Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee kazi yako ya kusafisha vikongwe bado inakufaa khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Wangejali hili wangewaacha washinde otherwise hizo post za kuhurumiwa ni hadaa kwa wananchi. Bunge liendelee walivyotaka. Kuunga hoja mia kwa mia.Naamini ushauri huu utazingatiwa, Zitto na Lissu ni muhimu sana wawepo Bungeni kulichangamsha Bunge la CCM.
P
It's not true, mimi nilimsikia mwenyewe, alisema hapendi kushinikizwa!, sio'' Mimi huwa sishauriwi na ni namchukia mtu anaenisjauri 'JPM
Viongozi wakubwa kiumri na kisiasa kuliko yeye ambao ni wastaafu walijaribu kumshauri jambo kuhusu wahanga wa tetemeko kule bukoba kwa kumwambia hata kama hautawalipa si vyema kuwaaibisha wema ilikua kuwapa pole kuliko kusema 'mwaaafwa'Magufuli ni mtumishi wetu sisi "we the people ", ndiyo tuliomwajiri kwa kura zetu na kumlipa mshahara wa tax free na kumlisha, kumvisha na kumhudumia mahitaji yake yote bure kwa kodi zetu, hivyo tuko free kumshauri lolote, ila pia kupitia katiba yetu, tumempa uhuru wa kupokea ushauri wowote na kuuzingatia au kuupuuzia, lakini katika kufikia maamuzi, anafikia maamuzi yeye mwenyewe as yeye, hana mamlaka ya kumchukia yoyote anayemshauri chochote, huo ni udhaifu wake wa kibinaadamu kwa vile yeye sio malaika ni binaadamu tuu kama sisi.
P
Yes that is how he was alipoingia, uchaguzi ule aliomba kura kwa kupiga pushups, baadaye alikuja kubadilika,Viongozi wakubwa kiumri na kisiasa kuliko yeye ambao ni wastaafu walijaribu kumshauri jambo kuhusu wahanga wa tetemeko kule bukoba kwa kumwambia hata kama hautawalipa si vyema kuwaaibisha wema ilikua kuwapa pole kuliko kusema 'mwaaafwa'
Akasema kawajibu wastaafu kwamba wanawashwa washwa
Kama ukishindwa kuwastiri wazee Nana utamstahi
Ameomba kwa kupiga magoti lakini Watanzania walowengi hawakumpigia na wewe unajua Sasa ataenda kuangalia actual votes halafu nisikilizie kisasa chakeYes that is how he was alipoingia, uchaguzi ule aliomba kura kwa kupiga pushups, baadaye alikuja kubadilika,
This time ameomba kura kwa kupiga magoti!.Magufuli is getting better and better, he is changing for the better. Hongera sana!
Wanabodi, Angalizo Naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo, kuna watu humu wana allergy kila rais Magufuli anapopongezwa kila ananapofanya jambo zuri, au jambo jema, wao wanakasirika, hivyo rais Magufuli akipongezwa kwa mazuri yoyote au mafanikio yoyote, wao wananuna, wanaumia, wanakasirika kwa...www.jamiiforums.com
P
Absolutely not, kwanza sidhani kama atakuwepo, ila hapana hapana hapana...Wanabodi,
Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani, ni keshokutwa tuu, siku ya Jumatano ijayo, kwa mazingira ya the political dynamics za siasa za nchi yetu, hali halisi ya uwanja wetu wa siasa ulivyo, katiba yetu ilivyo, sheria yetu ya uchaguzi ilivyo, Tume yetu ya uchaguzi ilivyo, hali ya political awareness ya Watanzania interns of political awakening, there is no way, mpinzani anaweza kushinda urais wa nchi hii, hivyo tunaposema CCM itatawala milele, naomba mtuelewe.
Katika uchaguzi huu, kwa upande wa urais, ushindani mkali ni wagombea mawili tuu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli wa CCM na Tundu Antipacy Lissu wa Chadema.
Mimi Paskal Mayalla najisikia very proud kwasababu ni mmoja wa watu wa mwanzo, kumshauri Lissu agombee na rais Magufuli, na kuna sifa fulani ya Lissu anayo ambayo anamzidi Magufuli, Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Kutokana na sifa hiyo ambayo Lissu anamzidi Magufuli, ni kweli mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu, ina hamasa kubwa na makundi makubwa ya watu, ambayo kisasa wanayaita nyomi, hali inayopelekea watu wajinga wasiojua siasa za kweli za nchi, kudhani hayo makundi ya watu ndio kura hizo! hivyo kujiaminisha Tundu Lissu ndiye anakwenda kushinda urais!, masikini hawa, hawajui decisive votes kwa uchaguzi wa Tanzania, zinatoka wapi!.
