Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Last edited by a moderator:
Maskini nchi yangu Tanzania tumefikia hatua ya kusifia siyo kwa kununua ndege mpya bali kwa kutua kwenye uwanja wetu!!!!!! Lini tutanunua yetu.
Hata hivyo, naomba nimfahamishe Mleta Uzi kwamba Rais Paul Kagame anazo mbili Boeing 787 Deamliner mpya na anasubiri ya tatu. Zote zinatumiwa na Rwandair. Sisi tutaendelea kununua mitumba ya Forker za piston engine na Beoing 737-200 zilizoundwa miaka ya 70 iliyoshindikana kwa wenzetu.
Maskini nchi yangu Tanzania tumefikia hatua ya kusifia siyo kwa kununua ndege mpya bali kwa kutua kwenye uwanja wetu!!!!!! Lini tutanunua yetu.
Hata hivyo, naomba nimfahamishe Mleta Uzi kwamba Rais Paul Kagame anazo mbili Boeing 787 Deamliner mpya na anasubiri ya tatu. Zote zinatumiwa na Rwandair. Sisi tutaendelea kununua mitumba ya Forker za piston engine na Beoing 737-200 zilizoundwa miaka ya 70 iliyoshindikana kwa wenzetu.
Naona neno youngest fleet linakuchanganya sana we jamaa. The age of the airline fleet is the average age of all the planes in the fleet. Sasa wewe unapanda ndege moja unasema the youngest fleet, sema the youngest plane. Precision air imeanza miaka ya hivi karibuni while Ethiopian airline wako miaka karibu 40 sasa. Ethiopian wanazo hadi DC 10 kwenye fleet yao. Precision wana ATR kibao mpya kabisa wamenunua toka France ndio zinashusha age of their fleets. Kupanda ndege sio kujua airline industry broda, go deeper. Mimi binafsi hata nikienda nje ya nchi najivunia Precision kwa kuwa shirika la binamu yake Mwakyembe la ATCL liko ICU na hakuna juhudi za kuliponya zaidi ya porojo. How will you compete with EA when you have JUST a pilot CEO??Jaman tusifie wanajitahid lakin ukweli lazima tuongee, precision haina youngest fleet kuliko wote in africa, ndege zake zina kelele hata kama upo ndani huna amani, unajua youngest fleet wewe..m we unaona ethiopia wananunua dream liner ya 2012 halafu unasema precision ndo wana youngest fleet, what about kenya airways, zambezi, egypt air na wengineo, kusema kweli precision napanda basi tu as no more options in countryside trips but ukweli nakosaga amani napokuwa angani.. Hata 540 yaani ndege zetu zote wasiwasi....
Ukitaka kujua youngest fleet inakuaje panda qatar ya saa 7 mchana from dar to doha daily ndo utajua huwa inakuaje, precisions ni used zile
Hili ni vema likajadiliwa kisiasa, WaEthiopia wamenunua ndege ya kisasa kabisa nje ya Japan na ya kwanza ya aina yake Africa, unaajua trip yake ya kwanza? Kilimanjaro, huwezi kuamini dlegetion ya viongozi na media from all over the world: Angalia hapa:
BBC News - Ethiopia gets first Boeing 787 Dreamliner in Africa
Air Tanzania itanunua lini ndege zake used maana TZ tunaongoza kwa Mitumba! I am not proud of this, but it worth saying.
...Mkuu ukiwa na nahodha dhaifu ni wazi hakuna hata mmoja katika hiyo timu atakayejituma kufanya kazi. Mtajikuta wote akili zenu ni maziwa lala hakuna kilanja wala waongozwaji. Wanayofanya Ethiopia Airline sio miujiza ni kuwa watu wako serious wanajua wanachotaka. Hiyo gharama ya Dreamliner hata sisi tungemudu mbona? hata kununua 1 kila baada ya 3 years inawezekana lakini tumepulizwa Chloroform kwa hiyo ulevi si ulevi, usingizi si ucngizi, wehu c wehu ili mradi kero tu. Lakini kwa kushabikia vya wengine tuko mstari wa mbele....It's shame....:rant::rant:Maskini nchi yangu Tanzania tumefikia hatua ya kusifia siyo kwa kununua ndege mpya bali kwa kutua kwenye uwanja wetu!!!!!! Lini tutanunua yetu.
Hata hivyo, naomba nimfahamishe Mleta Uzi kwamba Rais Paul Kagame anazo mbili Boeing 787 Deamliner mpya na anasubiri ya tatu. Zote zinatumiwa na Rwandair. Sisi tutaendelea kununua mitumba ya Forker za piston engine na Beoing 737-200 zilizoundwa miaka ya 70 iliyoshindikana kwa wenzetu.
Kuna vitu ukivisoma mpaka unapata hasira kabisa.Sasa watu wake wampelekee taarifa ya uzi huu, apitie aone vijinchi vidogo vinaishinda Tz yenye kila utajiri.
Achukue posho yake aende Sychelles, Mauritius, Rwanda akajifunze kufanya maamuzi magumu kwa mustakbala wa nchi. Au hata apitie hizi link zilizobandikwa hapa, kama ni binadamu apate aibu kidogo na ajifunze kitu.
Air Mauritius
Air Mauritius | Corporate information
Angalia hii Air Mauritius - Wikipedia, the free encyclopedia
Halafu angalia hii Air Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia
Hata web page ya AirTanzania ni kimeo Air Tanzania Company Limited. Air Tanzania flights. Air Tanzania, from Dar Es Salaam to Tabora, Kigoma, Bukoba, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro and Zanzibar.
Soma kichwa cha habari tafakuri na uchangie. mada iliyopo mezani inasema nini hizi diversion zenu na kutrivialize vitu ndiyo tatizo kubwa. Hivi unahabari kuwa shirika hili la ndege linachangia kiwango kikubwa cha mapato ????? Jee unafahamu kuwa addis ni moja kati ya hub kubwa afrika???????? let us have hard talk on this jamanipia ethiopia maisha magumu watu wanakula mlommoja tiba ni ghali rate ya ukimwi kubwa .wengi wanakimbia nchi ile
Mmemuweka mpuuzi Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi naye kamuweka binamu yake shirika limeisharudi ICU. ATCL ilikuwa na kandege kamoja ka kukodi wakati Mwakyembe anaingia lakini tunavyoongea sasa kameisharudishwa kwa wenyewe na shirika halina ndege na bei za usafiri wa ndege wa ndani zimerudi juu. Usaliti huu wa Mwakyembe haukubaliki kabisa, sasa binamu yake anaongoza shirika lina wafanyakazi zaidi ya 200 lakini halina hata ndege ya kukodi
Ndio sababu wanasema,"waachiwe wapumue" ili wapate kununua hiyo mitumbwi.
Tumeshindwa kula na kipofu.
Dr. Shein tayari ameagiza Titanic no. 2.
Mmemuweka mpuuzi Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi naye kamuweka binamu yake shirika limeisharudi ICU. ATCL ilikuwa na kandege kamoja ka kukodi wakati Mwakyembe anaingia lakini tunavyoongea sasa kameisharudishwa kwa wenyewe na shirika halina ndege na bei za usafiri wa ndege wa ndani zimerudi juu. Usaliti huu wa Mwakyembe haukubaliki kabisa, sasa binamu yake anaongoza shirika lina wafanyakazi zaidi ya 200 lakini halina hata ndege ya kukodi
katika RED, kwanini TANZANIA tushindwe?Tatizo letu sisi tunakuwa wazuri sana katika siasa na kuandika vizuri ila tunaongoza kwa ubovu katika utendaji. Katika biashara, hakuna ulazima wa serikali kumiliki 100% ya hisa katika kampuni inayohitaji mtaji mwingi kama ya ndege. Kampuni kama Kenya Airways imeleta sifa nyingi sana kwa Serikali ya Kenya ingawa ukweli ni kwamba Serikali hiyo inamiliki 30% tu za hisa za kampuni hiyo. Ujanja wa ndugu zetu wakenya ni kuwa walikuwa makini katika kutafuta partners wakuiendesha kampuni ile. Mwisho wa yote, sifa zinakwenda kwa serikali kwani jina limebaki Kenya Airways. Sisi tumeaminishwa kuwa ni lazima serikali iendelee na kumiliki 100% za ATC ili ionekane kuwa ni kampuni ya serikali hata kama serikali yenyewe inamahitaji mengi kiasi kwamba haina pesa zakuwekeza katika kununua ndege. Ndugu zangu kununua ndege kwa bei ya $200mn si kazi ndogo. Pesa hii ni sawa na TSh320billion. Hii ni zaidi ya mara 10 ya bajeti ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kwa mwaka. Sijafanya tathmini ila ninauhakika itakuwa zaidi ya bajeti ya uchukuzi kwa mwaka mzima. Binasfi sioni shida na kuruhusu ATC ikafa au itaungana na PW ili kuleta mawazo yakibiashara kwa watendaji wake kwani kinachomilikiwa na serikali humilikiwa na kila mtu na hivyo ni sawa na kuwa hakina mwenyewe au mtu mmoja mwenye uchungu nacho zaidi ya wengine wote. Chamsingi hapa ni kuhakikisha hata hiyo PW basi ibebe bendera ya nchi na ikibidi jina libadirishe. Siasa zinatuponza. Ethiopia wanaweza kutokana na ukubwa wa uchumi wa nchi yenyewe. Ikumbukwe kuwa pato la taifa la Ethiopia na kama mara tatu ya lile la Tanzania na kama mara mbili ya mahasimu wetu wakenya. isitoshe, nyanja nyingi za uchumi za Ethipia bado uko mikononi mwa serikali hivyo ni rahisi kwa serikali kujiamulia kipi kinunulie na lini na hii ndio maana hata katika jeshi, Ethiopia inatumumia zaidi ya USD4billion kwa shughuli zakisjeshi kwa mwaka. Pesa hizi ni karibu nusu ya budget zima ya Tanzania kwa mwaka. Tulaumu siasa zetu katika kila sekta. Mungu Ibariki Afrika! Mungu ibariki Tanzania!
pia ethiopia maisha magumu watu wanakula mlommoja tiba ni ghali rate ya ukimwi kubwa .wengi wanakimbia nchi ile