Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

vipi mmekimbia, mna haraka kwenda ibiwa kwa vile wanaowatapeli wanawaambia kuwa mnatengeneza pesa?NIlitaka uliza hiyo pesa kwenye huo mtandao zinatengezwa vipi?Wamesajiliwa wapi, address ya marekani ni virtual au real physical address?Je michango ya mwezi na hela kufundishwa ni ya nini km hela zinaingia kwa kufanya exchange ? wana hisa wapi new york stock exchange,nasqad au wapi pennye security ya hela.nani mwanzilishi wa hiyo business.Hiyo real time stock data wan aggregare toka source gani? Kwanini membership fees ukistop kuchangia unatoka km unaingiza faida. je hao jamaa wapo nchi gani nyingine ya asia?Malaysia,philipines,brazil, indonesia, thailand ndio mbingu za upatu.Kwa vile huko hakuna sheria, na raisa wanataka utajiri wa haraka. Wengi wao ndio wateja ila wanaaminishwa kuwa wajasiria mali.Wanaopata hela ni wale waliongia mapema wanaochelewa lazim ile kwao.

Kmapuni yeyote yenye physical Address marekani unaweza check na report za FBI, kwa vile FBI huwa hawaachi.Upatu ni haramu marekani.Ila virtual address ni jina tuu ila kampuni haipo nchini marekani.
Nlichokigundua ww mtu unaugonjwa mbaya sana kuliko hata aids, huo ugonjwa wako unaitwa ULOFA (ashakum si Matusi),,
Yan u don't have an open mind kuangalia opportunity mpya kwny mazngra yako,,yan in short umerdhka na kipato chako wala sio tatzo lkn unajarbu kuongea kitu ambacho hujui lolote kuhusu forex na unaonekana si mfuatiliaj ebu b4 hujaongea pumba pita hata google kasearch forex ni nn ata YouTube pita kaangalie forex n nn kisha ndo uje ulopoke. BASHITE
 
Ningekuja ktk darasa lenu mngenitukana hivyo badala ya kujibu hoja?Sasa ndio mnaniweka hapa.

Ungekuja Darasani kwetu tusingekutukana... Bali tungekufukuza kabisa.
Unasema Tumekuweka hapa??? Tumekuwekaje....
Nadhani hujatawaza blaza, nenda katawaze kwanza...

upload_2017-10-8_22-11-27.png
 
Naomba mnijuze sifa za kujiunga na forex training no kuanzia elim IP?
ni kuwa na michango km hii aliyokutana nayo mnaigeria, watakuambia wankufundisha ndipo utaanz kuona jinsi unaingiza hela yingi ktk mzunguko wao wa kugawana.Hiyo hela ndio nyingine wanakuja kukupa kupitia computer.Huku ukicheza bahati nasibu.Ununuzi wao wa hela na kuuza ni bahati na sibu sio bishara km unaweza sema unaamua kutokan na soko: soma huyu mnigeria kisha waulize hao jamaa watoe maelezo upatu wao unafanyaje kazi.

What a timely Warning from you Mr. E
In my candid opinion, your site has to be praised as one of the benefits of the website.

I just finished a 2day seminar on imarket live in Nigeria. I paid $10, hoping that will be all to achieve a basic understanding of forex, registration inclusive.
I was saddened when we were asked to pay $300 for proper registration and Training.
Then will be expected to be paying about $175 for monthly subscription. Too bad!
Hence, I decided to make some research. Lo, your site was my succour.

My question to you is:

Since they’vebeen proven to be potential scammers in the USA, what has the USA government done about them?
Why are internationally regulated brokers like HOTFOREX and FXTM partnering with imarket live,
Thirdly, what are the technical questions that we ought to inquire from their agents whenever they approaches us?
Thanks in expectancy
Bernard.
 
Umeshatawaza??????????

