Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

nyeto, kuber, kuvaa khanga na kwenda kulala kwenye bweni la wasichana, hapo unatembeza kitu till morn, kupiga sim home ( unawekwa ktk tundu la choo cha shimo unaanZa kuwaambia wazazi wako pale kuwa maisha ni mazuri shuleni) kuwapaka rosheni njuka au kuwawekea maharage sehem zao tupu za nyuma
 
Nilisoma shule moja hivi O Level yangu..

Form four ndo walikuwa vinara wa kuwaburuza Na kuwatesa form one.

Hii siku sitakuja kuhisahau kamwe, majamaa yakaingia bwenini kwetu, hapo niko form one.... Mmoja akakaa mlangono, yaani hakuna hata form one mmoja alitakiwa atoroke.

Wengine wakaanza kupita kila kitanda kutuvutisha bangi, basi kila mtu alikuwa anapiga pafu mbili au tatu.

Form four mmoja akamkata mmoja wa form one, akamuuliza kichwa cha ub.oo wako na wangi kipi kikubwa.... Form one akijibu cha kwangu...

Daah, lile jamaa likamchukua yule form one akaenda naye chamba, akatoa mashine yake akaipaka mafuta, kisha akamwambia yule form one aanze kuisugua, yaani kumpigisha puny.eto..

Jamaa alisugua hadi yule form four kapiga bao...

Aisee....naomba niishie hapa, maana yako manyanyaso mengi sana, na nikikumbuka machozi yananitoka...
Inaonyesha ni ww uliesema kichwa chako ni kikubwa.
 
Makongo;

Kuna mtu alikuwa mtata sana anaitwa Afande Miraji(RIP) alikuwaga NA kawaida ya kupita kitaan kwetu saa 1 usku kila akiwa anatoka job kwake Makongo sec school ...sasa mzee wangu NA mm mili ilikuwa inaendana kdgo alikuwaga naye mjeda NA alikuwa anapenda sana kukaa nje mida hiyo usiku....siku Miraji alipopita nikiwa nimekaa mm pale nje mzee hakuwepo jamaa akatoa shikamo kama kawaida yake NA mm nikaitikia marahaba kumbe akaishtukia ile saut sio ya mshua akaenda zake kimya kimya ...kesho yake jamaa alikuja nichomoa darasan akanipeleka ofisin kwake niliporud joints zote mwilin hazifany kaz maana push ups,kichura chura ndio zilikuwa adhabu zake wiki nzima najisaidia aja kubwa nimesimama maana kuchuchumaa siwez ,...Bas toka siku hiyo nikawa sikae nje ya home kwetu ikifika SAA 1 usku

Kigonsera Sec School

1.Kulikuwaga kuna kajamaa kamoja kutoka Mbeya kalikuwa kanawaingilia wanaume wenzake kishirikina,Aliweza kuwaingilia wanafunzi wengi sana(Mm hakuwahi nigusa hata chembe)...Sasa siku akaingia anga za dogo mmoja (nahisi naye alikuwa ninja ) kutoka Rukwa ndipo alipodakwa kichapo alichopata nusu wamuue ikabid baadae wamuhamishe shule ndio ikawa salama yake

2. kuna Teacher mmoja Yank flan hiv alikuwa anatoka Songea mjin anakuja Mbnga(kigonsera) kutupigia practical za chemistry NA Bios NA kesho yake anageuza, Yy alikuwa rafik wa wanafunzi kwahiyo akawa analala kwenye madom ya wanafunz ...Kulikuwa kuna Teacher mmoja kila ikifa SAA 12 kasoro anapita Dom hadi Dom kuamsha wale ambao hawajasmka, NA kawaida yake akiingia tu akakukuta umelala anatandika bakora hapo hapo juu bila hata kukustua ww unakuja shtukia kitu paaah! ...Sasa siku akaingia room ambapo teacher alikuwa kalala NA wanafunz ndan ahahahahaha jamaa alimtandika fimbo moja ya nguvu yule mwalimu akiwa usingzin ,teacher ikabid apige kelele "mm mwalimu wa practicaaaaaal sio mwanafunz"

Pugu Sec School.

1.Baada ya kukimbia Kigonsera kutokana NA barid Kali nikajiunga Pugu.....Huku identity ya kwamba huyu ni mwanafunz wa Pugu ilikuwa ni kujikuna sehem za siri kwa7bu ya fungus kutokana NA shida ya maji MTU alikuwa anaoga ikifika ijumaa au jmos akiwa anadrop kwenda town maji pale yalikuwa ya pond...

