Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,027
- 52,500
wavulana walikuwa na mashindano ya kupiga punyeto kuona nani sperm zitaruka mbali eti
Walimu wanatofautiana unoko.Aisee hamkufaidi kabisa,mbona sisi wale wa LOLEZA tulikuwa tunawakamatia vizuri tu!
Sie ilisomwa moja nakumbuka maneno hayakuna mtu alifoji stam barua ikarudi ikasomwa assemble na headmaster alikuwa ameandika kwa demu wake ahahaaa eti nakupenda kama wali mchuzi
Hii nakumbuka sana,nilivyofika form one, siku nimeenda prepo washkaji wa form three wakaja bwenini kwetu wakapiga tranka langu kipepeo wakaiba vijisenti kidogo.
Nilivyorudi nikakasirika sana, nikafanYa uchunguzi nikawagundua. Nikavizia siku form three wameenda shambani nikaingia bwenini kwao nami nikafungua matranka yao hao washkaji wawili.
Nikakuta hamna cha kuiba, hivyo nikaamua tu Kunya na kukojoa humo then nikasepa...![]()
form one ulitoa wapi huu ujasiriKunguni

shule gani hiyo..mana napo niliposomea ilikua balaa mpk watu wanaandamana kwenda kulala assemble
kuna mtu alifoji stam barua ikarudi ikasomwa assemble na headmaster alikuwa ameandika kwa demu wake ahahaaa eti nakupenda kama wali mchuzi
Hii nakumbuka sana,nilivyofika form one, siku nimeenda prepo washkaji wa form three wakaja bwenini kwetu wakapiga tranka langu kipepeo wakaiba vijisenti kidogo.
Nilivyorudi nikakasirika sana, nikafanYa uchunguzi nikawagundua. Nikavizia siku form three wameenda shambani nikaingia bwenini kwao nami nikafungua matranka yao hao washkaji wawili.
Nikakuta hamna cha kuiba, hivyo nikaamua tu Kunya na kukojoa humo then nikasepa...![]()

duuuuuh umetisha khaaInawezekana alikuwa form one wa kiangazii![]()
form one ulitoa wapi huu ujasiri
sana tuu...ila kiboko ya yote ni nyeto ya kutumia nzi...dahwavulana walikuwa na mashindano ya kupiga punyeto kuona nani sperm zitaruka mbali eti
Makongo;Leo nimeona sio vibaya kila mtu akashiriki kusimulia matukio ambayo unayakumbuka ulipokua boarding school, either ya kusikitisha au kufurahisha.
Kwa uchache haya ni ya kwangu.
1.Tabia za kutokupenda kuoga: Kutokana na hali ya hewa kuwa baridi sana pale shuleni kwetu, wengi wa wanafunzi walikua wanapiga , " Passport" au " Kogo",kuosha sehemu chache tu za mwili, bila kuoga kabisa. Kuna mwanafunzi mwenzetu huyu yeye alikua na uwezo wa kutokuoga semester nzima. Yeye alikua ananawa uso tu na kwenda parade. Baada ya wanabweni wenzake kuona tabia yake. Kikakaa kikao kisicho rasmi ambacho maamuzi yake ilikua lazima jamaa aoge. Kwa pamoja wakamkamata mhusika na kumwogesha.
2. Tabia za kupigana makofi wakati wa kulala: Kulikua na tabia ya kila mwanafunzi mgeni kupata ukaribisho kwa kupigwa kofi usiku na kupakwa colgate mdomoni usiku wa kwanza anapoingia bording. Wanachumba wote kwa pamoja humtegea mgeni na kusubiri alale. Halafu taa huzimwa zote bweni zima. Mhusika hulishwa colgate akiwa amelala na kupigwa kofi la ukaribisho.
3. Utoro kwenda kwenye maulidi na harusi: Jamii ya watu walioizunguka shule wengi walikua wa dini ya kiislamu, hivyo kulikua na sherehe nyingi za maulidi, hivyo pale kunapotokea maulidi basi vijana usiku hutoroka na kurudi na mifuko na plastiki yenye pilau. Vile vile kila kunapotokea harusi maeneo ya jirani na shule basi usiku wa sherehe husika watu huzamia harusini, kubadilisha menyu.
Kwa uchache yangu ni hayo tu, karibuni nanyi mlete ya kwenu.
Leo nimeona sio vibaya kila mtu akashiriki kusimulia matukio ambayo unayakumbuka ulipokua boarding school, either ya kusikitisha au kufurahisha.
Kwa uchache haya ni ya kwangu.
1.Tabia za kutokupenda kuoga: Kutokana na hali ya hewa kuwa baridi sana pale shuleni kwetu, wengi wa wanafunzi walikua wanapiga , " Passport" au " Kogo",kuosha sehemu chache tu za mwili, bila kuoga kabisa. Kuna mwanafunzi mwenzetu huyu yeye alikua na uwezo wa kutokuoga semester nzima. Yeye alikua ananawa uso tu na kwenda parade. Baada ya wanabweni wenzake kuona tabia yake. Kikakaa kikao kisicho rasmi ambacho maamuzi yake ilikua lazima jamaa aoge. Kwa pamoja wakamkamata mhusika na kumwogesha.
2. Tabia za kupigana makofi wakati wa kulala: Kulikua na tabia ya kila mwanafunzi mgeni kupata ukaribisho kwa kupigwa kofi usiku na kupakwa colgate mdomoni usiku wa kwanza anapoingia bording. Wanachumba wote kwa pamoja humtegea mgeni na kusubiri alale. Halafu taa huzimwa zote bweni zima. Mhusika hulishwa colgate akiwa amelala na kupigwa kofi la ukaribisho.
3. Utoro kwenda kwenye maulidi na harusi: Jamii ya watu walioizunguka shule wengi walikua wa dini ya kiislamu, hivyo kulikua na sherehe nyingi za maulidi, hivyo pale kunapotokea maulidi basi vijana usiku hutoroka na kurudi na mifuko na plastiki yenye pilau. Vile vile kila kunapotokea harusi maeneo ya jirani na shule basi usiku wa sherehe husika watu huzamia harusini, kubadilisha menyu.
Kwa uchache yangu ni hayo tu, karibuni nanyi mlete ya kwenu.
Mwezi dume unatafuta hata kipande cha sabun shule nzima unakosa.
Ukiingia chooni unavua nguo zote kwanza kisa harufu kali vyooni
Kutoroka na madishi siku ya nyama na wali na kutokomea nayo porini.
Kuna jamaa alikua kiranja wa msosi siku ya nyama anachukua nyama kwenye kindoo na kuuza kinyango shs 200
Ukienda na mkate shuleni wewe ni mfalme..
shule gani hiyo mkuu??!Tulikuwa tunatoroka kwenda vijiji vya jirani kwenda kunywa pombe za kienyeji, tukikutana na mwalimu tunamnunulia pombe mpaka atosheke
Mkuu wewe unaitwa nani labda tulikuwa shule mojashule gani hiyo mkuu??!
Heheheee ujamaa upo boardingHii nakumbuka sana,nilivyofika form one, siku nimeenda prepo washkaji wa form three wakaja bwenini kwetu wakapiga tranka langu kipepeo wakaiba vijisenti kidogo.