopa yaani inabidi nipunguze kasi maana nahisi ninakoelekea si pazuri ingaweje nipo Makini sana kwenye risk management.
Hakuna cha kumlipa Ontario zaidi tu ya kumwombea afya njema kwa Mungu...nimlipe nn yaani....sina na sitakaa niwe nacho.
Kwa wale ambao bado hawajaamini hii ishu na bado wanaamini ni utapeli au kamari fikeni jangid plaza TMT office mkabadilishe maisha yenu.
Nimeshafanya Biashara nyingi nyingi tu na nyingine zilinilipa mpaka nikaamini hakuna Biashara inayolipa kama hyo ila forex trading ndo funga kazi...muhimu ni uwe na muongozo sahihi ambao sehemu pekee utakaoupata huo muongozo ni TMT jangid plaza.
Wakuu wa mikoani changamkieni hii fursa hakuna Biashara halali duniani ambayo utawekeza ts 300,000 ikupe faida kati ya elfu hamsini mpaka laki kwa siku....hakuna ni forex trading pekee.
Mungu mbariki Ontario na timu yake yote kwa haya wanayofanya kwa watanzania.
Kupata hela haimaanishi sio scam. Tatizo ni kwamba watz hawana woga wa kuendesha scams kwa vile wakiwa wa kwanza kabla haijafikia ukingoni wanakuwa wamesharudisha hela zao.Ni kukosa maadili.Salute bosses
Tangu tumeanza hii movement JamiiForums mmekua pamoja nasi muda wote. I must be very thankful for their continuous support and generosity, thanks team for the great work. Siwezi kuweka kwenye maneno mazuri sana, but you guys owe me big time, I will expect you to consider yourself in my debt [emoji14].
Kwa mafanikio makubwa sana tulianza training na mentorship ya forex hapa Tanzania wiki kadhaa zilizopita, mpaka sasa tayari zaidi ya wanafunzi 350 wamenufaika na hii movement. I am not exaggerating things, lkn kiuhalisia 95% ya wanafunzi wametengeneza pesa ndefu sana, na wataendelea kutengeneza pesa for their lifetime.
Mifano ni mingi mingi mingi sana, siwezi kupost yote hapa, lkn kiukweli people are downloading money. Mfano mzuri ni huyu mwanafunzi alianza kutrade Ijumaa iliyopita akiwa na $90 (200,000 TZS) baada ya wiki 1, hadi jana alikua na $635.90 (1,425,000 TZS) mind you hii ni ndani ya wiki 1.![]()
![]()
Kuna mwanafunzi mwingine yeye alianza wiki 2 zilizopita. Huyu ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph, Yeye alianza na $199 (445,00p), mpaka jana ijumaa alikua ana $1437 (3,220,000 TZS). Huu ni mshahara ambao waheshimiwa wengi ambao wapo kazini zaidi ya decades kadhaa hawapati kwa mwezi![]()
Mifano ni mingi sana, kama huyu kwa siku ya jana pekee aliingiza $808 (1.8 mil), pesa ambayo watu wengi sana TZ hawaipati ndani ya mwezi mzima.![]()
Kwa mtaji wa 375,000 siku 1 tu ya jana kapata faida ya 116,000![]()
Wanafunzi wengi tulioanza nao wiki ya kwanza tayari wameanza kuwithdraw profits from their trading accounts to bank accounts ili kuupgrade their living standard nk nk.
The whole idea kuhusu The Million Team ni kueneza hii elimu ya forex kwa watu wengi zaidi, Tanzania nzima. It's not breaking news that people are struggling to make money for themselves, si Dar pekee yake bali Tanzania nzima. Nilikua naumia sana kwamba ofisi zipo Dar, na asilimia 95 wanaopata training ni watu wa Dar pekee wakati TZ ina mikoa zaidi ya 30. Hii kitu ilinifanya nifikirie njia yoyote mbadala ya kuwafikia waTanzania wengi zaidi, sitajali natumia gharama kiasi gani, but as far as the impact is worth it sina tatizo kabisa.
Sasa hivi tumeamua kuzunguka mkoa mmoja baada ya mwingine, hadi mwaka unaisha nitahakikisha kila kona ya TZ imefikiwa, at all COST, even if it means I have to spend money from my own pockets. I have no any other good option.
I must be honest, wanafunzi wa Dar wanafahamu vizuri, price ambayo wanalipia kama training na mentorship fees is less than a fraction of what others charge. I just decided to share part of my life with my fellow brothers and sisters, that's all. No one will ever be broke for giving his neighbour a piece of bread.
