Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

cb3e3c7145d8f4603f95b60b10f2f6c3.jpg
Msg of the day
 
Kwahiyo kasema aachwe. Okay, tushamuacha. Sasa tutakuwa na madam watatu, madam wema, madam rita na madam flora.
 
Haituhusu......Ya Ngoswe hayo.....sisi ngoja tuendelee kuutafuta ufalme wa mbinguni......Hahaha
 
Walitoa ushuhuda.
wakati wakitoa historia ya penzi lao 'tamu' na 'tukufu' katika gazeti kipindi walipotimiza miaka kumi ya ndoa,waliipa jina 'miaka kumi ya ndoa bila DOA'.
NASHANGAA WANAOTAFUTAGA KUOA BIKRA BADALA YA KUTAFUTA MWENZA MNAYEENDANA MKAVUMILIANA NA MKADUMU
 
Alichoongea ni sahihi kwake japo kila MTU anamtazamo wake na ndo maana hata ktk kiswahili kuna majina km wakuda,vihelehele,wapambe,wambea,wanoko,visokolokwinyo,nk inamaana ni aina ya tabia zilizopo kwa watu,
Muhusika kasema hayatuhusu yanamuhusu yy na Mbasha sasa ssi tunavimba mashaaaaaavu
 
Back
Top Bottom