Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

Fisadi mbeba maboksi alimwa mvua 12 gerezani

ntakuwa namsaidia mkewe kwa mahitaji ya hapa na pale....:a s wink:

Halafu yaelekea unamfahamu alpha wewe.....bisha....

mwenzio unataka kuumiza mara ya pili tena msamehe bana keshasoma kaumia unataka kukumbushia mengine
 
Ntakuwa namsaidia mkewe kwa mahitaji ya hapa na pale....:A S wink:

Halafu yaelekea unamfahamu Alpha wewe.....bisha....

NN usinichekesheee bana, labda umsaidie kumpeleka shopping......lol

Namfahamu sababu ya washkaji zangu
 
.. stroke hao wanhekimbia huko kja bngo
 
Last edited by a moderator:
Daah.. Hebu mkuu nipe elimu kidogo hapa.. Hapa Tanzania sie tuliibiwa nini na hawa wazungu kiasi leo New York ikawa vile ilivyo..? Au mali ambayo waliichuma wamarekani kiasi ikawafanya kuwa taifa lenye uchumi namba moja duniani..?

you can not teach an Old dog new tricks!!!
 
haki ya nani pdidy okoa familia!

mtumishi wa bwana nyani ngabu yuko kwa ajili hiyo akishindwa itabidi nije hata likizo kidogo

nimeona wakati muafaka tuangalie \tutamliwazaje mkewe hao watoto wana ndugu hata baba wadogo watakaa nao wakishindwa waletwe dar kwa aunt zao ila mama asirudi ...tuangalie tunamsaidiaje jamani ...kama naona mkewe nae anavyoelekea kwa travel agent kuulizia tkt ya dar sh ngapi na watoto wanne
 
.. stroke hao wanhekimbia huko kja bngo

Mrangi zemu yetu sasa kwenda huko kupiga dilli mpwa naona .........neema

mbaya zaidi hao wanaofungwa wote ukija dar hakuna kipya walichofanya mpwa nakwambia aibu tupu

loh
 
mtumishi wa bwana nyani ngabu yuko kwa ajili hiyo akishindwa itabidi nije hata likizo kidogo

nimeona wakati muafaka tuangalie \tutamliwazaje mkewe hao watoto wana ndugu hata baba wadogo watakaa nao wakishindwa waletwe dar kwa aunt zao ila mama asirudi ...tuangalie tunamsaidiaje jamani ...kama naona mkewe nae anavyoelekea kwa travel agent kuulizia tkt ya dar sh ngapi na watoto wanne

Mmmmmh
Makubwa sasa!
 
haahaaaaa Mkuu Al sharpton
Huyu akuna tofauti na mjane wakati muafaka kuonyesha upendo

lile tangazo la

tangaza upendo ni mudawake maalumu kwenye hii familia
 
MAONO:

Maono ya huduma hii ni kuipeleka injili vijijini ambako injili haijafika au imefika kwa sehemu ndogo, ukilinganisha na jinsi ambavyo watu wa mijini wamepokea injili mara nyingi na kutumia fedha nyingi kwa ajili ya ujenzi wa makanisa ya gharama kubwa pamoja na kuanzisha miradi mingi pasipo injili huhubiriwa.

Kulea watumishi wa Mungu ili kukuza vipawa na karama ambazo Mungu ameweka ndani yao kwa njia ya Roho Mtakatifu kwa ajili ya kanisa,watu waliookoka kwa neno la Mungu na kuwakuza hata kufikia kipimo cha kuwaleta wengine kwa Yesu.(Uanafunzi)elimu Wainjilisti wa huduma hii kwa kuwapeleka katika vyuo vya Biblia kwa masomo zaidi.

UTENDAJI KAZI

Tunatenda kazi kwa kushirikiana na madhehebu mbalimbali ya Kikristo, mikutano mingi ya injili vijijini na kupeleka sinena,semina,uinjilisti wa nyumba kwa nyumb.Watu wengi wameokolewa na Yesu na kupokea uponyaji.

Tunawapa watu masikini na wajane nguo na vitu mbalimbali kama madaftari na sare za shule baada ya kuwapa injili Yak 2:14-16.kuwasomesha Wainjilisti 7 kwenye vyuo vya Biblia tangu mwaka 2001-2009 kwa gharama za ofisi.ushauri nasaha kwa wajane,waathirika wa ukimwi, wanandoa na wahitaji wengine.maombi kwa ajili ya mahitaji mbalimbali kwa watu, Mungu ameweza kusikia maombi yetu na kuyajibu.maandiko na vipeperushi vyenye ujumbe wa neno la Mungu na watu wengi wamepokea na kubadilika.injili kwa njia ya Redio





Mwanzo | Kuhusu Huduma | Kazi za Huduma | Shuhuda | Vipaumbele | Namna ya Kushiriki | Bajeti | Site Map
 
pombe zingine bana majina yao tashburrrrrr

10675598_10204738936487422_3023610019452275560_n.jpg
 
hey mhudumu naomba Jamba mbili za baridi

kwiii kwiiii hiyocha mtoto
 
Mrangi zemu yetu sasa kwenda huko kupiga dilli mpwa naona .........neema

mbaya zaidi hao wanaofungwa wote ukija dar hakuna kipya walichofanya mpwa nakwambia aibu tupu

loh

Eti Ukija Dar! Hivi Kwani Watanzania Wote Kwao Ni Dar?
 
Back
Top Bottom