First in Africa Boeing 787 Dreamliner ET Unajua trip yake ya kwanza? Kilimanjaro! Ya kwetu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

First in Africa Boeing 787 Dreamliner ET Unajua trip yake ya kwanza? Kilimanjaro! Ya kwetu?

Discussion in 'JF Garage (Magari na Vyombo vya Usafiri)' started by Profesa, Aug 20, 2012.

 1. Profesa

  Profesa JF-Expert Member

  #1
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 902
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  Hili ni vema likajadiliwa kisiasa, WaEthiopia wamenunua ndege ya kisasa kabisa nje ya Japan na ya kwanza ya aina yake Africa, unaajua trip yake ya kwanza? Kilimanjaro, huwezi kuamini dlegetion ya viongozi na media from all over the world: Angalia hapa:
  BBC News - Ethiopia gets first Boeing 787 Dreamliner in Africa

  Air Tanzania itanunua lini ndege zake used maana TZ tunaongoza kwa Mitumba! I am not proud of this, but it worth saying.
   
 2. M

  Makupa JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ethopia Airline inamilikiwa na serikali kwa asilimia mia moja
   
 3. Bwa'Nchuchu

  Bwa'Nchuchu JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 2,178
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Super big up to the good 'ol USA.
   
 4. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Maskini nchi yangu Tanzania tumefikia hatua ya kusifia siyo kwa kununua ndege mpya bali kwa kutua kwenye uwanja wetu!!!!!! Lini tutanunua yetu.

  Hata hivyo, naomba nimfahamishe Mleta Uzi kwamba Rais Paul Kagame anazo mbili Boeing 787 Deamliner mpya na anasubiri ya tatu. Zote zinatumiwa na Rwandair. Sisi tutaendelea kununua mitumba ya Forker za piston engine na Beoing 737-200 zilizoundwa miaka ya 70 iliyoshindikana kwa wenzetu.
   
 5. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  Is this true of the carrier price:The aircraft are supposed to cost $200m each but correspondents say airlines rarely pay this price, especially for bulk orders. Kama ni bei hii 200 m US$ mbona hatushindwi? au ni 200 bn US$?
   
 6. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #6
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Hatushindwi kitu chochote Tanzania,
  iliyoshindwa ni serikali ya Vibaraka weusi ya CCM,
  CCM wameshindwa na wako hoi,
  Kundi la watu wanaoiongoza CCM ni vilaza,
  na marimbukeni wakutupwa.
  Wanakaa magogoni kwa sababu Watanzania tumelaza mlonga.
  Nchi yetu haishindwi kitu chochote.
  We a capable of doing so many things.
  Wewe hata Somalia wasio na serikali wanatushinda kwenye mambo kibao????!
  Shame on us.
   
 7. N

  Nonda JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Hizo ni kwa matumizi binafsi au kwa ajili ya Rwandair?

  Kama ni Rwandair hawana hizo link rwandair.com | Our Fleet

  na hizi ziko njiani rwandair.com | RwandAir makes a firm order for two Bombardier CRJ900 NextGen aircraft
   
 8. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #8
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Kama precision air ya watu binafsi inajipeleka serikali itashindwaje? NIWAKUMBUSHE KUWA shirika la ndege ni alama ya taifa..watalii wanajaa ethiopia na kenya kutokana na maajabu ya mashirika hayo..mwakyembe umeshindwa?
   
 9. N

  Nonda JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
  Hata Seychelles, nchi ndogo inajisogeza mbele , tena sio kwa mitumba!

  Link Press Releases from Air Seychelles

  link Our Fleet
   
 10. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #10
  Aug 20, 2012
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Serikali yetu inaongoza kwa kuomba wawekezaji: hata kwenye infrastructure kama viwanja vya ndege, barabara na madaraja, jambo ambalo ni jukumu la kwanza la serikali yoyote duniani!
   
 11. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kumbuka, badhi ya wana hisa wa PECISION AIR, yule bwana mfupi, ndio mmoja wa watu walioua AIR Tanzania makusudi na deliberately in favor of precision AIR!

  As long as, Mtanzania anaweza kuibia nchi na kufanya ufisadi wa kutisha, na baadaye yeye na familia yake wakaendelea kuishi Tanzania, wanatanua Mlimani city, Quality Plaza na sehemu nyingine, (mbaya zaidi wengine ni viongozi wastaafu); basi tabia hii itaota mizizi na kuonekana ndio jambo la kawaida. Imagine ATC ilipewa na serikali mtaji wa billions, badala yake wamekwenda kununua ma V8!
  Tujifunze kutoka kwa wachina na wajapan jinsi watu wa aina hii wanavyoshughulikiwa!
   
 12. N

  Nonda JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2012
  Joined: Nov 30, 2010
  Messages: 13,223
  Likes Received: 1,958
  Trophy Points: 280
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #13
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  As a continent this shows how much we are making progress as Africans... competing on the global stage and changing our image," Ethiopian Airline head Tewolde Gebremariam told reporters at Addis Ababa's Bole International Airport.

  This is not applicable in Tanzania!
  Shame on us
   
 14. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kwa nini hawaombi muwekezaji Magogoni tujue moja??
  Vilaza wanga wakubwa.

   
 15. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #15
  Aug 20, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  kwa faida ya watazamaji wa JFTV ni..BASIL MRAMBA
   
 16. Msalagambwe

  Msalagambwe JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2012
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Tangazo limekaa swanu.

  Sisi tukitangaza utaona mtu kamweka mkewe na jisura baya kwenye tangazo,
  aidha tangazo linakuwa la kiloko mpaka nchi nzima tunaona aibu.

  Si kwamba hatuwezi bali tumewaachia wasiweza watuwezeshe jambo ambalo ni sawa na kujifanyie uhuni sisi wenyewe.
   
 17. Magu

  Magu Senior Member

  #17
  Aug 20, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 158
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thnx for correction because it is clearly said, it is only two countries who owns Boeing 787 Dreamliner ET, and only the first in Africa.

  It was reported, Ethiopia Airline has ordered 10 of them for thier airline which is an incredible achievement.

  Tuwasifie kwa kweli wanafanya vizuri na tena kwa miaka mingi kitu ambacho mashirika mengi ya ndege yameshindwa.
   
 18. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Kumbuka hata waakti wa vita ya Ethiopia and Eritres, jamaa walihamia Nairobi na kazi zikaendelea kama kawaida.
  Ingekuwa ni Tanzania, you can imagine what would have happened.....
   
 19. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Mmemuweka mpuuzi Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi naye kamuweka binamu yake shirika limeisharudi ICU. ATCL ilikuwa na kandege kamoja ka kukodi wakati Mwakyembe anaingia lakini tunavyoongea sasa kameisharudishwa kwa wenyewe na shirika halina ndege na bei za usafiri wa ndege wa ndani zimerudi juu. Usaliti huu wa Mwakyembe haukubaliki kabisa, sasa binamu yake anaongoza shirika lina wafanyakazi zaidi ya 200 lakini halina hata ndege ya kukodi
   
 20. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Inatakiwa tuwe na shirika linalopeperusha bendera ya Taifa lililo imara na lishindane na mashirika binafsi kama precisionair. Mimi nawapongeza precision kwa kutumia udhaifu wa serikali yetu na kujiimarisha na sasa ni moja ya mashirika imara sana kushinda mashirika ya nchi kibao za afrika. Kumbuka precision ndo shirika la ndege lenye youngest planes fleet in Africa.
   
Loading...