Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

Pale Mara secondary jamaa aliingia jikon ilikuwa siku ya wali mpishi hakumwona Basi mpishi kafunga jiko baada ya masaa mawili mpishi karudi ili kugeuza wali kufungua mlango jamaa kachomoka spidi Na beseni limejaa wali Na binzi mpishi nae nduki akidhan n msukule

Ilichukua siku tatu kumuaminisha mpishi kuwa haukuwa msukule ndo akarudi kazini.
 
Hahahhaha umefanya nimepaliwa na maji ya dhahabu
 
Pale Mara secondary jamaa aliingia jikon ilikuwa siku ya wali mpishi hakumwona Basi mpishi kafunga jiko baada ya masaa mawili mpishi karudi ili kugeuza wali kufungua mlango jamaa kachomoka spidi Na beseni limejaa wali Na binzi mpishi nae nduki akidhan n msukule

Ilichukua siku tatu kumuaminisha mpishi kuwa haukuwa msukule ndo akarudi kazini.
Hahahaha...
 
duuh..hiyo noma sana.. ikawaje sasa? alirudia?

Hakurudia, tulikuwa tunafanya masomo 11 necta ya form 2. Hilo alijaziwa 0, so ni kama aligawanyiwa jumla ya masomo 10 kwa 11. Ila wastani ulitimia. So tuliendelea naye form 3.
 
hahahaa mkuu haitakaa itokee kama mara sec simu tunachaj na extentn tunanunuliwa.....watu wanavaa watakavyo hakuka shamba dres.....shule haina uzio wala rokoo so ukilala nje hakuna ajuaye....sheria mkononi mwa wanafunZ ushikwe mwiZ utaisoma no...HKL ndio wabishi hawana mfano ila EGM wao no msul yan kutoboa ozon.....kichelewa kuripot baada ya likizo.....hakuna vikao na walim hata kufunga shule ni wewe ukimaliza pepa la mwisho ndio mwanzo wa likizo yako,yan hapa mtu anaganya pepa la mwisho tiket iko mfukon beg liko nje ya mlango wa darasa......kinguni usiseme......hakuna mtu anayekunywa kwenye kikombe ni mwendo wa majag,vikarai,visado vya tos.....msuli chaka kama kawa,....mara sec na musoma tec madem zao ni songe na chif...weekend ni kuzurara utakavyo na unatupia utakavyo......uji huwa ni saa nne saa tano na nisu klas so watu huwa wanadoj ama ukienda bas utawakuta wanasinzia kibao.....walim wa kike wanapendwa zaid.....kitu kidogo mgomo na wanafunz wanazo hoja za mgomo chezea hgk....kuna watu mgano wa mimi hatujulikan sababu naingia class siku za pepa ni mwendo wa msul chaka

Wewe unasema mara sec mlikuwa na uhuru.?

Kitu milambo sec, likizo unaamua wewe, siku ya kurudi shule unaamua wewe. Kuingia darasani uamue wewe, kuzurura street uamue wewe. Toka nimefika pale form 5 shule muhula mzima ulikatika bila waalimu. Form five yote ilikatika bila kufanya annual wala terminal wala test.

Pepa ya kwanza kufanya pale shule ilikuwa ni Mock ya form six, pepa ya pili ilikuwa Necta itself. Practical tulianza kufanya miezi mitatu kabla ya necta. Still tulipenya. Ila yale maisha yametufunza mengi. Shule eneo dogoooo, hata heka 10 hazifiki ila shughuli yake ilikuwa pevu. Tabora boys na Girls wanaelewa Milambo ni watu wa aina gani. Kuna matukio hawatokuja kuyasahau. Kumwagiwa kinyesi kwa Tabora girls na kupigwa mara kwa mara kwa Tabora boys kila tulipokutana nao uwanja wa mwinyi ni stori zitakazoishi milele katika shule hizo.

