Asante kaka, nmekubali nmepoteza ipo siku ntakuja na ushuhuda, kwa sasa acha nifocus na harakati za mtaanHuo ndio ukubwa na ndio kujifundisha maisha,
Hata hawa matajiri unao waona walipitia mitihani mingi mpaka kufika hapo walipo,
Maisha yanahitaji ubishi na roho ngumu bila kukata tamaa,
Keep going na usirudi nyuma.
Maisha hua yana tabia ya kutoa funzo ili huko mbeleni uwe makini zaidi na uijue thamani ya Hela yako."Ubishi na roho nguvu" hii ifanyiwe lamination kabisa
UMASKINI USIKIE TU KWENYE MEDIA 😁Hahaha unarudi na kusimama tena bwashee maisha sio kuogopa chochote
Hiyo hela nanunua mbuzi na beer December nalisha watu kijijin huko marrrrrraaaangu kwa kina loose NutNdugu,
Ukitaka kuelewa forex Fanya ingia YouTube mtafute KIJANA ANAITWA AMIRYSAL INGIA YOUTUBE
FOREX ILI UIWEZE INABIDI UJIFUNZE FINANCIAL MARKETS zipo nyingi Hawa wanauza stocks,
Mzee ili kuielewa inabidi u parsue iwe carrier Yako hata kwa miaka mitano iviii sio jambo la kukurupuka utakula za usoo kama member mtoa madaa
Sisi wabongo tukiambiwa HISA hatuelewiiBwashee ile ni biashara tu ila kwa dola 100 200 , utalia na kulaumu sana
Haaa umekumbuka ya KALYNDAHiyo hela nanunua mbuzi na beer December nalisha watu kijijin huko marrrrrraaaangu kwa kina loose Nut
Umenena vemakila kitu kinahitaji elimu na muda, msiwalaumu watu wanaoshindwa forex maana hata kilimo kuna watu wanakishindwa maana nacho kinahitaji elimu kuanzia soko, hali, madalali n.k so hata forex ipo hivyohivyo.
Watu wanafungua maduka kila siku na baada ya mwaka-miaka kadhaa wanafunga.Kuna rafik yangu kajiingiza kwenye FOREX namhurumia.
Shindii hayo mashamba yako wapi?Kiwanda cha rasta mbagala , kiwanda cha bakheresa kazi ni nnje nnje , ukitaka kibarua cha kupalilia na kazi za mashambani cha 8000 kwa kutwa nitafute
Wacha bwana!!Watu wanafungua maduka kila siku na baada ya mwaka-miaka kadhaa wanafunga.
Watu wanaenda shambani, wanawekeza ekari za vitunguu, nyanya, karoti, mahindi, maharage nk na wanaangukia pua, wanakula hasara.
Watu wanaenda migodini, wanawekeza wanachimba madini miaka na miaka ila hakuna kitu.
Je, forex ni nini tofauti na hizo zingine.....the higher the risk!!!
Kataa utulie shindiiShindii hayo mashamba yako wapi?
Shindii nipe huo mchongo bwana🤣Kataa utulie shindii
Kwamba katika yote niliyoandika umeona "wacha bwana" inajibu hoja zangu?Wacha bwana!!
Mchongo wa kiume huo shindii , utaharibu kazi weweShindii nipe huo mchongo bwana🤣
Sasa kosa langu nini mkuu?Kwamba katika yote niliyoandika umeona "wacha bwana" inajibu hoja zangu?
Shindii mie sio mayai mayai ujue!Mchongo wa kiume huo shindii , utaharibu kazi wewe