Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Ila walikutana Flora akiwa Bikra kabisa....
Ms. Lincolin;
Maneno mengine hayafai yatoke mdomoni jamani. Wewe uliwachungulia ukiwa wapi?? Pale bedroom si waliingia wawili tu?? Mbona mnatia kinyaa??Bikra angelitoklezea ka alivyotoklezea leo?? Michuchu yoote nje huko si kunadi mali zake??
Huyo jamaa nadhani kitambi kishaanza kutokea kwa kuondokewa na gunia. Sipendi watu wanaowatumia wengine kupata kick. Aendelee kujidanganya mwisho atauona si mbali
 
Ebu ntolee stress zako....!Ndio niliwachungulia
 
Kati yangu na weye mwenye stress nnani?? Weye ndo ulimtoa pichu huyo mwanamke ukamshikia Mbasha?? Tulia weye na ukitaka kumpromote ingia kwa gea nyingine. Mchezo ule hauangaliwi na mwingine wa tatu. Ni wawili tu
 
Ms. Lincolin;
Maneno mengine hayafai yatoke mdomoni jamani. Wewe uliwachungulia ukiwa wapi?? Pale bedroom si waliingia wawili tu?? Mbona mnatia kinyaa??Bikra angelitoklezea ka alivyotoklezea leo?? Michuchu yoote nje huko si kunadi mali zake??
Huyo jamaa nadhani kitambi kishaanza kutokea kwa kuondokewa na gunia. Sipendi watu wanaowatumia wengine kupata kick. Aendelee kujidanganya mwisho atauona si mbali
Mkuu mbona kama umepanick, hilo jibu kisiriasi sio zuri. Ila kwa jf ni mambo ya utani tu, bila shaka Ms Lincolin hakumaanisha kiiivyo....
 
Mimi nilisoma hiyo makala yao jinsi walivyokutana.
Mbasha alisema alimkuta mkewe mupyaaaa....sioni ajabu kwa kuwa hata malaya huwa bikra kabla ya yote.Sasa huyu bwana inaonekana ana chuki sana na bi Flora
 
Mbasha aliangalia chini wakat wanaume wenzake wanaangalia moyo na upstairs. Upya ukamtoa udenda akasahau moyo ni kiza kinene. Wanaume wengi inawakost kwa kuangalia chini kama kupya wakat moyo umejaa makunyanzi.
 
Mkuu mbona kama umepanick, hilo jibu kisiriasi sio zuri. Ila kwa jf ni mambo ya utani tu, bila shaka Ms Lincolin hakumaanisha kiiivyo....

Mariana;
Do yu realy love Jesus? Hivi kweli weye ukiangalia ile clip. Mama mwenye mtoto/watoto na heshima zake angeacha miziwa ile nje kihivyo?? Yes, am a Christian, Born Again, I mind not of what yu put on but let it be, Nguo ya heshima kama wewe ulivyo wa heshima.
Chunga maneno unayosema in public. Si hayo ati alikuwa bikra. What a bla blaa
 
Mbasha aliangalia chini wakat wanaume wenzake wanaangalia moyo na upstairs. Upya ukamtoa udenda akasahau moyo ni kiza kinene. Wanaume wengi inawakost kwa kuangalia chini kama kupya wakat moyo umejaa makunyanzi.
Ha ha ha haa bwana wee. Kote kote unaweza ukapata koroma, si moyo si chini...muhimu mshirikishe Mungu. God never disappoints baby.
 
Mariana;
Do yu realy love Jesus? Hivi kweli weye ukiangalia ile clip. Mama mwenye mtoto/watoto na heshima zake angeacha miziwa ile nje kihivyo?? Yes, am a Christian, Born Again, I mind not of what yu put on but let it be, Nguo ya heshima kama wewe ulivyo wa heshima.
Chunga maneno unayosema in public. Si hayo ati alikuwa bikra. What a bla blaa
Dear don't be too legalistic. Please. We are not suppose to judge that way. No matter how experienced or how old you are in Christianity always delay judgement. God sat with sinners. By the way this is a free platform, any one can be anyone he/she wants.
 
Mariana;
Do yu realy love Jesus? Hivi kweli weye ukiangalia ile clip. Mama mwenye mtoto/watoto na heshima zake angeacha miziwa ile nje kihivyo?? Yes, am a Christian, Born Again, I mind not of what yu put on but let it be, Nguo ya heshima kama wewe ulivyo wa heshima.
Chunga maneno unayosema in public. Si hayo ati alikuwa bikra. What a bla blaa

Ebu tulia acha papara, una tatizo gani kuhusu post ya Ms.Lincoln ?
 
Kama mwanamuziki wa nyimbo za injili alipaswa kuwa mfano mzuri ila kwa anayoyafanya namshauri aachane na muziki wa injili aimbe nyimbo za kidunia tu maana huko ndiko anakofaa.
Huwezi lazimisha mambo
 
Back
Top Bottom