Mkuu wa chuo
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 7,626
- 5,346
Toa sababu kwanini haya matokeo ya uongo?!Hivi na wewe pamoja na ukuu wako wa chuo umeamini haya matokeo!
Toa sababu kwanini haya matokeo ya uongo?!Hivi na wewe pamoja na ukuu wako wa chuo umeamini haya matokeo!
Hakuna matuta kama wakitoa droo?
Team money tulijua
Boxing sio playstation
Kwa mazingira ya sheria ya annonimous decision atapigana mpaka mapambano hata mia bila kupigwa, lile na m Argentina alipigwa na hili kapigwa..sheria inambeba.hana uwezo wa kupigana mapambano makali asipigwe kazuia muda woote.
Sijui kwanini watu wanalalamika, Mayweather ni Defensive Genius, kapambana na Aggressive Wizard, did what he does best, kashinda. Alishasema hawezi kuegemea kamba apigwe, not his style.
He's a d!ck no doubt, but he's a great fighter. Mpeni tu heshima yake.
bora nikeshee mpira tu kuliko uu utumbo yani apigwe mwingine ubigwa apewe mwingine
Ungewaonyesha wabishi kwa video hizo point ndio wataelewa Muhammed Ali alikuwa anashinda Hivyo sio Thai Boxing au UFC ile ndomana Mayweather atamaliza ngumi na afya nzuri katika sehemu za mdomo tizama Marquez kuongea hawezi sababu Ya kwenda ovyo.Kwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako zinafikia target zenye kukuwezesha kupata point....?? nikimtazama bondia wangu leo PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale watakuwa wameshanielewa....niliwahi kusema kuwa defence skills ya PACMAN haiko makini ndio maana huwa anatumia muda mwingi kutupa makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia huku akimfanya adui asimkaribie....lakini pia ana udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama Mayweather haziwezi kuwa na madhara......kitu kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika wa kulenga target kila apatapo nafasi.....kushambulia muda mwingi kwa kutumia jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru mchezoni.....na kufanya counter attack zenye mafanikio..........THAT IS BOXING GAME
Watu wa naongea sana wakati hawajui chochote kuhusu boxing, Pac yupo vizuri tatizo ana rusha ngumi nyingi sana kucheza na jukwaa kuliko kupiga points.
May kashinda kihalali japo ametuudhi kucheza mchezo mbovu wa kihuni.
Bow Wow anawakilisha watu wafupi ha ha
Jamaaa washaingiza mapesa ingemuuma sana Mayweather kupigwa sababu haja wahi kupigwa, ila wanaosema May alikuwa anakimbia Kaa mkijua sio ngumi zote kama UFC au Thai Boxing hata Muhammed Ali alikuwa anakupiga uso anakimbia pembeni ikifika round 12 umeshinda, Mayweather katumia akili za kupigana angeenda kupigana kama Pacman na kina Khan na Maquez zile kuja piga ni kupige angepigwa, watu wampe heshima yake May katumia akili Ya ngumi.
Ahsante..Saly!!
Sijui kwanini watu wanalalamika, Mayweather ni Defensive Genius, kapambana na Aggressive Wizard, did what he does best, kashinda. Alishasema hawezi kuegemea kamba apigwe, not his style.
He's a d!ck no doubt, but he's a great fighter. Mpeni tu heshima yake.