Forex inataka niua
Kiwanda cha rasta mbagala , kiwanda cha bakheresa kazi ni nnje nnje , ukitaka kibarua cha kupalilia na kazi za mashambani cha 8000 kwa kutwa nitafute

Hawa wazee wa foreksi, wananifurahisha jambo moja; unakuta wapo magetoni na kompyuta zao, wanapanga mipango huku wakipitia grafu zao za uongo na kweli, wakipeana moyo wa kutajirika bila kufanya kazi. 😁
Mzungu/ mhindi akikuita kwenye hela ujue wewe ndio hela yenyewe. 😁
 
Hahah ila wapo wanao menya bwashee😃
 
Ndio naamin nkipata mchongo wa ntasave, Mimi ni mwanaume lazima nipambane kutoka katika hii Hali cha kwanza nmekubali I have lost , cha pili lazima nikaze 1000×
 
Back
Top Bottom