ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,741
- 60,398
Mimi nimeanza forex ila bado na demo next week naweka dollar 300 ninacheza pia Kamariya sport ..Nina hela za kupoteza usinishauri kuhusu uwekezaji nishawekezaga siku nyingi
Sidhani 😅Shindii mie sio mayai mayai ujue!
Mimi huwa natrade options. Kuna kipindi nlikuwa natrade kwa siku profit $200-400 aisee miezi 3 iliyopita imenigeuka kila stratergy haiwork. Nimejipa likizo.Habari wana jamvi,
Mimi ni kijana mwenye miaka (27) nlikua vizuri tangu nmehitimu chuo nlikua natrade forex ,kwa miaka mitatu sasa , ila upepo umejigeuka nmepata hasara kubwa ,na sasa Nina tapatap yaani kiufupi sina mwelekeo isitoshe nlipanga nioe mwaka huu,
Naona kama ndoto zangu zimekatika ,najihisi kukata tamaaaa, biashara yangu imeanguka sasa nawaza labda nkajichanganye Ata nikachimbe madini kibarua geita au chunya
Au wakuuu kama Kuna mtu anaweza nisaidia mchongo wa kunisogeza popote , na wowote naweza Fanya naombeni wakuuu
Unaweza nishauri pia nifanyaje??
Kipindi kama hiki
Nipe mchongo huo uone!Sidhani 😅
Rizika na hicho hicho shindii huku utachakaa , huku ni kwa watoto wa mbwa kama sisi😃Nipe mchongo huo uone!
Mmeshaanza nitenga sasa
wish you all the best CHAMPIONMimi nimeanza forex ila bado na demo next week naweka dollar 300 ninacheza pia Kamariya sport ..Nina hela za kupoteza usinishauri kuhusu uwekezaji nishawekezaga siku nyingi
Shindii acha porojo bwana, nipe mchongo.Rizika na hicho hicho shindii huku utachakaa , huku ni kwa watoto wa mbwa kama sisi😃
Trading is the only job where being right 40% of the time can make you rich ,and being wrong once can make you broke.Welcome to Trading where every mistake cost a Dollar
Tulia shindiiShindii acha porojo bwana, nipe mchongo.
"Ubishi na roho
Asante mkuuu wanguMimi huwa natrade options. Kuna kipindi nlikuwa natrade kwa siku profit $200-400 aisee miezi 3 iliyopita imenigeuka kila stratergy haiwork. Nimejipa likizo.
Jipe likizo mkuu uendelee kusoma
Mkuu njoo nikufundishe kidg
Ulichokosea ni kutotulizaa akildahbl
Upo sahihi mkuu Hii michezo ni Risk ila ukibutua umebutua. Tatizo ina arosto huwezi kuacha ni kama betting tuTrading is the only job where being right 40% of the time can make you rich ,and being wrong once can make you broke.