Huyu jama mnayemtukana ana ponti ajibiwe kwa hoja na wala sio kwa matusi na kuonyesha vi statement vya dollar 100 ,huku mkihubiri u bilionea. Mtuambie ninyi mnaojiita TMT ni akina nani mekwisha faidika na nini na sio kuonesha tuu vi statement vya kutengeneza na kajamaa cha malawi kamepiga picha na gari ili watu washawishike waingie kwenye tanuru la moto huku ninyi mkipata mgao wenu wa pyramidy jinsi wajinga wanavyoongezeka kujiunga?
 
Jibu itategemeana na wewe unavyoona. '
"Our life is what our thoughts make it'' Marcus Aurelius
Teh teh. Upatu ni km dini,wakija kuuzia ujinga ili tuu umpe hela usipo nunu hat akm huan hela ndio mwisho wa urafiki.Ni km alqaeda. Unapewa kinga usisikile mtu kwa vile unaambiwa atamaliza ndototo zako wa kuwa tajiri.Hao watu wana akili za kimasikini.Unaambiwa tembea na waliofanikiwa ili ufanikiwe.Mwisho wa siku wanaishia kugawana hela kuliko kuzalisha hela. Hata bitcoin kuwa na thamani kuna msingi nyuma yake.Ndio maana wanaita "digging" au "mining" wakichukua mfano wa gold, kuwa kuna gharama kuichimba,na zipo chache. kwa hiyo gharama ya kuchimba na uchache wale unaipa thamani gold.Gharama ya kufanya kazi au kuuza bidhaa iliyotafutwa kwa gharama ndio inaleta hela na kuipa hela thamani.Hel zingekuwa km mchanga zisingekuwa na thamani. Huu upuzi wa upatu hakuna kitu,ni wizi mtupu wachache wanagawana hela za wengi chini ya pyramid. na wengine wanapewa kidogo ili waendelee kuamini ni kweli, na wakishindwa wanaamini kuwa shida ni wao sio system.
 
Ungekuja Darasani kwetu tusingekutukana... Bali tungekufukuza kabisa.
Unasema Tumekuweka hapa??? Tumekuwekaje....
Nadhani hujatawaza blaza, nenda katawaze kwanza...

View attachment 605014
Mkuu embu naomba tuji control hisia zetu pale tunapopataupinzani, sio vyema kutoa maneno makali kiasi hiki kwa huyu mwenzetu Nicholas !! na hata kama haamini tunachoamini basi tusimkashifu maana sio kitu kizuri!!

As far as I know moja kati ya mambo tunayohitaji kwenye forex ni DISCIPLINE, PATIENCY na ku control hisia zetu!

Sasa nnaposoma ulichoandika naona kabisa una kinzana na hayo mambo matatu!! naona kwenye ID yako unajiita "Padri" na kama wewe ni padri/ulishakua padri basi lazima utakua unajua psychology na philosophy kwa undani sana!!

Hata Kikwete alisema WAPINZANI SIO MAADUI ZETU na mimi naongezea kwamba tusiwafanye wawe maadui zetu!!

Control your emotions bro!!
 
We jamaa mbona ustaarabu wako ni ziro!? Huwezi kutumia lugha ya staha ukaeleweka!?
Hawa jamaa ni wacheza upatu waliokubuhu,na wanaamini kuwa wametangulia kwa hiyo liwalo na liwe hakitalala kwao sasa wanajua nitasanua ng`ombe wao wa maziwa. Nilichokuwa nataka ni waweke wazi tuu ukweli wa haya mambo na risk iliyopo ili watu wasije kopa, au kuweka chakula ya watoto ktk hii issue.Nimehoka kuona watu wakiteseka mitaani huku wakifanyiwa mizaha kuwa hwajui kuwa aggressive.ndio maana hata maccm nayachukia kwa hizi tabia.Yanadhani kujipendekeza na kubebwa ni kazi ambayo watanzani wote wanaweza ufanya.Ndio maana wakizidi wengi wa kujipendekeza napo kuna kugumu km ajira halali.Ni bora tuu nchi ikafanya mambo halali na kujenga mifumo inayoweza ongeza ajira watu wapate kazi kwa ujuzi wao.
 
