Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Katika walokole waliochemka kwenye maisha ni huyu Flora.Hakuna mkamilifu ila dah Gwajima kiboko anakula waumini na kuleta vitisho.Mbasha aliisoma number dahhhh
 
Hakika!hayo ni maisha yake flora anahaki kuishi atakavyo..hata akiuza eka na kununua kikataa ni poa tu.Siyo mtoto yule.
 


Mwanamuziki wa Injili Emmanuel Mbasha amedai bado anatamani kurudiana na Flora Mbasha pamoja na figisu zote alizomfanyia. Anasema Floraalikuwa ameshajipanga kuachana nae ila yeye alikuwa hajajiandaa kumuacha na kwa mwaka mzima alikuwa akimuomba warudiane.

Amesema Flora ana sababu za msingi za kuachana nae na sababu yenyewe ni kuzaa nje ya ndoa lakini bado anamtaka awe mkewe kwa kuwa wana mtoto mmoja.
 
Wawili wakigombana shika jembe ukalime, wakipatana kavune.

Warudiane tu,shetan keshatuonyesha jinsi gani walivyo weepeesiii wa kutoleana siri na kusingiziana ubakaji.
NDOA ZA SIKU HIZI BANA HAZINOGI MPAKA WALETE DRAMA ZAO ZA CHUMBANI HADHARANI.
 
Ufahamu ndio unaomtofautisha mwanadamu na wanyama wa mwituni.....

Mwanadamu anapoacha kutumia ufahamu wake vyema......na kuamua kuwa mtumwa wa matamanio yake.....hakika mtu huyo amepotea.....

Tunapotumia fahamu zetu vyema....ndio tunaweza kupambana na changamoto za maisha yetu.....

Mwanadamu hawezi kubaki salama kwa kuishi kwa kuendekeza matamanio yake.......bali kwa kutumia vyema fahamu zako ambazo ni kama zawadi kutoka kwa Mungu.....

Kwa kutumia vyema ufahamu mwanadamu anaweza akacheza na nyoka mwenye sumu kali....au hata kumfuga mnyama hatari nyumbani kwake.....


THINK BIG.....TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY....
 
Back
Top Bottom