Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,594
- 59,702
Kumbe wewe ni team Mayweather....
Tayari lakini ushanunua hiyo PPV?
Maana jamaa wa HBO wanashauri watu wanunue mapema kuepuka msongamano.
Mi hapa tayari nshanunua. Siamini nimetoa $99.99.
But oh well....
Hahahahaha nilijua utanunua tu ingawa ulilalamika sana. Jamaa wanatengeneza hela sana safari hii