Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Hawa jamaa wanaotwangana sahivi Santa Cruz vs Gayetano wako tight sana
 
We ndio mpuuzi maana unaeleza mambo yako ya chumbani pasipohusika... Huyo mke ulioa au uliokota? Hukuambiwa mambo ya chumbani ni ya wawili na yanaishia chumbani? Na yeye umemtaarifu kuwa umepost kuwa anakusumbua? Wapo watu wamekaa wametulia unadhan ujumbe wako unawafanya wajisikieje? Majibu uliyopewa yanakustahili

Mghosi

Vijana wa CDM wanazani kila kitu cha kuleta JF,angepeleka MMU huko,huyo kijana aliwai let's ugomvi wa mapenzi Halimashauri Igunga jukwaa LA Siasa
 
we rudi kulala tu naona unadandia gari kwa mbele au unataka kununua kesi,kwanza aliyeleta mambo ya chumbani sio mimi ni Eddy Love,jamaa mwingine akatukana.sasa kosa langu kukerwa na matusi??mkuu acha tusibiri pambano tu,kwenye ligi za matusi we ni dogo sana
 
Huu ni usingizi ama ni hangover?
We ndio mpuuzi maana unaeleza mambo yako ya chumbani pasipohusika... Huyo mke ulioa au uliokota? Hukuambiwa mambo ya chumbani ni ya wawili na yanaishia chumbani? Na yeye umemtaarifu kuwa umepost kuwa anakusumbua? Wapo watu wamekaa wametulia unadhan ujumbe wako unawafanya wajisikieje? Majibu uliyopewa yanakustahili

Mghosi
 
yani ndondi ni maigizo,yale manundu kumbe yanatokana na uigizaji?

Ona sasa...

Sisi tunajadili kitu kingine kabisa wewe unakuja kukosoa...

Tulikuwa tunaelekezana kuhusu mieleka ya WWE na sio masumbwi...
 
Andre Agassi na mkewe Steffi Graf in the house.
 
Vijana wa CDM wanazani kila kitu cha kuleta JF,angepeleka MMU huko,huyo kijana aliwai let's ugomvi wa mapenzi Halimashauri Igunga jukwaa LA Siasa
isingekuwa CCM kupoteza dira pengine Matumla angekuwa anapambana na Mayweza
 
George Lopez aje achukue ndugu zake bana, wanapoteza tu muda hapa. K.O ndio mpango.
 
There are multiplying reports that the pay-per-view in the US (yours for a cool $100 for high-definition) is not working. Apparently the DirecTV customer-service line has already jammed with irate clients. The excuse is that too many people - over three million - have signed up to watch....source daily telegraph UK
 
Back
Top Bottom