Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,761
Labda sisi tunakosea mkuu wangu. Embu niambie tatizo ni nini mkuu??chezea kushikiwa akili na one Man
Labda sisi tunakosea mkuu wangu. Embu niambie tatizo ni nini mkuu??chezea kushikiwa akili na one Man
huyo ni kilaza level ya phd, kuandika tu hajui ndio ataelewa forex ni nini.Swali gumu sana ila mwandiko wake tu nahisi hayuko sawa, mtiririko wa hoja na mpangilio wake vinaashiria kitu! Let me give you a benefit of doubt!!
Mkuu@KANA acha tu atutapeli kiukweli kiroho safi[emoji109]View attachment 606210
Endelea kutapeli kaka, kama hadi wataalam wa uchumi wanakuita kutoa speeches kwenye makongamano makubwa namna hii, basi utapeli wako ni mzuri.
Kwa wale mnaotupinga, sisi tumeamua wenyewe kutapeliwa!
Leave us alone!
Tumeamua kushikwa akili kwa ridhaa yetu mkuu, kwa hiyo hauna haja ya kutuhurumia!chezea kushikiwa akili na one Man
Tumeamua wenyewe kwa ridhaa yetu. Yani huu usawa wa Magu ulivyo bana, mtu unapata kahela kako alafu anatokea mtu mwingine kukupangia namna ya kukatumia!Mkuu@KANA acha tu atutapeli kiukweli kiroho safi[emoji109]
Hela yangu sijaiba kwa mtu wala kukopa wacha waniibie tu si yangu kama wao wanavyodai,Tumeamua wenyewe kwa ridhaa yetu. Yani huu usawa wa Magu ulivyo bana, mtu unapata kahela kako alafu anatokea mtu mwingine kukupangia namna ya kukatumia!
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]
Mkuu umetumia capital gani kumake hicho kiasi?View attachment 606325 hii ni screenshot yangu ya mapema Leo. Hesabu yangu hii ya kulaza kila siku ninapopata nafasi ya kutrade hii hapa dola 100 ambayo ni sawa na 100×2300= 230000/= kwa Siku. Leo imezidi.
ONTARIO I tried it and it works. We are just paid by waiting patiently the screen to turn blue.
"I'm riiiiiiiich!!!" Screamingly
Kwa wale walosoma HKL nao wataiweza au mpaka mahesabu ya Log yawe yanapanda vizuri. Pia, ili kuanza hiyo Forex inakuhitaji uwe na vitu gani vya kielektroniki kama aina ya simu, PC nk. Account nk.?Wapi panakutatiza nikueleweshe?
kajamaa ni kana FIKI kiwango cha Lami kime jaza thread za mafumbo mafumbo!!!Labda sisi tunakosea mkuu wangu. Embu niambie tatizo ni nini mkuu??
Sio akili yako bali kushikiwa akili. Hapo huambiwii chochote wala lolote na akili itakurudia baadae sanakajamaa ni kana FIKI kiwango cha Lami kime jaza thread za mafumbo mafumbo!!!
we mfatilie tu taratibu utaiona Ngozi yake halisi uyo jamaa wakujiita chasa
unajua we jamaa ni mnafiki sana tena sana achaga ujinga we ni mtu mzima kaa tuliza akili yako kama ni mafanikio kweny ujasiria mali dogo ame kupiga Gape kubwaSio akili yako bali kushikiwa akili. Hapo huambiwii chochote wala lolote na akili itakurudia baadae sana
Ndugu unapoteza muda wako kujibishana nao ..hao ni kama kikundi wamejipangaunajua we jamaa ni mnafiki sana tena sana achaga ujinga we ni mtu mzima kaa tuliza akili yako kama ni mafanikio kweny ujasiria mali dogo ame kupiga Gape kubwa
tena kubwa sana lakini kutwa kumu anzishia thread za kimafumbo na kumsema kama mwanaume si ufunguke tuu??
kwann usi jifunze kutoka kwake zaidi unacho kifanya ni kupita kwny nyuz zake na kutia shombo kama una fahamu lolote si useme na wap ume ona watu wame shikiwa akili zao?
kweny hii Forum ya biashara na uchumi ume jaza post nyng tu kuna nzuri za kuelimisha na kuna za waz waz za kumkashifu mwana kima fumbo mafumbo m nakuelewa vizur sana lakin unacho kifanya jua sio sahihi kama kuna kitu una jua Funguka apa as a man sio unavo fanya ww kina fiki!!!!
Uyu ana lake jambo mchunguze vizur uta muelewa uzuri JF huwez kufuta nyuzi/threads zipitie uone uta elewa nn namaanisha apo juuNdugu unapoteza muda wako kujibishana nao ..hao ni kama kikundi wamejipanga
Siko hapa kushindana na yoyote. Na sikonhapa Kusifia mtu. Hahaha wewe lini utasifiwa?unajua we jamaa ni mnafiki sana tena sana achaga ujinga we ni mtu mzima kaa tuliza akili yako kama ni mafanikio kweny ujasiria mali dogo ame kupiga Gape kubwa
tena kubwa sana lakini kutwa kumu anzishia thread za kimafumbo na kumsema kama mwanaume si ufunguke tuu??
kwann usi jifunze kutoka kwake zaidi unacho kifanya ni kupita kwny nyuz zake na kutia shombo kama una fahamu lolote si useme na wap ume ona watu wame shikiwa akili zao?
kweny hii Forum ya biashara na uchumi ume jaza post nyng tu kuna nzuri za kuelimisha na kuna za waz waz za kumkashifu mwana kima fumbo mafumbo m nakuelewa vizur sana lakin unacho kifanya jua sio sahihi kama kuna kitu una jua Funguka apa as a man sio unavo fanya ww kina fiki!!!!