Hawa walikuwa wanapapasana tu aisee.
Ushindi gani huo sasa...tumeliwa tu hela zetu.
Manny hana hata doa usoni...Floyd naye hivyo hivyo.
nan kashinda?
Hii mechi ilishapangwa nilisema
Niko safarini ningekuwa bongo mbona ningekwenda hata baa? Hapa ni ugenini na service provider wa michezo ni huyo be in sports au jina la zamani Aljazeera sports. Sikuwa na alternative.
Tiba