2. Tulikuwa NA kawaida ya kuwa NA magroup ya wanafunz wasiozid 10 katika kugawana chakula,wali au ugali NA mboga zinajazwa kwenye sufuria mbili kubwa kisha anateuliwa mmoja kuwagawia member wa group ambao sahan zao zimetandazwa chini....sasa siku nikachelewa dining bwana alafu ilikuwa siku ya wali nyama(ilikuwa kama sikukuu Siku hii maana attendance inakukuwa nzur hata wale watoro waliokubuhu wanakuwepo) ...Baada ya kukosa kwenye group letu nikaona kuna group linatafuta chimbo ili waanze kugawana menu ikabidi niunge walipotandaza sahaan chin NA mm nikaweka yangu katkat ....Bas yule group leader(jamaa nahis alikuwa NA roho ya Nduli) maana alisambaza chakula Sahan zote tena zimejaa mpaka zinamwagika nyama tatu tatu huku sahan yangu ikiwa nyeupe haina kitu, nilipomuuliza kwann imekuwa hivyo jamaa akanijibu " group letu mzamiaji hana nafasi" daah ikabid niwe mpole tu

3. Tulikuwa tunashindana kupiga msuli PCB darasa letu ...msuli unaanza SAA 4 usiku mpaka pale mshindi anapopatikana ....Masharti ya shindano member wote mnachangishana mia 2 NA pesa inayopatikana inanunuliwa mikate inawekwa mezani mshind anapewa, ni mikate sababu Pugu chai ilikuwa inachemshwa ila vitafunwa unajininulia mwenyewe......,Sharti la pili ukisinzia tu umejitoa unapewa red card NA msimamiz ambaye naye alikuwa sio mshindani anaruhusiwa kusinzia NA walikuwa wanapeana shift saa 4,6 & 8.....Bas kuna jamaa akikuwa anaitwa Mwisho Wa Lami alichukua mikate for 4 consecutive days maana alikuwa anafika mpaka SAA 11 asbhi peke yake cha ajabu kwenye parade 1 lazima umkute wakat sisi wengine tulikuwa tukifanikiwa kufika sana bas SAA 8 au 9 ndio pumzi zinaishia(usingizi) inabid ukalale tu japo mikate unaitaman NA kuamka kwake ujue ni SAA 4 mda wa chai....Headmaster alimpatiaga zawadi huyu jamaa baada ya kuzisikia habar zake.
We pugu boy tumesoma wote... Umenikumbusha mbali sana issue ya mwisho wa lami kuopewa mikate.. Kudrop na kuto kuoga pamoja na kuwashwa....tulisoma wote aisee... Kuna jamaa alihamia pale Pugu akawa anaoga kila siku akapata fungus za kwenye nundu za kukalia.. Akatibiwa. Alipopona akaacha kuoga.. Alikuwa anakwenda kuoga weekend akidrop kwao..
Inawezekana alikuwa form one wa kiangazii
 
1. Muda wa michezo wenzangu wakiwa viwanjani Mimi nikienda kitaa kula mzigo.
2. Kufungua store ya shule usiku wa manane na kuiba sukari na mchele. Tulikuwa na funguo nyingi sana.
3. Kuiba kuku na Sungura wa mapadri kwakuwa ilikuwa seminari. Na kuwatengeneza supu usiku wa manane.
Kutongoza mademu muda wa michezo na hata Kula mzigo.

Kuomba get pass za uongo ili tu ukwepe ukaguzi wa bweni kwan ilikua shule ya Jeshi.


Kukwepa parade za asubuhi kwa kuofia fimbo

Kuimba nyimbo za Matusi wakati wajogging xa asubuhi.
 
Hahaha,

O' Level.

1. Picha linaanza nimefika form one baada ya kukabidhiwa kitanda tuu, nikaibiwa ndoo niliyokuja nayo. Nikaitafuta nikaikuta bweni jingine, kuichukua ile kuifikiaha tuu na kujipindua nikakuta ndala na ndoo vimeibwa tena. Daah, watu form six waliokuwa wamebaki likizo (maana form one tulikuwa tunawahi wiki kabla kabla wengine hawajafungua shule ili tuzoee mazingira) wakaniambia hayo ndo maisha. Na wewe tafuta wa kumuibia.


2. Kuna siku tulikula panya, panya aliingia katika unga, wakati wanamimina unga katika masufuria ya ugali panya yumooo. Aisee tukagoma na shule ilifungwa.


3. Sisahau kwenda kuchunga ng'ombe kuna ng'ombe tulimtegua mguu ili aumwe achinjwe tule nyama.


4. Kuchanja kuni ilikuwa ni shughuli iliyonikera sana.


5. Kuna siku ulipikwa wali tukapiga addition, tukawa na wali kama mabakuli matatu hivi. Sitosahau ule wali tuliula kwa siku 3. Kazi ilikuwa ni kuuanika juani tuu. Hahahaa. Hatukuumwa wala nini.


5. Kupitisha wiki bila kuoga wala kupiga passport ilikuwa ni kawaida sanaa kwa maisha yale.


6. Kuna siku ilikuwa sherehe ya walimu. Zikapikwa nyama roast, wakateua wanafunzi wabebeb wawapelekee walimu. Raia tulitoroka na hotpot moja lililokuwa full nyama. Ila hatukushtukiwa.


7. Jumatatu ilikuwa ni siku ya kusoma barua zilizpletwa. Mimi ilikuwa sijawahi kutumiwa barua. Nikaona isiwe tabu, nikaenda zangu mjini nikajitumia barua kwa stempu ya kufoji ili na mimi nioshe. Hahahahaaa.


8. Bweni zima kunukia perfume moja siku ya sherehe ilikuwa jambo la kawaida maana unakuta bweni zima mwenye perfume ni mmoja.

9. Kulala na uniform ilikuwa ni jambo la kawaida kwangu.

Advance.
1. Baadhi ya vitu niliacha. Nikaongezea vingine. Utoro wa kwenda mitaani kutafuta vyakula, kuangalia mpira na picha za ngono vibandani.

2. Kuvuta likizo mwezi mzima, na kuwahi kuondoka shule mwezi mzima kabla ya tarehe official kufungwa.

3

Hii shule kama naifahamu
 
Bwenini bwana sikununua pen kiwi sabuni mafuta miaka yote na bado nilisurvive

Kuna dogo aliniibia chupi ya ndani, yale tuliokuwa tunavaaga ya zamani, nilifua nikaanika duuuuuuu dogo kaona kama mpya vile kabeba, hahahahahahahaha BWENI hatari sana
 
Siku ya wali na nyama kila MTU kwenye group alkua anataka agawe ila watemi wagroup tulkua tunagawa siku hzo nyeti nakupiga mchinjo wanguvu wale wanyonge nyonge

wewe ulisoma KWIRO nini??? kwiro tulikuwa tunaletewa picha za mademu wa machipi/ifoza baaasi watu wanagombea kama wafungwa wa kihindi
 
Haaaaaaaaaa life la shule noma xnaa hasa kibiti boys pale daaah ganglion xnaaa
Migomo ya kuchoma shule kwa sn
Kuwazalisha mabintiiii na kuwakimbia watoto afu
Kuna jamaa alikuwa bingwa wa kunywa uni a,k,a polaa hatariii
 
Wale wa Kantalamba tukutane Chanji kwa Mbombo ngafu au kwa mama kalekwa kwenye Wanzuki na kimpumu.
Na wale wa Jamhuri High school Dodoma tukutane 84 Club
 
aaaah aaah umenikumbusha mbali sana, kijana enzi za vimbuzi , na maza fishi , ugali maharage unapondea na maparachichi aaaah aaah, then unakuta kama unakula ugali nyama, sometime unatunza bondo mpaka asubuhi aaah kwa ajili ya uji , jumapili mikate na chai daah hapo akosekani mtu aaaah aaah,

kupiga msuli kwenye mahindi ,kudadadeki na kudoji class daah hatari sana , kuoga mpaka siku za weekend barid kama urusi,enzi hizo kuzamia kwa wzenji tukiwasubiri uwanja wa malale hata kujifanya wapiga msuli mesin kuvutia totozi,

maisha ya bording raha sana ata ukiwa mzembe utakomaa tu.
 
Dah sitasahau siku nimeingia Staff Room baada ya masomo mida ya saa 9 hivi nakuta kuna walimu wawili halafu chakula kikaletwa na mpishi, ilikuwa wali maharage nikasema moyoni hapa sitoki hadi wamalize. Uzuri nilikuwa nafahamiana na mmoja wao vizuri kwahiyo haikuwa shida kubuy time.

Walipomaliza nikaondoka na wali takribani robo ndoo na maharage nikaenda kujikaa chimbo, hahahaha nilikula ule wali kuanzia saa 9 hadi saa 12 jioni, nilikuwa nakula nikishiba nabofya simu kikipungua tumbo naendelea kula.
 
1. shuleni kwetu kulikuwa na tabia ya viongozi kupita mabwenini saa kumi na moja asubuhi kuamsha watu na atakayekutwa kalala bakora za kufa mtu. sasa siku moja tuka jipanga mtu mmoja akakaa mlangoni ile wamaingia tu mlango ukafungwa, asee tulikuwa na fimbo za kutosha na chaga tuliwachapa sana, na kesi tukashinda,

2. kuiba mahindi na kuchemsha kwenye ndoo kwa kutumia heater juu ya dari, yaani dari limejaa magunzi mpaka lina taka kuanguka
 
Back
Top Bottom