FMES: Tuwakumbuke Wanamichezo Africa!

FMES: Tuwakumbuke Wanamichezo Africa!

Werrason.JPG


- Wenge Maison Mere ya Mkulu Werason, akiwa kazini hata na huyu naye ananyatta sana na yeye kila siku kuondokewa na wapigaji, lakini angalau bado yuko samba samba na Vijana wa kisasa bado anakubalika na yuko juu sana kwa Jibe, kama huamini nenda kwenye Youtube utakuta video zake zote zina over millions hits, lakini sio Jibe!

Respect.


FMEs!
 
Blaise%20Bula.jpg


- Blaize Bula, another former Wenge BCBG na yeye ana bendi yake majuzi ametoa kibao kikali sana, "Balia ngando" saafi sana.

Respect.


FMEs!
 
Alain Makaba

pic.php


- Huyu ndiye Alain Makaba, aliyekua mpiga solo la sauti laini sana katika original Wenge BCBG, kwenye vibao kama "Kalayi Bwinge", "Da Lavie" na "Masampu", sasa ana bendi yake na amerekodi vibao saafi sana.

Respect.


FMEs!
 
Nakumbuka kuwa mwaka 78 wakati alipotoa wimbo huo wa Ndaya, ...... Ingawa sina uhakika lakini simaini kuwa wimbo huo wa Ndaya ulitungwa na Mayaula Mayoni kwa vile wimbo huo ulitoka mwaka 1978 kipindi ambacho nadhani Mayaula Mayoni alikuwa mwanafunzi chuo kikuu cha Dar es Salaam akisomea Economics, na vile vile akiwa anaichezea timu kongwe ya mpira wa miguu ya Yanga pale jangwani.

Kichuguu,
Nimepambana na hii Video kwenye YOUTUBE na inasema ni mwaka 1978.

Composer Mayaula Mayoni, who was never a member of Franco's Tout Puissant Orchestre Kinois de Jazz, plays rhythm guitar (seen at "3'22). Franco plays a Gibson Les Paul, no effects, just fingers and capo. Sung by (fltr): Djo Mpoyi, Lukoki Diatho, Wuta Mayi and Josky Kiambukuta.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=v-7FxyXOc_k[/ame]

Ila hii chini sifahamu ukweli wake maana inasema jamaa alikuwa akipiga rythm guiter kwenye wimbo huu wa mwaka 1975.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=q6AVmHqbJdE&feature=related[/ame]

Kuna maelezo nimeona, hebu angalia"
He played soccer for Yanga in Dar, is a computer technology graduate from a European university, he played with ok jazz where he composed nabali misere, cherie bondowe etc. He is currently ailing.

Na Kenya Page wanasema:

1976 saw the arrival of yet another talented singer in Ntessa Dalienst Zitani as well as guitarist Gerry Dialungana. Dalienst had been playing with Festival Macquisards , which was one of the hottest groups at the time. Among those who played at Macquisards were Kiesse , Dizzy , Jerry , Michelino and Matalanza. Franco is rumoured to have caused the break up of the band which at some piont seemed destined to overtake him in popularity. That same year one of Ok Jazz's most succesful hits, Cherie Bondowe , a composition of Mayaula Mayoni was released in an album that also included such hits as Alimatou and Bisalela.

Kwa maana hii kwa mwaka 1978 baada ya kuwa kashaimba hadi na TPOK Jazz, Mayaula tayari alikuwa na JINA na Uzoefu wa Mziki maana miaka hiyo kupiga mziki na Franco ilikuwa si rahisi. Kama alitunga wimbo wa Cherie Bondowe, basi Ndaya ni kitu pia kinawezekana.
Wenzetu hawa miaka hiyo kwa nchi yao kama una kipaji walikuwa wanasaidiwa sana maana ndiyo ilikuwa siasa ya Mobutu. Wape watu Mziki na Pombe na watasau matatizo yao yote.
 
Alain Makaba

pic.php


- Huyu ndiye Alain Makaba, aliyekua mpiga solo la sauti laini sana katika original Wenge BCBG, kwenye vibao kama "Kalayi Bwinge", "Da Lavie" na "Masampu", sasa ana bendi yake na amerekodi vibao saafi sana.

Respect.

FMEs!

Ukiondoa thread za siasa ...i can say hii ni one of the best threads hapa JF....wakulu I salute you, kwa hizi info/musics mnazotuletea, ni burudani tosha ya kuukaribisha mwaka mpya 2010.SHUKRANI SANA WAKULU FMES NA BALANTANDA...hapa nasilikiliza tuu hizi ngoma si mchezo.
 