Determinant ya kura za ushindi kwa uchaguzi wa Tanzania, ni kura za watu wa vijijini. Chama pekee kilichowafikia Watanzania wote hadi vijijini ni CCM, vyama vya upinzani ni maarufu mijini tuu, hizo nyomi za hayo makundi ya watu kwenye mikutano ya kampeni, sio kura hizo, kura zenyewe halisi ziko vijijini na huko ndiko CCM ilipo, hivyo kura zote za vijijini ni za CCM.
Ukiondoa hizo kura za vijijini ambazo tayari ziko kibindoni kwa CCM, na kama hii hoja hapa ni kweli.
Then there is no way Upinzani unaweza kushinda uchaguzi huu, hivyo mshindi wa uchaguzi Mkuu huu ni Dr. John Pombe Joseph Magufuli na CCM. Kwa vile there's no way Tundu Lissu anaweza kushinda uchaguzi huu, kuna mwana jf mwenzetu huyu Kishimbe wa Kishimbe , amatoa mawazo mazuri sana kwenye bandiko hili.
ameshauri
Mkuu Kishimbe wa Kishimbe , kwanza asante kwa objectivity
3. Hoja yako ya tatu, ni hoja ya msingi sana, nakuunga mkono asilimia 100% chini ya 100%, tubadili katiba, tuweke clause, wagombea wote wa urais, watakao pata kura zaidi ya asilimia 10%, wawe wabunge wa taifa automatically.
Mimi kwenye bandiko langu hili,
nimemshauri Magufuli, kwa vile atashinda kwa kishindo, then awateue, Lissu, Zitto, Mbowe, Lipumba na Mbatia, wawe wabunge wa kuteuliwa!.Uchaguzi 2020 - Kama TPSF ni wakweli, then, JPM, CCM itashinda ushindi wa kishindo cha ajabu! But for National Unity, TL ateuliwe Ubunge kuwafariji his sympathizers?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, ikitokea Tundu Lissu ameshindwa uchaguzi huu kihalali katika Uchaguzi Mkuu huru na wa haki, jee tumchagize JPM, for the the sake of national unity, and to heal the nation, amteue Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa katika zile nafasi zake kumi za uteuzi as...www.jamiiforums.com
Kutokana na Watanzania wenzetu wengi kuwa na too great expectations kuwa Tundu Lissu atashinda uchaguzi huu wakati sisi tunaojua reality ya ushindi wa uchaguzi sio tuu ni the votes casted, but the votes counted, hivyo the determinant of victory is not vote cast but vote count. Ili Watanzania wenzetu watakapo kutana na ukweli huu kwenye matokeo, wasije kuchanganyikiwa kwa despair kwa kutoamini macho yao na masikio yao kwa kitakacho tokea, bandiko hili ni msaada mkubwa kwao, kuzuia panic na kupata pressure, kwasababu they knew before, waliambiwa.
Kumpigia kura mtu ambaye hatashinda, ingawa nayo ndio kutumia haki yako ya kidemokrasia kuwachagua viongozi unaowataka, lakini intems of utawala wa nchi, unakuwa umepoteza kura yako.
Sasa ili kuwasaidia Watanzania wenzetu wasipoteze kura zao, Jee mnaonaje tumshauri Rais Magufuli ambaye yeye ndiye mgombea wa chama cha ushindi, CCM, atoe a solid promise kwa Watanzania, kuwa atamteua Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa, kwenye zile nafasi zake kumi za wabunge wa kuteuliwa, hivyo waliopanga kumpigia kura Tundu Lissu, wasiwe na wasiwasi, Tundu Lissu hata asiposhinda urais, bado atakuwa ni Mbunge wa kuchaguliwa na kuwatumikia wananchi, hivyo natoa wito, badala ya kumpigia kura Tundu Lissu, hizo kura za Lissu, mpigie Magufuli, kisha Magufuli atamteua Tundu Lissu kuwa Mbunge wa kuteuliwa, hivyo hapo unakuwa hujapoteza kura yako.
Hii hoja ya wagombea wote wa urais watakaopata zaidi ya asilimia 10% ya kura za urais, kuingia Bungeni automatically, kutajenga sana a national unity.
Mnaonaje hili, la kura za Lissu apigiwe Magufuli?.
Paskali
Wewe mtu njaa zako zinakupeleka pabaya.Wanabodi,