mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,278
Boarding banaa ukipata barua tuu watu wanakuona bonge la mjanja
Wagongeaj hawakosekan maisha ya bwenBwenini bwana sikununua pen kiwi sabuni mafuta miaka yote na bado nilisurvive
mi, nimeondoka pale 2012Jirani yangu wewe,,ilikuwa mwaka gani??
Boarding banaa ukipata barua tuu watu wanakuona bonge la mjanja
Sisi kuna dem alipigwa mtungo na dom zima la form six mpaka leo nawaheshimu wanawake.Dah..miaka hiyo hostel ya jitegemee pale hakuna sheria kivile,masomo ya usiku mnachanganywa girls na boys,afande akiita roll call ya saa 4 watu wengi wanaenda bwenini kulala..wachache wenye mambo yao wanabaki,basi Mida ya kuanzia saa 5 usiku ni hatari mana mitungo ilikua inatokea mara kwa mara,sana sana siku za weekend!
Mungu nisamehe sikuwahi kushiriki(angalau nilikua nashuhidia ktk maficho) baadhi ya mitungo,sasa mwaka Fulani akaja kigoli moja kidato cha kwanza,white,cute..mtoto mbichi,one day kipindi tunakaribia kufunga shule,kakaingia ktk 18 za wahuni,tena walikua form three wakakapiga mtungo zaidi ya watatu...lakini issue I kugundulika na matron wao,mana Hao jamaa walikafanya sanaaaaa nahisi,kesi yake ilikua kubwa sana mana unaonekana mzazi wa Yule binti alikua na Cheo jeshini,na shule ya jeshi!!walifukuzwa kuanzia walioshiriki tukio mpaka walio piga Chabo bila Kula(nashukuru sikuiyo sikua lindo)
Sema sikuhizi sheria kibao..hayo mambo hamna pale,afande ORANDO anafanya yake.
Hahahahaaaa aiseeeeSiku ya wali nyama usimamizi ulikuwa wa hali ya juu, staff yote:- walimu hadi wake na waume zao hadi walinzi walifika kusimamia zoezi la kugawa chakula, ingekuwa siku hizi FFU wangeletwa kusaidia, maana ilikuwa shida.
mkuu hyo tarime high school?1. shuleni kwetu kulikuwa na tabia ya viongozi kupita mabwenini saa kumi na moja asubuhi kuamsha watu na atakayekutwa kalala bakora za kufa mtu. sasa siku moja tuka jipanga mtu mmoja akakaa mlangoni ile wamaingia tu mlango ukafungwa, asee tulikuwa na fimbo za kutosha na chaga tuliwachapa sana, na kesi tukashinda,
2. kuiba mahindi na kuchemsha kwenye ndoo kwa kutumia heater juu ya dari, yaani dari limejaa magunzi mpaka lina taka kuanguka
Tena kwa kutumia dawa ya meno.Haha, Mkuu hilo la kufuta mhuri wa stempu kumbe lilikua kila mahali?


jamaa alipandisha mori mpaka tukaogopa kutoa funguo ilibidi likakatwe kwenye karakana ya shule.


Tosamaganga nn mkuuKweli boarding ni kama Kambi ya jeshi,Nakumbuka kutoroka kwenda mtaani kukoshaaaaa.Jirani kulikuwa na chuo cha Masista/watawa cha kushangaza walikuwa wanapata mimba.Mimi nilikuwa naoga weekend tuu tena kukiwa na jua,Mama alikuwa anafanya kila mwisho wa mwezi nisomwe kwenye EMS(zile waliotumiwa hela waende kwa mhasibu/mwalimu flani).Hapo nilikuwa napata marafiki mwisho wa mwezi ukikaribia jamaa wanavizia mpungaaaaa.Boarding huko ndiko katika harakati nikasikia "niangusage sambi zako" tehtehteh faster unabambia unatoa maupwilili.
Umejuaje ....Tosamaganga nn mkuu
Aaahh nimesoma hapo 2010Umejuaje ....
Kwa hiyo ulibambia sana au tayari walikuwa wameshaweka Ulinzi na Gate kali,Sisi hadi Uefa tunaingia Ipax night kali kuona mechi back in dayAaahh nimesoma hapo 2010
finyangoMwezi dume unatafuta hata kipande cha sabun shule nzima unakosa.
Ukiingia chooni unavua nguo zote kwanza kisa harufu kali vyooni
Kutoroka na madishi siku ya nyama na wali na kutokomea nayo porini.
Kuna jamaa alikua kiranja wa msosi siku ya nyama anachukua nyama kwenye kindoo na kuuza kinyango shs 200
Ukienda na mkate shuleni wewe ni mfalme..