Daa sitosahau maisha yale chini ya Mr Majubwa himself. Miss sana mitaa ya chemchem na mabanzi.
 
hii pia mara sec mkuu ila nilipokuwa njuka nilikuwa nawashangaa hawa jamaa vp mbona wanavua mashat wakienda toi na wakitoka wanapunga upepo hahahaa ilikuwa n day za mwanzo
Daah nawe kumbe n Ngoma Mara sec hongera mkuu
 
Mwaka 2000 (mara sec) kuna dogo alikuwa anaitwa Lukas kwenye pepa za annual kuna madam alikuwa anapenda kupekuwa wavulana kwa kuingiza mkono wake mfukon kucheki kama tumeficha nondo kabla ya kuingia kwenye chumba cha pepa, tabia ya madam ikawa inamkera sana dogo Lukas usiku bwenn akasema" kesho ndo mwisho madam kutukagua" hakuna aliye jali kauli hii tukajua ana zingua
Kesho yake kumbe dogo alichana mfuko wa suruali yake then hakuvaa chupi kwa hiyo kwenye ukaguzi madam alipoingiza mkono wake kwenye mfuko wa suruali ya dogo mkono ukapitiliza hadi kwenye centre of gravity madam alishtuka km kakanyaga snake zoez la ukaguzi liliishia hapo madam kasepa ofisini, aibu kibao
 
kula vibama na lazima uombwe na watu wote daaah hiii ni zaid na xul yeyote

kwa anayelijua kibama udogo wake
.
..ila maisha ya shule za boyz daaaaaa
.
its like utamalizia mwenyewe
Huku sio mitaa ya itaka na mloo kweli?, maana nilikua jkt mitaa hiyo
 
Nlipotoroka frm3 ile narudi nkadakwa na mlinzi asee tukavutana sana badae classmates wakaja wakaniokoa wakamshika nkachoropoka ila akanigonga RUNGU la usoni nkamkimbia piga apge kelele ishu ikafika kwa mkuu....badae kesho yake parade nna NUNDU usoni nikadakwa asee nlipewa bonge la adhabu shukuru mungu sikufukuzwa shule nilitetewa..
 
Mwaka 2000 (mara sec) kuna dogo alikuwa anaitwa Lukas kwenye pepa za annual kuna madam alikuwa anapenda kupekuwa wavulana kwa kuingiza mkono wake mfukon kucheki kama tumeficha nondo kabla ya kuingia kwenye chumba cha pepa, tabia ya madam ikawa inamkera sana dogo Lukas usiku bwenn akasema" kesho ndo mwisho madam kutukagua" hakuna aliye jali kauli hii tukajua ana zingua
Kesho yake kumbe dogo alichana mfuko wa suruali yake then hakuvaa chupi kwa hiyo kwenye ukaguzi madam alipoingiza mkono wake kwenye mfuko wa suruali ya dogo mkono ukapitiliza hadi kwenye centre of gravity madam alishtuka km kakanyaga snake zoez la ukaguzi liliishia hapo madam kasepa ofisini, aibu kibao
Hahaha watoto wengine jamani
 
1.Nakumbuka tulivyogoma kula tukapigwa SP form six wote mwezi mmoja ukirudi unarudi na mzazi na barua ya serikali ya mtaa.
2.Vijana wa shule za Boyz kuwa na nguo za matukio kama kuna debate weruweru au machame utawaelewa.
3.Tulivyowapiga shule fulani inaitwa Lyamungo
Mwaka gani lyamungo anapigwa hebu kumbusha maaana sijawahi kusikia zaidi ya lyamungo kushusha kipigo kwa shule nyingine
Kutongoza mademu muda wa michezo na hata Kula mzigo.

Kuomba get pass za uongo ili tu ukwepe ukaguzi wa bweni kwan ilikua shule ya Jeshi.

Kukwepa parade za asubuhi kwa kuofia fimbo

Kuimba nyimbo za Matusi wakati wajogging xa asubuhi.
 
Siku ya wali na nyama kila MTU kwenye group alkua anataka agawe ila watemi wagroup tulkua tunagawa siku hzo nyeti nakupiga mchinjo wanguvu wale wanyonge nyonge
Siku ya wali nyama usimamizi ulikuwa wa hali ya juu, staff yote:- walimu hadi wake na waume zao hadi walinzi walifika kusimamia zoezi la kugawa chakula, ingekuwa siku hizi FFU wangeletwa kusaidia, maana ilikuwa shida.
 
Bora nyie mlikuwa hata na mikate, sisi tulikuwa tunakunywa uji usio na sukari tunauita Sifongo
Hio itakuwa shule ya Kanda ya Ziwa.

Halafu mwalimu anakuambia - always, porridge must be "sugered" ili hali hauna sukari.
 
Back
Top Bottom