Utaweza kuona gharama tuyayoicharge tukiwa Dar ni 130,000 and still ni gharama hiyo hiyo tutawacharge watu waliopo Tandahima, Tunduma, Kasulu nk, japo tukiwa nje ya Dar itabidi tulipe gharama ya hotel, flights, on road travel, training venue nk. The whole movement is to bring back hope Tanzanians. Muda wa kukaa kuitukana serikali, kwamba hawajakufanyia ABC, ni bora ungetumika in a productive way.
Tunaanza kuzunguka mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya. Ni ngumu lkn inawezekana sana.
Leo mimi na team yangu tutasafiri kwenda mwanza... tutaanza mwanza training tarehe 9 hadi 13 (Monday-Friday). We will work day and night kuhakikisha tumegusa waTanzania wengi iwezekanavyo tukiwa mwanza. Kisha tutarudi Dar kwa wiki 1. Baada ya hapo tutaenda Arusha, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Morogoro... and the list goes on and on.
Utaratibu wa kujiunga:
Kuna magroup ya wasap yataanzishwa, so tutajimobilize kwa kutumia hayo magroup na JamiiForums pia. Then after Tutadiscuss pamoja, wapi na lini tunafanya tour. Inabidi uingie group la mkoa wako ama mkoa wa jirani yako, not otherwise. Kama uko Moshi na unahisi utaweza kuhudhuria training ya Arusha, unaingia group ya Arusha, kama upo Simiyu unaweza ingia group ya mwanza. Tukiwa huko kwenye groups tutapanga kila kitu kwa pamoja in a very transparent order. Kwasasa magroup yapo kikanda!!
Magroup yapo kama ifuatavyo
Lake zone - kanda ya ziwa
TMT Forex Lake Zone
Northen Zone - Kanda ya kaskazini
TMT Forex Northen Zone
Highland zone - nyanda za juu kusini
TMT forex Highland Zone
Coast Tanzania - Dar & pwani
TMT Forex Dar
Central Zone - Dodoma na mikoa jirani
TMT Coastal zone
Kupata hela haimaanishi sio scam. Tatizo ni kwamba watz hawana woga wa kuendesha scams kwa vile wakiwa wa kwanza kabla haijafikia ukingoni wanakuwa wamesharudisha hela zao.Ni kukosa maadili.
Always tunapewa guidance and mentor wetu juu ya lot size and idadi ya trades to place kulingana na capital uliyonayo. Kwa mtaji wangu wakati naanza, nilitumia 0.02 lot size na 7 trades at once. Na ulipoongezeka above 700 I used 0.03 na 10 trades at a time. Though I sometimes scalped when I was already in [emoji838] [emoji838] [emoji838]
Ndio Mkuu. He does analysis and share with the team and then if you have any questions about analysis you ask. This makes a lot easier
Kwa sababu umeamua kunitusi.Ngoja nianze hivi. FOREX IMENIZIDI SANA UMRI ILA SIO UPATU KTK FOREX. Hata sabuni imenizidi umri ila sio upatu wa sabuni unaofanywa nyuma ya sabuni. Sasa nipe analysis hapa ya MChakato mzima wa kujiunga hadi kutengeneza pesa na mimi nikupe facts zote.Mkuu hii kitu inakuzid sana umri....achana nayo itakuumiza kichwa bure....scam iliyoanza kabla ya vita ya pili ya dunia na mpaka leo ipo ni scam ya ajabu sana hyo...na haitakaa ifike Mwisho kama ambavyo akili yako ndogo inavokutuma..
Kwa sababu umeamua kunitusi.Ngoja nianze hivi. FOREX IMENIZIDI SANA UMRI ILA SIO UPATU KTK FOREX. Hata sabuni imenizidi umri ila sio upatu wa sabuni unaofanywa nyuma ya sabuni. Sasa nipe analysis hapa ya MChakato mzima wa kujiunga hadi kutengeneza pesa na mimi nikupe facts zote.
Daaah nimehuzunika kweli kweli hasa kwa heshima nliyokua nakupa kulingana na michango yako kule kwenye siasa...Kupata hela haimaanishi sio scam. Tatizo ni kwamba watz hawana woga wa kuendesha scams kwa vile wakiwa wa kwanza kabla haijafikia ukingoni wanakuwa wamesharudisha hela zao.Ni kukosa maadili.