KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,508
- 88,967
ulishawahi kuifanya..?Unakaa sebuleni , na unaangalia grafu zikishuka na kupanda halafu unachukua pesa huku unapulizwa na kiyoyozi bwashee
ulishawahi kuifanya..?Unakaa sebuleni , na unaangalia grafu zikishuka na kupanda halafu unachukua pesa huku unapulizwa na kiyoyozi bwashee
Mara moja tu, labda sikuwa na elimu ya kutosha😃ulishawahi kuifanya..?
Hela zimeenda Kwa huyu Mwamba ana anadanganya Sana Vijana ili aendelee kujipigia.Ontario 😀
Bora kuku unakua unawaangalia mwenyeweMe Angu Macho Sijui Kwa Kweli Heri Nifuge Kuku Tu
Radha Ya UMASIKINI ....🥺Bora kuku unakua unawaangalia mwenyewe
NB. Kijana asaidiwe otherwise anaweza kufanya maamuzii magumu hata KUJITOA UHAI
Wengine sisi tunaijua Radha ya UMASKINI unafananaje hasa ukipitia situations za kupoteza Kila kitu ulicho wai kupambania maishanii
kila kitu kinahitaji elimu na muda, msiwalaumu watu wanaoshindwa forex maana hata kilimo kuna watu wanakishindwa maana nacho kinahitaji elimu kuanzia soko, hali, madalali n.k so hata forex ipo hivyohivyo.Mara moja tu, labda sikuwa na elimu ya kutosha😃
Yeah , ndio maana nikaacha akiba ya meneno😃kila kitu kinahitaji elimu na muda, msiwalaumu watu wanaoshindwa forex maana hata kilimo kuna watu wanakishindwa maana nacho kinahitaji elimu kuanzia soko, hali, madalali n.k so hata forex ipo hivyohivyo.
Kuna dogo mmoja anaitwa AMIRYSAL Ingia YouTube ana content sana sanaa 😊Mara moja tu, labda sikuwa na elimu ya kutosha😃
Bwashee yesu ataleta chakula mezani au ndio ndio yale yale tu😃Mrudie Yesu muokozi wa maisha yako na raha ya milele.
USIOMBE UONJE RADHA YA UMASKINI 😁Radha Ya UMASIKINI ....🥺
Bwashee ile ni biashara tu ila kwa dola 100 200 , utalia na kulaumu sanaKuna dogo mmoja anaitwa AMIRYSAL Ingia YouTube ana content sana sanaa 😊
Alinifanya NIMEKUA interested na hio kitu japo Mimi siamini katika izo PRONZE PROJECTS
Baada ya kuchukua kadi ya patinaship mtume,, wanangu wamenunua magari mwezi uliopita!!!Bwashee yesu ataleta chakula mezani au ndio ndio yale yale tu😃
Ameni bwashee najitamkia gari najitamkia pesa ameeeeen mtumishi wa MunguBaada ya kuchukua kadi ya patinaship mtume,, wanangu wamenunua magari mwezi uliopita!!!
Sema Ammmreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Ammmreeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen babaaaaa!!!
Ooooh haleluuuuuuuuuuuuuuyaaaaaaahAmeni bwashee najitamkia gari najitamkia pesa ameeeeen mtumishi wa Mungu
Ndugu,Naomba niulize forex ndo hii hii ya swaps options na future ama kuna nyingn??
Unaweka shngp?? Na unavuna faida kwa muda gani, na forecasting ipoje na una trade kivip 🤔
Bwashee,imani huponya.Bwashee yesu ataleta chakula mezani au ndio ndio yale yale tu😃
"Ubishi na roho nguvu" hii ifanyiwe lamination kabisaHuo ndio ukubwa na ndio kujifundisha maisha,
Hata hawa matajiri unao waona walipitia mitihani mingi mpaka kufika hapo walipo,
Maisha yanahitaji ubishi na roho ngumu bila kukata tamaa,
Keep going na usirudi nyuma.