Huyu jama mnayemtukana ana ponti ajibiwe kwa hoja na wala sio kwa matusi na kuonyesha vi statement vya dollar 100 ,huku mkihubiri u bilionea. Mtuambie ninyi mnaojiita TMT ni akina nani mekwisha faidika na nini na sio kuonesha tuu vi statement vya kutengeneza na kajamaa cha malawi kamepiga picha na gari ili watu washawishike waingie kwenye tanuru la moto huku ninyi mkipata mgao wenu wa pyramidy jinsi wajinga wanavyoongezeka kujiunga?
ENDELE KUSOMA HAPA:
Conclusion

Please be cautious in dealing with iMarketsLive. In my opinion, they are using trading that is considered gambling by experienced traders to offer you a lifestyle that their income disclosure does not backup. They have started having problems with customers accounts being locked in US Regulated Forex brokers. The CEO has a background in participating in MLM companies that I would consider scams. They have a very short 7 day refund period. They have made some changes to their compensation plan recently and they have done a decent job in making it so that they will not be considered a product-based pyramid scheme. We will have to see how long these changes stay in effect. Their main company address in New York is a virtual office.
 
Mkuu Nicholas

Najua kabisa wewe ni moja watu wakongwe hapa JF, pia nimekua nikifwatilia sana post hapa JF! Mimi sitaki kukuaminisha nnachoamini na wala sitaki unipangie au mimi nikupangie nini cha kuamini!!

Ni ukweli usiopingika kwamba forex kama zilivyo biashara nyingine ina faida na hasara, lakini sizani kama uko sahihi kuiita upatu!

Nakushauri kabla hujaiita upatu basi fanya kautafiti kidogo! jaribu kwenda hata vyuoni waulize maprofesa wale ambao unawaponda kila sik humu JF je FOREX TRADE wanaifundisha vyuoni?

Kama huna profesa/ dokta unayemjua basi tafuta mwanafunzi masomo ya uchumi au biashara wa level ya degree ya kwanza au masters then muulize je chuoni kwao wamefundishwa forex trade? ukipata majibu kwa hawa watu basi utakua umepata mwanga!!

Ukitoka kwa hao wanafunzi na madokta nenda kwenye mabenki waulize je wana vitengo vya forex au wanafanya forex?

Hao wote wakikujibu ndio utapata jibu kwamba kama forex ni upatu/utapeli ingekua inafanywa na mabenki je ingekua inafundishwa vyuoni??

Sikatai kwamba kuna watu/vikundi vya watu vinatumia forex kama njia ya kuibia watu ila hao watu wachache sio kigezo cha kuita forex utapeli/upatu maana hata huku kwetu kuna polisi ambao wanashirikiana na wezi na uwepo wa hawa polisi wasio na waaminifu haimaanishi jeshi la polisi lote ni wezi!!

Again thanks kwa changamoto murua kabisa mkuu Nicholas !!!

Karibu!
 
Nlichokigundua ww mtu unaugonjwa mbaya sana kuliko hata aids, huo ugonjwa wako unaitwa ULOFA (ashakum si Matusi),,
Yan u don't have an open mind kuangalia opportunity mpya kwny mazngra yako,,yan in short umerdhka na kipato chako wala sio tatzo lkn unajarbu kuongea kitu ambacho hujui lolote kuhusu forex na unaonekana si mfuatiliaj ebu b4 hujaongea pumba pita hata google kasearch forex ni nn ata YouTube pita kaangalie forex n nn kisha ndo uje ulopoke. BASHITE
Niliwaambia wenzako ktk refaro, niliwaambia ktk forever living, niliwaambia wenzako ktk telexfree,wengine waliach akuongea na mimi kabisa.Nikipiga kuwakomboa hawapokei, nikituma msg kuwasalimia hawajibu. Kila mara nawaona wanaingia ktk seminar wanatoka hela.Haikuchukua muda wa telexfree. Siku moja nikatuma msg nikamwambia umeingia ktk website yenu leo?FBI wamefunga rasmi website kun akaujumbe juu juu ya front page.Na boss kashikwa kwa kuchezesha upatu na nadaiwa kodi $1bn. Ana kosa la kutapeli watu wenye asili ya brazili marekani ambao walikuwa na hali ngumuJamaa akaniweka hewani hapo hapo ananiuliza mimi ni kweli nikamwambia si uingie ,unapoingia kila siku kupost matangazo unakusanya dola?