Kichuguu,
Nimepambana na hii Video kwenye YOUTUBE na inasema ni mwaka 1978.



http://www.youtube.com/watch?v=v-7FxyXOc_k

Ila hii chini sifahamu ukweli wake maana inasema jamaa alikuwa akipiga rythm guiter kwenye wimbo huu wa mwaka 1975.

http://www.youtube.com/watch?v=q6AVmHqbJdE&feature=related

Kuna maelezo nimeona, hebu angalia"


Na Kenya Page wanasema:



Kwa maana hii kwa mwaka 1978 baada ya kuwa kashaimba hadi na TPOK Jazz, Mayaula tayari alikuwa na JINA na Uzoefu wa Mziki maana miaka hiyo kupiga mziki na Franco ilikuwa si rahisi. Kama alitunga wimbo wa Cherie Bondowe, basi Ndaya ni kitu pia kinawezekana.
Wenzetu hawa miaka hiyo kwa nchi yao kama una kipaji walikuwa wanasaidiwa sana maana ndiyo ilikuwa siasa ya Mobutu. Wape watu Mziki na Pombe na watasau matatizo yao yote.

- Cherie Bondowe, ngoja tujikumbushe the song:-

"Ngai ndumba matadi wa cherie bondowe, nakoluka malupasyo na sando mama, mbula sanga-te likolo na masamba nazari bondowe mazua eko salakate na salakaaaahhh!, x 3

- Eeeh mobali bakobenga kaka Bondowe, nakoluka tangawzii na sando mama, zua salanga likolo ya masamba, nazari bondowe mazua eko salaka te na parakahaa!!!!!x3

Chorus:-

Ngai nasalaki mabwela bwe na dimoteo, boma boba pesingayoo cherie bondoweee eeeoooh! ngai na salakateo nazari nazari ndumba boma bo ba pesingayo cherie bondowe, ngai nanga bondowe nakolengela mibali yoo lisikala lo lasana lokeso sisi bandeko oooh!!

Aaahhh! Cherie Bondowe! oooh Mayaula!


- Si mnakumbuka zile enzi za bongo na jugabox la ukumbi wa jengo la Yanga ya Tambwe Leya, unatumbukiza thumni unakula miziki miwili, kati ya Cherie Bondowe na Mangala ya Veve!

Respect.


FMEs!
 
Ukiondoa thread za siasa ...i can say hii ni one of the best threads hapa JF....wakulu I salute you, kwa hizi info/musics mnazotuletea, ni burudani tosha ya kuukaribisha mwaka mpya 2010.SHUKRANI SANA WAKULU FMES NA BALANTANDA...hapa nasilikiliza tuu hizi ngoma si mchezo.

- Mkulu MM hapa ni kukanyaga twende, Balatanda, Sikonge, Kichuguu lete vitu wanangu sabuni ya roho hiii, na tupo pamoja sana mkuu!

Respect.


FMEs!
 
wengebcbg1.jpg


588169415_small.jpg


Wenge Musica Original BCBG.

<table><tbody><tr><td valign="top">[FONT=tahoma, arial] Wenge Musica was formed in 1981 by Didier Masela, Aimé Bwanga, Werrason and Alain Mwanga. The young outfit played modern soukous music in the style of Zaiko Langa Langa. Singers like J.B. M'Piana and Marie-Paul Kambulu joined later.

Around 1990, a split-up between two factions led to the formation of Wenge Musica BCBG (Bon Chic, Beau Genre) with Werrason and M'Piana on the one hand, and Wenge Musica Aile Paris (Paris-wing) with singer Marie Paul Kambulu and Alain Mwanga on the other hand. Under the leadership of J.B. M'Piana and Werrason, BCBG became the most popular of all Wenge outfits.

In 1997, singers J.B. M'Piana and Werrason split up the band in J.B. M'Piana's Wenge BCBG and Wenge Musica Maison Mère. Ever since, there is a vivid competition between J.B.M'Piana and Werrason.
[/FONT]</td><td>
</td></tr></tbody></table>
[FONT=tahoma, arial] Some Wenge BCBG members on "Titanic":

J.B. M'Piana, Alain Makaba Prince, Alain Mpela Afandé, Blaise Bula Parrain, Titina Grand Prêtre, Kisolokele Kis, Aimela La voix qui cloche, Burkina Faso Kasongo. Most of these musicians have left BCBG now for solo careers or rivalling groups.

Formed: in July 1981 as Wenge Musica, in the early 1990s the Kinshasa-wing became Wenge Musica BCBG

Born:
Jean-Bedel M'Piana Tshituka is born on June 2, 1967.

Style:
soukous.

Discography:

[/FONT] <table> <tbody><tr> <td bgcolor="#800000">[FONT=tahoma, arial]Title[/FONT]</td> <td bgcolor="#800000">[FONT=tahoma, arial]Year[/FONT]</td> <td bgcolor="#800000">[FONT=tahoma, arial]Label[/FONT]</td> <td bgcolor="#800000">[FONT=tahoma, arial]Remarks[/FONT]</td> </tr> <tr><td colspan="3">[FONT=tahoma, arial]J.B. M'Piana & Wenge Musica BCBG:[/FONT]</td></tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Quel Est Ton Problème?[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]2007[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Ets. N'Diaye ND161/07[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Maxi-single, Wenge BCBG album[/FONT]</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Kipe Ya Yo (Vis ta vie)[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]2007[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Ets. N'Diaye ND156-07[/FONT]</td> <td>
</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Anti-Terro[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]2004[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Badive Music BDCD 001[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]2CD[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Buy this CD here[/FONT]</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Internet[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]2001[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Simon Music S.I.P.E. 29350[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]2CD[/FONT]</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]T.H. (Toujours Humble)[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]2000[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Simon Music S.I.P.E. 29348[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Solo album J.B. M'Piana[/FONT]</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Zenith 1999, extrait 2[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1999[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Simon Music S.I.P.E. 29338[/FONT]</td> <td>
</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Zenith 1999, extrait 1[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1999[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Simon Music S.I.P.E. 29337[/FONT]</td> <td>
</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Titanic[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1998[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Simon Music S.I.P.E. 29331[/FONT]</td> <td>
</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Feux de l'amour[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1996[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Simon Music S.I.P.E. 29319[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Solo album J.B. M'Piana[/FONT]</td> </tr> <tr><td colspan="3">[FONT=tahoma, arial]Wenge Musica BCBG:[/FONT]</td></tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Pentagone[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1996[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Simon Music S.I.P.E. 29313[/FONT]</td> <td>
</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Pleins feux!!![/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1996[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Saga SG96003[/FONT]</td> <td>
</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Les Anges Adorables, Vol.2[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1994[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Sonodisc CDS 8802[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Compilation[/FONT]</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Les Anges Adorables, Vol.1[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1994[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Sonodisc CDS 8801[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Compilation[/FONT]</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Kala Yi-Boeing[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1994[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]WIBE 001CD[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Re-released on Ngoyarto NG068[/FONT]</td> </tr> <tr><td colspan="3">[FONT=tahoma, arial]Wenge Musica:[/FONT]</td></tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Kin E Bouge[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1991[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]B.Mass Production BMP 000159-2[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Also on MBS 001[/FONT]</td> </tr> <tr> <td>[FONT=tahoma, arial]Bouger Bouger[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]1988[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Africassette AC 9401[/FONT]</td> <td>[FONT=tahoma, arial]Re-released in 1994[/FONT]</td> </tr> </tbody></table> [FONT=tahoma, arial]
[/FONT]
 
<table id="table11" border="1" bordercolor="#771100" cellpadding="12" cellspacing="0" width="97%" height="553"><tbody><tr></tr><tr><td align="right" bgcolor="#393124" width="376">
643.jpg
</td></tr></tbody></table>
temp887132741up.png


Legendary Congolese singer Madilu System
passed away at age 57 on Saturday, August 11, 2007 in Kinshasa. He was among the kingpins of the legendary TP OK Jazz band of the late Franco Luambo Makiadi in the 1980's.


Madilu, who was arguably one of the best composers in Congo will be remembered for some of his compositions while with TP OK Jazz; and also during his solo career. One of these is Pesa Position, as well as the lead vocals on some of the popular TP OK Jazz songs and Franco's compositions songs like Mamou, Non and Makambo Ezali Minene. His solo albums are "L' Eau", "Pouvoir", "Bonheur", "Tenant du Titre" and the last one "La Bonne Humeur", which was released a month before his death.

However, most of his fans will remember his 37 years in music business but the most memorable moments are his duets with the great Franco. Madilu had a particular way of singing, his system no wonder he became Systeme Mbwakela, a Congolese singing style became permanent mostly by Madilu consistency after Franco's death. Songs such as Mamou, Makambu Ezali Minene, Frere Edwards, Voisin, etc. were very humorous but truthful according to Congolese society.

After the death of Franco, he went solo and collaborated with arranger, guitarist Shiko Mawatu, singer Nyboma Mwan'dido, Ngouma Lokito, Dally Kimoko, Lokassa Ya Mbongo, Rigo Star, Felix Wazekwa and Papa Wemba.

