Nyumbu, maana form one walikuwa wanaongozana kwa ugeni wao.Inawezekana alikuwa form one wa kiangazii
Nyumbu, maana form one walikuwa wanaongozana kwa ugeni wao.Inawezekana alikuwa form one wa kiangazii
vp kuhusu furu
Duuuh!!! Magamba noma ndio maana kuna jamaa shule ikiwa inafungua siku anaenda shule alikuwa analia kabisa.1.Dah sitosahau nyeto ya papai au mende ndani ya mto
2. form one unauwangalia mti wa mapeasi ulusiwi ata kuokota likiwa limeanguka
Form 2 unaluhusiwa kuokota na kumpelekea form 3 au form 4. Na form 3 analuhusiwa kuokota na kula kama form 4 hayupo, ila form 4 analuhusiwa kuokota na kutungua na kula. Gambian
Dah....walilificha tu mkuu...kwasababu za ''kiusalama''🙂Ilikuaje mkuu sikuipata hiyo kwenye taarifa ya habari au kuisoma kwenye magazeti? maana hilio sio tukio dogo ujue?
Umemsahau Mpande na mchaka mchaka wa saa 11 asubuh...mzee ugegede na kina dada Asha. Long live MTSaaaah aaah umenikumbusha mbali sana, kijana enzi za vimbuzi , na maza fishi , ugali maharage unapondea na maparachichi aaaah aaah, then unakuta kama unakula ugali nyama, sometime unatunza bondo mpaka asubuhi aaah kwa ajili ya uji , jumapili mikate na chai daah hapo akosekani mtu aaaah aaah,
kupiga msuli kwenye mahindi ,kudadadeki na kudoji class daah hatari sana , kuoga mpaka siku za weekend barid kama urusi,enzi hizo kuzamia kwa wzenji tukiwasubiri uwanja wa malale hata kujifanya wapiga msuli mesin kuvutia totozi,
maisha ya bording raha sana ata ukiwa mzembe utakomaa tu.
Hahahaha kama namuona ticha alivyokuwa kaganda akitizama wowowoNyumbu, maana form one walikuwa wanaongozana kwa ugeni wao.
Hahaaaaa huu uzi umenikumbusha mbali sana nakumbuka kulikua na ticha mmoja alikua bingwa wa kukariri yani hata akiona kisogo tu anajua we ni nani sa siku moja tulikua tunajipikilisha wali kwenye mashimo yaliyotokana na adhabu tulizokua tunapewa za kufyatua matofali, sasa tukasikia sauti ya viatu inakuja upande wetu kucheck hv ni huyo ticha tulichokifanya ni kukimbia huku sketi tumezinyanyua juu kuficha kisogo mwalimu asitujue huku tukiacha sehemu za makalio wazi afu ticha mwenyewe ni wakiume daaah
1.Dah sitosahau nyeto ya papai au mende ndani ya mto
2. form one unauwangalia mti wa mapeasi ulusiwi ata kuokota likiwa limeanguka
Form 2 unaluhusiwa kuokota na kumpelekea form 3 au form 4. Na form 3 analuhusiwa kuokota na kula kama form 4 hayupo, ila form 4 analuhusiwa kuokota na kutungua na kula. Gambian
Siku ya wali (English day )1. Gambian ni noma mkuu, mapeas yanafungwa kwenye shuka linakuwa kama rungu, halafu usiku ukifika, taa zinazimwa, form one wanaanza kutandikwa na hayo marungu ya mapeas.
2. Ikifika siku ya kula nyama sharti ujiandae vyema, maana muda wa kugawana chakula, vijana wanasukuma mlango kwa nguvu halafu kila mmoja anachukua atakachoweza kubeba kulingana na ubavu wake. Watu wanakimbia na sufuria zima la ubwabwa vichakani, ukizembea utalala njaa.
3. Kuna kijiji cha jirani kilikuwa kinaitwa minor(Maina), kule kulikuwa na ubwabwa unauzwa sh 100, ilikuwa amazing.
4. Shughuli ilikuwa ni siku za kichezo pale mabinti kutokea kifungilo na Mazinde juu wanapokuja, watu walikuwa wanakula tizi la kuongea kiingereza.
nimekaa Dorm 21, 23, 26 na 27 Mkwawa. Dorm 37 Karume na pia Dorm 20 na 16 Lumumbaaaaah aaaah mkuuu me nilikuwa lumumba mkuu dorm 16
Dah..Cha ajabu walipotukamata sasa....tulikuwa na njaa sana basi walitugawia chakula na tulipo shiba wakatuachia huru bila masharti 🙂Sawa mkuu, nadhani walifanya jambo jema kutokulitangaza hilo jambo, ilikua hatari sana.
Hahahhaha,umekumbusha tulivyokuwa tunafoji stemp,jamani tunafuta mhuri halafu tunatumia hiyo stemp kutuma barua,pia shida ya maji ndo ilisababisha watu tupige passport size,yaani nilishaapa kamwe wanangu hawawezi kusoma boarding schools
Nakumbuka Nilikuwa nikirudi Likizo Demu Akiniambia tuwe tunawasiliana Bhas hata Kwa Barua Namwambia anza Wew!! Akituma Nachukua Colget Naweka Mambo Kitu Kipya Narudisha majibu hahaahahahhaa