Foreve living sina haja hata ya kusema ukipita ktk maduka ya kina dada ya nguo,pharmacy, na kwingine utaona vichupa vya juice.Vimepauka hadi unashngaa TFDA hawajaanza kupitisha msako kuvitoa vilisha expire long time.

Refaro nilimpiga shemeji yangu marufuku kabisa asipeleke nyumbani kwa vile ni dhambi kubwa sana kwa familia.Kuchukua hela za familia na kugawana na wahuni ni ujambazi kabisa.Nilipompigia mahesabu kutoka na number zilzikuwa zikitangzwa na hao jamaa ktk video yao aliishiwa nguvu.hakuna hiyo idadi ya raia kuweza msaidi mtu aliyejiunga awe milionea, na raia wachache waliopo kuna mifano hai mingi tuu kuwa wengi hawatingia. Pia kupitia voucher ni kichekesho mtu asiye na zantel akanunue vocha ya voda kupitia zantel wakati voda wanafanya hicho kitu.

walioendelea nawaulia mrejesho,tena wale walioniambia nia akili za kimasikini,wananiambia nitakujibu kesho.mara nilikuwa busy sana sikuweza fanya vizuri,ila wengine wanafanya vizuri. NIkimuuliza nani?Na uliingia nae au ndie alikuleta ukamfanyia kazi kisha ukafunga hesabu kwa kubeba hasara?
 
Salute bosses

Tangu tumeanza hii movement JamiiForums mmekua pamoja nasi muda wote. I must be very thankful for their continuous support and generosity, thanks team for the great work. Siwezi kuweka kwenye maneno mazuri sana, but you guys owe me big time, I will expect you to consider yourself in my debt [emoji14].

Kwa mafanikio makubwa sana tulianza training na mentorship ya forex hapa Tanzania wiki kadhaa zilizopita, mpaka sasa tayari zaidi ya wanafunzi 350 wamenufaika na hii movement. I am not exaggerating things, lkn kiuhalisia 95% ya wanafunzi wametengeneza pesa ndefu sana, na wataendelea kutengeneza pesa for their lifetime.

Mifano ni mingi mingi mingi sana, siwezi kupost yote hapa, lkn kiukweli people are downloading money. Mfano mzuri ni huyu mwanafunzi alianza kutrade Ijumaa iliyopita akiwa na $90 (200,000 TZS) baada ya wiki 1, hadi jana alikua na $635.90 (1,425,000 TZS) mind you hii ni ndani ya wiki 1.
9ba62836e6ea18a2b9240fc1fa3f402c.jpg

be8fcc085ee2056e2a7131ac6d5ac01d.jpg

Kuna mwanafunzi mwingine yeye alianza wiki 2 zilizopita. Huyu ni mwanafunzi wa Chuo cha St. Joseph, Yeye alianza na $199 (445,00p), mpaka jana ijumaa alikua ana $1437 (3,220,000 TZS). Huu ni mshahara ambao waheshimiwa wengi ambao wapo kazini zaidi ya decades kadhaa hawapati kwa mwezi
446cc8b9111e99909242b4d1d9b41a9b.jpg

Mifano ni mingi sana, kama huyu kwa siku ya jana pekee aliingiza $808 (1.8 mil), pesa ambayo watu wengi sana TZ hawaipati ndani ya mwezi mzima.
b0986386c42a525f79b799ef03896a7d.jpg

Kwa mtaji wa 375,000 siku 1 tu ya jana kapata faida ya 116,000
dcab4699b38d8d593ec1da3cda0dc1f3.jpg

Wanafunzi wengi tulioanza nao wiki ya kwanza tayari wameanza kuwithdraw profits from their trading accounts to bank accounts ili kuupgrade their living standard nk nk.

The whole idea kuhusu The Million Team ni kueneza hii elimu ya forex kwa watu wengi zaidi, Tanzania nzima. It's not breaking news that people are struggling to make money for themselves, si Dar pekee yake bali Tanzania nzima. Nilikua naumia sana kwamba ofisi zipo Dar, na asilimia 95 wanaopata training ni watu wa Dar pekee wakati TZ ina mikoa zaidi ya 30. Hii kitu ilinifanya nifikirie njia yoyote mbadala ya kuwafikia waTanzania wengi zaidi, sitajali natumia gharama kiasi gani, but as far as the impact is worth it sina tatizo kabisa.

Sasa hivi tumeamua kuzunguka mkoa mmoja baada ya mwingine, hadi mwaka unaisha nitahakikisha kila kona ya TZ imefikiwa, at all COST, even if it means I have to spend money from my own pockets. I have no any other good option.

I must be honest, wanafunzi wa Dar wanafahamu vizuri, price ambayo wanalipia kama training na mentorship fees is less than a fraction of what others charge. I just decided to share part of my life with my fellow brothers and sisters, that's all. No one will ever be broke for giving his neighbour a piece of bread.

Utaweza kuona gharama tuyayoicharge tukiwa Dar ni 130,000 and still ni gharama hiyo hiyo tutawacharge watu waliopo Tandahima, Tunduma, Kasulu nk, japo tukiwa nje ya Dar itabidi tulipe gharama ya hotel, flights, on road travel, training venue nk. The whole movement is to bring back hope Tanzanians. Muda wa kukaa kuitukana serikali, kwamba hawajakufanyia ABC, ni bora ungetumika in a productive way.

Tunaanza kuzunguka mkoa kwa mkoa, wilaya kwa wilaya. Ni ngumu lkn inawezekana sana.

Leo mimi na team yangu tutasafiri kwenda mwanza... tutaanza mwanza training tarehe 9 hadi 13 (Monday-Friday). We will work day and night kuhakikisha tumegusa waTanzania wengi iwezekanavyo tukiwa mwanza. Kisha tutarudi Dar kwa wiki 1. Baada ya hapo tutaenda Arusha, Mbeya, Dodoma, Zanzibar, Morogoro... and the list goes on and on.

Utaratibu wa kujiunga:

Kuna magroup ya wasap yataanzishwa, so tutajimobilize kwa kutumia hayo magroup na JamiiForums pia. Then after Tutadiscuss pamoja, wapi na lini tunafanya tour. Inabidi uingie group la mkoa wako ama mkoa wa jirani yako, not otherwise. Kama uko Moshi na unahisi utaweza kuhudhuria training ya Arusha, unaingia group ya Arusha, kama upo Simiyu unaweza ingia group ya mwanza. Tukiwa huko kwenye groups tutapanga kila kitu kwa pamoja in a very transparent order. Kwasasa magroup yapo kikanda!!

Magroup yapo kama ifuatavyo

Lake zone - kanda ya ziwa
TMT Forex Lake Zone

Northen Zone - Kanda ya kaskazini
TMT Forex Northen Zone

Highland zone - nyanda za juu kusini
TMT forex Highland Zone

Coast Tanzania - Dar & pwani
TMT Forex Dar

Central Zone - Dodoma na mikoa jirani
TMT Coastal zone
 
Duuu humu naona mtauana bure mbona mnakuwa wakali hivi kwa mawazo mbadala?

Ni lazima kila mtu akubaliane na mawazo yenu?
 
Mkuu Nicholas

Najua kabisa wewe ni moja watu wakongwe hapa JF, pia nimekua nikifwatilia sana post hapa JF! Mimi sitaki kukuaminisha nnachoamini na wala sitaki unipangie au mimi nikupangie nini cha kuamini!!

Ni ukweli usiopingika kwamba forex kama zilivyo biashara nyingine ina faida na hasara, lakini sizani kama uko sahihi kuiita upatu!

Nakushauri kabla hujaiita upatu basi fanya kautafiti kidogo! jaribu kwenda hata vyuoni waulize maprofesa wale ambao unawaponda kila sik humu JF je FOREX TRADE wanaifundisha vyuoni?

Kama huna profesa/ dokta unayemjua basi tafuta mwanafunzi masomo ya uchumi au biashara wa level ya degree ya kwanza au masters then muulize je chuoni kwao wamefundishwa forex trade? ukipata majibu kwa hawa watu basi utakua umepata mwanga!!

Ukitoka kwa hao wanafunzi na madokta nenda kwenye mabenki waulize je wana vitengo vya forex au wanafanya forex?

Hao wote wakikujibu ndio utapata jibu kwamba kama forex ni upatu/utapeli ingekua inafanywa na mabenki je ingekua inafundishwa vyuoni??

Sikatai kwamba kuna watu/vikundi vya watu vinatumia forex kama njia ya kuibia watu ila hao watu wachache sio kigezo cha kuita forex utapeli/upatu maana hata huku kwetu kuna polisi ambao wanashirikiana na wezi na uwepo wa hawa polisi wasio na waaminifu haimaanishi jeshi la polisi lote ni wezi!!

Again thanks kwa changamoto murua kabisa mkuu Nicholas !!!

Karibu!
Umemjibu vizuri mkuu@lodrick kila mtu ana uhuru wa kuchagua anachotaka kufanya ilimradi atavunji sheria tu,
 
Mkuu embu naomba tuji control hisia zetu pale tunapopataupinzani, sio vyema kutoa maneno makali kiasi hiki kwa huyu mwenzetu Nicholas

Blaza tutakosana... Pita kushoto kabisa...
Acha nipambane na hawa Black Pigs tuone mwisho wao...
Wewe si unawa Bembeleza?? Endelea kuwa bembeleza...
Kwa taarifa yako unabembeleza Black Pigs wanaojua nje-ndani kuhusu Forex.
Uki intervene tena makombora yangu nitakuwashia na wewe moto....
Kama unawatetea, watetee kivyako...

Huyu Nicholas namjua jina hadi sura...
Ana group lake la watu sita, ndio wanafanya kazi ya Kuchafua TMT
 
Blaza tutakosana... Pita kushoto kabisa...
Acha nipambane na hawa Black Pigs tuone mwisho wao...
Wewe si unawa Bembeleza?? Endelea kuwa bembeleza...
Kwa taarifa yako unabembeleza Black Pigs wanaojua nje-ndani kuhusu Forex.
Uki intervene tena makombora yangu nitakuwashia na wewe moto....
Kama unawatetea, watetee kivyako...

Huyu Nicholas namjua jina hadi sura...
Ana group lake na ndio wanafanya kazi hii hapa chini...

View attachment 605074

View attachment 605075
Duuuh kweli hii nchi ngumu sana!!
 
Teh teh. Upatu ni km dini,wakija kuuzia ujinga ili tuu umpe hela usipo nunu hat akm huan hela ndio mwisho wa urafiki.Ni km alqaeda. Unapewa kinga usisikile mtu kwa vile unaambiwa atamaliza ndototo zako wa kuwa tajiri.Hao watu wana akili za kimasikini.Unaambiwa tembea na waliofanikiwa ili ufanikiwe.Mwisho wa siku wanaishia kugawana hela kuliko kuzalisha hela. Hata bitcoin kuwa na thamani kuna msingi nyuma yake.Ndio maana wanaita "digging" au "mining" wakichukua mfano wa gold, kuwa kuna gharama kuichimba,na zipo chache. kwa hiyo gharama ya kuchimba na uchache wale unaipa thamani gold.Gharama ya kufanya kazi au kuuza bidhaa iliyotafutwa kwa gharama ndio inaleta hela na kuipa hela thamani.Hel zingekuwa km mchanga zisingekuwa na thamani. Huu upuzi wa upatu hakuna kitu,ni wizi mtupu wachache wanagawana hela za wengi chini ya pyramid. na wengine wanapewa kidogo ili waendelee kuamini ni kweli, na wakishindwa wanaamini kuwa shida ni wao sio system.
Sawa endelea kuamini unachokiamini ,Ila vitendo vitaongea zaidi.
 
Niliwaambia wenzako ktk refaro, niliwaambia ktk forever living, niliwaambia wenzako ktk telexfree,wengine waliach akuongea na mimi kabisa.Nikipiga kuwakomboa hawapokei, nikituma msg kuwasalimia hawajibu. Kila mara nawaona wanaingia ktk seminar wanatoka hela.Haikuchukua muda wa telexfree. Siku moja nikatuma msg nikamwambia umeingia ktk website yenu leo?FBI wamefunga rasmi website kun akaujumbe juu juu ya front page.Na boss kashikwa kwa kuchezesha upatu na nadaiwa kodi $1bn. Ana kosa la kutapeli watu wenye asili ya brazili marekani ambao walikuwa na hali ngumuJamaa akaniweka hewani hapo hapo ananiuliza mimi ni kweli nikamwambia si uingie ,unapoingia kila siku kupost matangazo unakusanya dola?

Foreve living sina haja hata ya kusema ukipita ktk maduka ya kina dada ya nguo,pharmacy, na kwingine utaona vichupa vya juice.Vimepauka hadi unashngaa TFDA hawajaanza kupitisha msako kuvitoa vilisha expire long time.

Refaro nilimpiga shemeji yangu marufuku kabisa asipeleke nyumbani kwa vile ni dhambi kubwa sana kwa familia.Kuchukua hela za familia na kugawana na wahuni ni ujambazi kabisa.Nilipompigia mahesabu kutoka na number zilzikuwa zikitangzwa na hao jamaa ktk video yao aliishiwa nguvu.hakuna hiyo idadi ya raia kuweza msaidi mtu aliyejiunga awe milionea, na raia wachache waliopo kuna mifano hai mingi tuu kuwa wengi hawatingia. Pia kupitia voucher ni kichekesho mtu asiye na zantel akanunue vocha ya voda kupitia zantel wakati voda wanafanya hicho kitu.

walioendelea nawaulia mrejesho,tena wale walioniambia nia akili za kimasikini,wananiambia nitakujibu kesho.mara nilikuwa busy sana sikuweza fanya vizuri,ila wengine wanafanya vizuri. NIkimuuliza nani?Na uliingia nae au ndie alikuleta ukamfanyia kazi kisha ukafunga hesabu kwa kubeba hasara?
Ww ni moja ya watu wachache walioijua forex mapema kabla ya weng wetu hapa,
Wengi wetu tumeijua baada ya Ontario kutushirikisha we are thankful for that. unachojarbu ni kuleta upinzan tu ili TMT isisonge mbele,
I know unajua forex na hutak watu wengne waijue [HASHTAG]#roho[/HASHTAG] ya kichawi hyo.
Makamanda tupo vzur tushavunga mikanda tunalipa fadhila Kwa alichotufanyia kijana mwenzetu Ontario ,tunahakikisha harakat hizi hazitaishia hapa huu ni ukomboz Kwa vijana wote wa taifa hili tumedhalaulika Sana wazaz wametumia nguvu nyng kutusomesha lkn weng wetu mishahara haireflect wazaz walichokitarajia, forex mkomboz
ROAD TO FINANCIAL FREEDOM
wakuu naomben from this moment we give zero fuc** Kwa huyu hater. Tusimpatie umaarfu over
 
Matusi na kejeli za nini sasa? Ajibiwe maswali yake ili kuondoa utata, mnapotoa kejeli na matusi badala ya kutoa majibu, mnajenga wasiwasi na maswali mengi kwa watu wengi wanaotaka kuingia kwa mafunzo yenu juu ya ukweli wake. Mpeni majibu kwa maswali yake
Hakika umenena
 
Back
Top Bottom