Madilu Systeme had toured the world with TP OK Jazz and also with his own band to support his solo albums. He was preparing to embark on another European tour before his death to support his latest album "La Bonne Humeur". Mr. Bialu Madilu left behind a wife, Biya Madilu with several children. May Madilu rest in eternal peace.
 
Wakulu nawarudisha nyuma kidogo,kuna mtu ana ngoma za Patrick Balisidya..I mean Afro 70 kwangu mie huyu ni gwiji aliepata tokea bongo hakuna mfano wake.Sidhani kama mwimbo alowahi kupiga hukupendwa,nyimbo zake zote was absolutely the best of all times.Natizama dirishani,weekend,Harusi to mention the few ...this guy was a music genious..RIP Patrick Balisidya.
Halafu huyu jamaa nilikuwa naenda sana kwao Ukonga nakuongea nae kipindi hicho mambo yake yalipogonga mwamba, jamaa alikuwa fit sana..RIP.
 


kutoka kushoto ni Abdallah Ezza (mpwawe Gema aliyekuwa mpiga gitaa wa Afrosa), katikati ni Hayati Patrick Pama Balisidya, na mwisho ni F MtiMkubwa Tungaraza. Picha ilipigwa mjini Helsinki wakati Marehemu alipoenda kushiriki katika tamasha la Etnosoi mwaka 1993.

Long Live Patric!

Respect.


FMEs!
 


enzi hizo nguza viking na hayati fred supreme ndala kasheba walikuwa wakitumbuiza pamoja pale bwalo la polisi ostabei, na mambo yalikuwa moto moto, hasa ukichanganya sauti ya kasongo clayton mpinga (shoto) ambaye ndiye mtunzi na mwimbaji wa kwanza wa wimbo wa 'seya' orijino

Respect.

FMEs!

 
nguza-2.JPG


Askari magereza akiwatia pingu Babu Seya na mwanae Papii Kocha Mtoto wa Mfalme tayari kurudishwa gerezani leo baada ya rufani yao kuahirishwa

- Wanaume tumeumbwa kuhangaika na maisha.


Respect.

FMEs!
 


MAREHEMU JOSEPH MAINA


MWIMBAJI MAHIRI WA MSONDO NGOMA MUSIC BAND JOSEPH MAINA AMETUTOKA.

Respect.

FMEs!
 
msondo ngoma band yapeta na vyombo vipya


kamanda muhidin maalim gurumo
akiongoza msondo ngoma band.

Respect.

FMEs!
 



magwiji wa muziki nchini waziri ally wa kilimanjaro band 'wana njenje' (shoto) na hassan rehani bitchuka wa orchestra ddc mlimani park 'wana sikinde' wakibadilishana mawazo wakati wa semina ya hakimiliki leo kwenye ukumbi wa baraza la sanaa la taifa, ilala shariff shamba, dar.

mengi yamezungumzwa ikiwa ni pamoja na kupiga vita uharamia wa kazi za sanaa unaofanywa na watu wachache wanaofaidi matunda ya wasanii wengi. hata hivyo hii si semina ya kwanza na wala hakuna kilichoendelea huko nyuma, sijui sasa...

FMEs!
 

king kikii (shoto)
akiwa na wakongwe wenzie katika muziki, shem karenga (kati) wa tabora jazz na dk. remmy ongara aliyekuwa matimila na sasa anaimba injili baada ya kuokoka.

Respect.

FMEs!
 


Hayati Hemedi Maneti wa vijana jazz
ni moja ya majina makubwa ya wanamuziki ambayo si rahisi kuyasahau. Chiriku Maneti, aliyekua kiongozi wa vijana Jazz Band baada ya kumpokea john Ondolo, na kuifikisha bendi hiyo kwenye nafasi za juu sana kitaifa.

- Wakati anafariki, alikuwa njiani kugombea ubunge wa jimboni kwake huko Sumbawanga.

Long Live Maneti!

Respect.

FMEs!
 


gwiji wa maiki tshimanga kalala assosa
bado anadunda na bendi yake inayotoa burudani sehemu mbalimbali jijini dar ambapo kila ijumaa yupo klabu cha bandari kurasini. assosa aliwika sana enzi za maquiz du zaire enzi hizo. sauti yake iko vile vile hadi leo...

Respect.

FMEs!
 



siku dokta remmy ongalla alipomrejea bwana kwa kubatizwa upya. hii ndo siku yake ya mwisho kuwa na rasta. siku hizi yeye ni mtu wa sala na nyimbo za injili.

Respect.

FMEs!

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom