Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Jamaa alijiharibia sana kumpa uhuru mkubwa Frola. Mwanaume usithubutu kabisa mwanamke wako akuzidi nguvu. Ni udhaifu mkubwa sana, bwana Mbasha ndio kilichomponza.
 
Ameen! Ahsante kwa wish

Ila huyu mbasha alifanyiwa tukio pekee linalo ruhsu talaka kwa mkristo, mke wake alizaa nje ya ndoa.
Sasa kinacho msibu either ni njaa, au ubwege ule wa kupenda hadi kupitiliza ndio maana anajifanya ana ng'ang'ania
Hivi huyu mtoto sio wa Mbasha kweli? Duh.
Ila haya mambo bwana tuwaachie wenyewe, maana mimi nashindwa kujudge maana sina uhakika kama kweli mtoto sio Mbasha.
 
Hakika Mbasha unaijua thamani ya ndoa na msamaha wala wewe sio bwege endelea kusali umshinde shetani uirudishe ndoa yako, mabaya yote usihesabu huu ndio ucha Mungu wa kweli wewe sio zoba narudia tena.
 


Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi

Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process

Mbasha nae hakuona mabinti wa maana mpaka akaenda kudondokea huko
 
Mimi mwenyewe nilikosea kuoa sasa ivi naishi na adui chumba kimoko ni fulu matatizo na huyu adui anazidi kutanaua eneo lake la ulowezi.
 
Ila walikutana Flora akiwa Bikra kabisa....
..Hivi Thamani ya Bikra kwa Dunia tuliyopo sasa imekaaje?....nahisi bado siyo kipimo Sahihi cha Wema na Tabia nzuri ya Mwanamke...Bikra ni bikra na Tabia chafu ni chafu tu..wengi hutunza bikra kwa sababu ya uoga wa kuanza huo mchezo...na wachache sana hutunza kwa ajili ya maadili na heshima..lkn bikra nyingi ni za mabinti waoga.ts strange bt true
 
Hapo ndio naamini ndoa ni zaidi ya Bikra
Kwanza mkuu siyo sahihi kuoa kwa kigezo cha bikra..bikra ni nini?kiuhalisia haina maana ni upuuzi tu....maana kimaumbile na kihisia msichana akitolewa bikra hamu/hamasa ya kuanza kutaka kujua radha tofauti hupanda na huwa katika kiwango kikubwa sana...kusalitiwa baada ya kuitoa hiyo bikra huwa kupo tu labda achelewe tu, lakini kwa upande wangu mimi binti bikra siyo mtu sahihi wa kujenga ndoa yake...ni mawazo yangu huru kabisa
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom