Atacms
JF-Expert Member
- Aug 19, 2013
- 5,468
- 10,095
una andika mashudu afu unajiona ume andika mwenyew kumbe shuduHata deci pia ilikuwa na watuw aliokuwa wakivuna na ndio walikuwa mashuhuda mbele ya wengine,tena wanakuwa mashuhuda kwa watu wanaowaamini km ndugu za.Siku linafikia kileleni ni kilio, na gonjwa kaenda okota ndugu yako na kawaletea kwa furaha kabisa.Ndio tabia ya MLM nyingi ku nyonya kupitia unduku,uhusiano wa watu.Watu wanaoaminian ni rahisi kuuzia, kwa vile kuna wanaofuata watu, kuna wanao onea wengine aibu,kuna wanaofuata mkumbo, kuna wanaoona watadhalilika mbele ya wenzao wanaojituma, na kuna watakaogopa kumwambia mtu wa karibu no huku ni king`ang`anizi.Mbaya zaidi ndugu king`ang`anizi mwenye ushuhuda wa transaction ni ngumu kumtosa,na kuweka hela hata kuuza chips.Mbona akina mangi wanauza vitu vya kawaida na wanapiga hela haswa?Hawana vilio vya matozi wa mjini.
ukitaka kumficha mtanzania kitu mwekee kwenye maandishi..
Elimu Elimu Elimu....
una fananisha Forex na Deci??, Forever Living??
kazi kwel kwel Bongo bado tuna safari ndefu