Tumekalishwa macho tangu saa tisa, ningejua ningeendelea kulala niamke mida hii
Tumekalishwa macho tangu saa tisa, ningejua ningeendelea kulala niamke mida hii
Eti SS3 wanaonyesha
Eti SS3 wanaonyesha
That's big money.
Pole mkuu sio mbaya mara 1 kwa mwaka kukesha!!
mkuu ungechanganya na zako usingelaumu mtuWatz na ujinga wenu mumetulaza macho ohooh pambano saa tisa tisa kumbe ni saa moja asubuhi nyambafu zenuuuu.....! Mumenikera sana!
Watz na ujinga wenu mumetulaza macho ohooh pambano saa tisa tisa kumbe ni saa moja asubuhi nyambafu zenuuuu.....! Mumenikera sana!
Hahaaaaa mie ndio naamka. Nilijua tu
Yaani mpaka sasa Huyo May weather ameonyesha kushindwa.....pacquiao will win the battle
Hiyo inaweza kuchelewesha pambano kuanza kwa sababu it's all about the money.
Na ndo maana sasa unaona promotional material na interviews tu.