Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,217
mabenk hayachezi.Ila kuna watu wanaingiza upatu ktk bank kun abank meridian ,greenland kwa tz miaka ile walitengeneza bank ya upatu wakaanza toa riba za fuji walew atu wa kuiga dar, wakauza chai maharage wakakimbizia hela kule kisha asbh wakaambiwa hakuna kitu.Ndio bot wakaanza kuwa makini ktk deposit za bank.bank zinazocheza kihalali riba zao kiduchu,faida zao kiduchu .Ni kam ilivyo kwa saccos kuna za sahihi na kuna za upato,km deci.Hela haziendi kufanya kazi,ila unayeweka leo zinagawiwa kwa wajana, wa keso anakupa zako wa leo, yeye asubiri wa kesho kutwa.Wanapopungua au kuisha watu wa kuja kumlipa wa mwisho game inakuwa ovyo.Wa mwisho analala nacho.ndio hawa jamaa.Wameweka forex pembeni na hiyo kugawana ada za mafunzo,na michango ya membership.Mabenki nayo yanacheza upatu na hela zetu???
Forex sio serious kihivyo.Km forever living hawauzi bidhaa,bidhaa ni kujificha kwa vile marekani upatu ni haramu lazimauuze bidhaa,ndio maana wapo tayari kukuambia uanweza tumia tuu wewe,ukaishi kwa kuingiza watu.Yaani wewe ndie mteja wao ununue bidhaa usiyoiuza.Kwa vile kwao bidhaa sio muhumi.Ndio maana watu anasota.Pia bidhaa zao sio dawa ila nyongeza tuu mwilini. Na huo ushenzi mwingi madini wanayosema ni ya kawaida sana uanweza yapata ktk bustani au ukanunu multivitamins kwa 20 na ukawa zaidi yao.