Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Floyd Money Mayweather vs Manny Pacquiao

Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!

Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
 
Katika shindano tumia mbinu zote zilizo ndani ya kanuni za shindano husika ili ushinde! Sasa nashangaa watu wanakuja na wishes kibao eti bila sheria Manny angeshinda, mara ooh "MONEY" kabebwa! Halafu baadae wanamaliza kwa kusema sheria zinamruhusu! Myweather kamshinda Manny, PERIOD!

Wabongo tatizo tunaenda tayari na visingizio,jamaa kashinda watu wanaleta story nyingine,hata waongee vipi Myweather ndo kashinda.Wabongo mipango hamna huwa tunafurukuta tu bila kanuni
 
People will always have excuses... Especially those who watch boxing once in 10 years...

You don't need to be an expert to understand that floyd killed it
 
Unaweza ukamiliki sana mpira uwanjani, uka piga sana matobo na kanzu. Lakini kama mwenzio akipata mpira akafunga tu,ata tangazwa mshindi. Boxer mzuri sio kujua kurusha ngumi tu bali kutumia akili na kucheza na sheria za mchezo ili kupata ushindi.
Pac anapiga ngumi namkubali humo, ila Floyd anajua kucheza na sheria.
 

Attachments

  • 1430635187735.jpg
    1430635187735.jpg
    28.9 KB · Views: 572
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
 
Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!

Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing

Man pac alishinda , hili pambano ndio limezizika rasmi ngumi, hakuna mtu atakaefatilia huu upuuzi tena. Boxing tuwaachie wamarekan na maywether wao
 
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
Mtakula maneno yenu leo. Mayweather ndio dume
 
Mbali na ushindi wa Floyd, the game was not fantastic, I didn't see that stimulation punches in both side, mayweather ndio anatakiwa kulaumiwa kwa kucheza kiuoga.

Alicheza kiuoga au alicheza kimkakati ili kushinda? Au ulitaka awe na papara ili apigwe?
 
Yuko live on ESPN right now. Keshaanza visingizio eti aliumia bega kabla ya fight!
Anakiri kuwa amepigwa kihalali.
Mfilipino kazi yake ni kuchoma viazi Na sio boxing
Mtakula maneno yenu leo. Mayweather ndio dume

Tenaaaa dumeee haswaaaaaaaa
 
attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    5.6 KB · Views: 549
  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    5.1 KB · Views: 473
  • Capture.PNG
    Capture.PNG
    8.7 KB · Views: 424
Manny Pacquiao amerusha jumla ya ngumi 429, na zilizompata mpinzani wake (Money) ni 81.
Hii ni asilimia 19%.

Mayweather Jr amerusha jumla ya ngumi 435, na zilizompata mpinzani wake (Pacman) ni 148.
Hii ni asilimia 34%.

Money aliweza ku-dictate mwenendo wa pambano kwa kutumia kamba na kukwepa.

Kwa ujumla pambano lilikuwa boring kiasi ila generally lilienda kama alivyotaka Money, yaani kukwepa madhara na kutafuta pointi.

Ukisimama toe to toe na Pacman akaku-KO.
Ngumi ni strategy wakuu.
 
Acheni akiri mgando bwana kurusharusha ngumi hovyo usifikiri ndo kushinda,hizi city ngumi za mtaani kama kwao Dia,Nmecheki round zote PAC karusha ngumi nyingi xana na yko faster xana,xema hatumii akr Floyd ana akr na technic nyingi xana,anakwepa xana anajrinda xana na Ana accuracy na ngumi zake. Ndo maana kashinda, Mwenyewe alijua anapointi nyingi ndo maana kaanza kushangilia Mara tu kuisha kwa round ya mwisho, Kila kitu shule na hili halina ubishi Floyd anatumia akiri xana!

sikia kaka labda majaji ndio wanamakengeza nimekua refa na coach wa mchezo huu leo my weather kapigwa acha ubishi kabisa na hili gem lilikua limeuzwa ndio maana my wether alikua kimya sana but ukweli ni kwamba amepigwa ..........!alikua anakimbilia kwenye kamba kuogopa na kukwepa K.O kama unajua kuhesabu point go again jifungie chumbani angalia weka mahaba pembeni utaona ninachokuambia
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀
TMT raha sana....hii game imenikumbusha nusu fainali ya UEFA kati ya barca na Chelsea
 

Attachments

  • 1430635821269.jpg
    1430635821269.jpg
    22.1 KB · Views: 287
Utata uko wapi wakati judges wote unanimously wamempa Floyd?Angalieni in slow motion round zote majibu mtapata unless mna makengezaPac ni mtotoGo Floyd
Hawawezi kuelewa,wengi wao wanasukumwa na mapenzi juu ya Manny kachuku kakijionyesha kwa mbaali dhidi ya Floyd Myweather
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom