Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali | Page 7 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Flora Mbasha: Naomba mniache mimi na Mbasha tafadhali

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Nucky Thompson, Jan 10, 2017.

 1. Nucky Thompson

  Nucky Thompson JF-Expert Member

  #1
  Jan 10, 2017
  Joined: Sep 20, 2016
  Messages: 918
  Likes Received: 1,686
  Trophy Points: 180


  Mwanamuziki wa Injili nchini, Flora Mbasha amesema kuwa watu wamuache na maisha yao kati yake na Mbasha kwani mapenzi ni kitu binafsi kati ya watu wawili na anaishi kama anavyotaka na sio kama watu wanavyotaka aishi

  Amedai kuna watu wanajifanya wanamjua maisha yake kuliko yeye na kumbe sivyo, pia kwa sasa anataka afahamike kama Madam Flora na sio Flora Mbasha kwa kuwa kuna talaka ipo kwenye process
   
 2. MNYAMAKAZI

  MNYAMAKAZI JF-Expert Member

  #121
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 7, 2014
  Messages: 2,151
  Likes Received: 2,107
  Trophy Points: 280
  Madam Flora wapi aseme tu tumuite Flora Gwajima. Siku hizi kwa Yesu talaka zipo.
   
 3. MarianaTrench

  MarianaTrench JF-Expert Member

  #122
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,119
  Likes Received: 606
  Trophy Points: 280
  Hivi mwaka huu tumeonana?
  Kheri ya mwaka mpya mpendwa.
   
 4. Iceman 3D

  Iceman 3D JF-Expert Member

  #123
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 3, 2016
  Messages: 6,475
  Likes Received: 12,037
  Trophy Points: 280
  Hatujaona kabsa this year
  Lakin nakuwish mwaka wenye mafanikio ya kutosha.

  Na tuendelee kuonana sanaa
   
 5. Sakayo

  Sakayo JF-Expert Member

  #124
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 10, 2015
  Messages: 10,114
  Likes Received: 23,390
  Trophy Points: 280
  Kumbee, we ni changamoto babaa
   
 6. MarianaTrench

  MarianaTrench JF-Expert Member

  #125
  Jan 11, 2017
  Joined: Dec 29, 2014
  Messages: 1,119
  Likes Received: 606
  Trophy Points: 280
  Ahsante sana, tutaonana tu maana Mungu anatuwazia mema.
  Mungu akamilishe yote mema aliyoyaanzisha huko nyuma (mwaka jana).
  Pamoja na hayo, naona misimamo yetu kwenye hili swala inapingana.
  Hii ndoa ya KIKRISTO, haivunjiki, ndio maana anamng'ang'ania mke wake na sio ubwege.
  Akimwacha adui ndio atakula kiulaini. ila siwezi kuongea sana maana siishi nao hivyo sijui mambo yao kiundani.
   
 7. LadyAJ

  LadyAJ JF-Expert Member

  #126
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 21, 2015
  Messages: 3,939
  Likes Received: 3,830
  Trophy Points: 280
  Kwani wanamuzi wa injili hawapitiwi na majaribu? Hebu tuacheni unafiki wa kuzungumzia maisha binafsi ya watu!
   
 8. Iceman 3D

  Iceman 3D JF-Expert Member

  #127
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 3, 2016
  Messages: 6,475
  Likes Received: 12,037
  Trophy Points: 280
  Hahaha
  Amna huyu jamaa ukiangalia kwa umakini unagundua kuna kitu ana pungua
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #128
  Jan 11, 2017
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 11,303
  Likes Received: 669
  Trophy Points: 280
  Acheni kumpa coverage huyu mama bwana!!!
   
 10. Iceman 3D

  Iceman 3D JF-Expert Member

  #129
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 3, 2016
  Messages: 6,475
  Likes Received: 12,037
  Trophy Points: 280
  Ameen! Ahsante kwa wish

  Ila huyu mbasha alifanyiwa tukio pekee linalo ruhsu talaka kwa mkristo, mke wake alizaa nje ya ndoa.
  Sasa kinacho msibu either ni njaa, au ubwege ule wa kupenda hadi kupitiliza ndio maana anajifanya ana ng'ang'ania
   
 11. lin

  lin JF-Expert Member

  #130
  Jan 11, 2017
  Joined: May 25, 2014
  Messages: 5,779
  Likes Received: 2,735
  Trophy Points: 280
  kina nani wamuache
   
 12. Sakayo

  Sakayo JF-Expert Member

  #131
  Jan 11, 2017
  Joined: Sep 10, 2015
  Messages: 10,114
  Likes Received: 23,390
  Trophy Points: 280
  Kila mtu ana mapungufu, au niseme mapungufu yako hapa
   
 13. QUIGLEY

  QUIGLEY JF-Expert Member

  #132
  Jan 11, 2017
  Joined: May 23, 2015
  Messages: 18,319
  Likes Received: 49,298
  Trophy Points: 280
  Linamo mzima dadangu!
   
 14. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #133
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 5,475
  Likes Received: 10,262
  Trophy Points: 280
  Mzima kabisa kakaangu. Heri ya mwaka mpya!
   
 15. QUIGLEY

  QUIGLEY JF-Expert Member

  #134
  Jan 11, 2017
  Joined: May 23, 2015
  Messages: 18,319
  Likes Received: 49,298
  Trophy Points: 280
  Asante sana, nimefurahi kukuona hapa tena
   
 16. Linamo

  Linamo JF-Expert Member

  #135
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 5,475
  Likes Received: 10,262
  Trophy Points: 280
  Shukrani. Tupo pamoja.
   
 17. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #136
  Jan 11, 2017
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,254
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  dhambi ya mafanikio ni ngumu sana !!
   
 18. QUIGLEY

  QUIGLEY JF-Expert Member

  #137
  Jan 11, 2017
  Joined: May 23, 2015
  Messages: 18,319
  Likes Received: 49,298
  Trophy Points: 280
   
 19. A

  AZUSA STREET JF-Expert Member

  #138
  Jan 11, 2017
  Joined: Oct 31, 2013
  Messages: 1,769
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  ni mshamba aliyeacha doa kubwa kwenye ukristo. anasema hataki kuanika ndoa yake wakati alianika kila kitu na yeye ndiye alikuwa wa kwanza kuanika ndoa yake hadharani hata kabla ya mume wake, baada ya kuwapa watu faida wakaigaragaza, sasaivi ndo anastuka. aibu tupu na muziki wake hauuzi tena ni mtu wa kutangatanga tu. awe mfano kwa wengine. ukifunga ndoa, unatakiwa kuwa mvumilivu na ukigombana na mwenzio ujue haugombani na yeye bali shetani, vita vyatakiwa kupiganwa kiroho na sio kimwili, ukipigana kimwili siku zote utaashindwa kwasababu kwa nguvu za mwili hakuna anayemshinda shetani, ila kwa nguvu za rohoni tunashinda.
   
 20. Idimi

  Idimi JF-Expert Member

  #139
  Jan 11, 2017
  Joined: Mar 18, 2007
  Messages: 9,116
  Likes Received: 1,161
  Trophy Points: 280
  Sana tu ndugu. Ukikosea kuoa ama kuolewa ni ishu kubwa sasa
   
 21. macho manne

  macho manne Senior Member

  #140
  Jan 11, 2017
  Joined: Jan 10, 2017
  Messages: 103
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Mbasha anadai frola anamtoto nje ya ndoa kitu ambacho sio kizuri hata kwa jamii yetu
   
Loading...