Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali | Page 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Nucky Thompson, Jan 10, 2017.

 1. Nucky Thompson

  Nucky Thompson JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 1,219
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280


  Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi

  Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process
   
 2. i

  incharge JF-Expert Member

  #101
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,199
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  ndio ukweli wenyewe
   
 3. Entim

  Entim JF-Expert Member

  #102
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 7, 2013
  Messages: 3,296
  Likes Received: 1,047
  Trophy Points: 280
  Kwa yule mwenye namba ya Mbasha naomba alilushie (pm).
   
 4. Kazitunayo

  Kazitunayo JF-Expert Member

  #103
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 30, 2013
  Messages: 2,705
  Likes Received: 1,316
  Trophy Points: 280
  Anatuvua nguo Mashababi uyu mtu
   
 5. Iceman 3D

  Iceman 3D JF-Expert Member

  #104
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 3, 2016
  Messages: 8,386
  Likes Received: 15,805
  Trophy Points: 280
  Kwa kweli Mbasha ameniangusha.

  Nadiriki kusema ni boya.
   
 6. QUIGLEY

  QUIGLEY JF-Expert Member

  #105
  Jan 11, 2017
  Joined: May 23, 2015
  Messages: 22,229
  Likes Received: 67,588
  Trophy Points: 280
  Arudi kwa Mungu nafasi ingalipo tu
   
 7. QUIGLEY

  QUIGLEY JF-Expert Member

  #106
  Jan 11, 2017
  Joined: May 23, 2015
  Messages: 22,229
  Likes Received: 67,588
  Trophy Points: 280
  Mangatara una point lakini;
  Nakushauri uwe unafuatilia mwendelezo wa post kabla hujajibu hiyo post, ni kweli ms lincolin alipost post tatanishi kuwa Flora alikuwa bikra, lakin katika mwendelezo akafafanua ni wapi alisikia hivyo, kwamba Mbasha alisimulia wakati wa maadhimisho ya miaka 10 ya ndoa yao...lakini kwasababu uli react mapema ndipo twaona kuwa ulikosea kwani tuliofuatilia maelezo tumepata majibu.
  Siku zote usiwe mwepesi kuhukumu kabla hujafanya utafiti wa jambo lolote lenye utata.
  Nimejaribu kueleza haya baada ya kujitambulisha KUWA NI BORN AGAIN....ungekuwa mla mirungi ningepuuzia...chukua tahadhari na usiwe na hisia kali jf utakosea
   
 8. kajojo

  kajojo JF-Expert Member

  #107
  Jan 11, 2017
  Joined: Jun 9, 2012
  Messages: 1,064
  Likes Received: 1,170
  Trophy Points: 280
  hahahaaha ndoa ndoano
   
 9. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #108
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 445
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  The moment una mwanamke ambaye ana mafanikio au famous zaidi yako..aisee jiandae kwa lolote..
   
 10. m

  mangatara JF-Expert Member

  #109
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 8,666
  Likes Received: 3,968
  Trophy Points: 280
  Mkuu;
  Nashukuru kwa kuniweka sawa na ni kweli nili react mno baada tu ya kumsoma mchangiaji kuwa ati Flora alikuwa bikra. Hiyo tu iliniumiza sana kwani hatuna haja ya kuwasemea watu mavitu hayo. Aksante
   
 11. Sakayo

  Sakayo JF-Expert Member

  #110
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 10, 2015
  Messages: 17,168
  Likes Received: 48,111
  Trophy Points: 280
  Acha uchochezi
   
 12. Iceman 3D

  Iceman 3D JF-Expert Member

  #111
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 3, 2016
  Messages: 8,386
  Likes Received: 15,805
  Trophy Points: 280

  Mbasha hana pa kula tuu.
   
 13. MarianaTrench

  MarianaTrench JF-Expert Member

  #112
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,152
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  Duh afadhali umeliona na kulikiri kosa lako, utaiona Mbingu usijali.
   
 14. m

  mangatara JF-Expert Member

  #113
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 8,666
  Likes Received: 3,968
  Trophy Points: 280
  Mariana;
  Aksante kwa kunisamehe
   
 15. MarianaTrench

  MarianaTrench JF-Expert Member

  #114
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,152
  Likes Received: 642
  Trophy Points: 280
  Uwe na amani. Mchana mwema.
   
 16. momo j

  momo j JF-Expert Member

  #115
  Jan 11, 2017
  Joined: Jul 13, 2015
  Messages: 360
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 60
  L
  Lakini ndoa dio jela jamani, mbona mnalichukulia swala la ndoa kimazoeya Sana, Ni bora nikosee kwenye ndoa kuliko kukosea kujenga nyumbaa, ndoa sio jela walimwengu.
   
 17. l

  lucas mollel JF-Expert Member

  #116
  Jan 11, 2017
  Joined: May 30, 2016
  Messages: 252
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  Hao waimbaji wa injili wa kike hawaimbi kwa ajili ya kumtukuza Mungu bali ni njia ya kujipatia fedha na kujijengea popularity.Ni malaya wakubwa.
   
 18. Sakayo

  Sakayo JF-Expert Member

  #117
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 10, 2015
  Messages: 17,168
  Likes Received: 48,111
  Trophy Points: 280
  Kipenda roho jamanii
   
 19. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #118
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 6,179
  Likes Received: 12,893
  Trophy Points: 280
  Hajitambui ya dunia yamemnogea
   
 20. Iceman 3D

  Iceman 3D JF-Expert Member

  #119
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 3, 2016
  Messages: 8,386
  Likes Received: 15,805
  Trophy Points: 280
  Sio kwa kupoteana huko Mariana
   
 21. Iceman 3D

  Iceman 3D JF-Expert Member

  #120
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 3, 2016
  Messages: 8,386
  Likes Received: 15,805
  Trophy Points: 280
  Hahaha
  Huyu ni bwege sio mapenzi haya mama
   
Loading...