Dreamliner Boeing 787 yaanza safari za nje, yapeleka nyama ya mbuzi Dubai

Quinine

JF-Expert Member
Jul 26, 2010
21,271
47,271
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongela, amethibitisha kuwa ndege ya shirika la ndege Tanzania ATCL Boeing 787 Dreamliner, imebeba shehena ya nyama ya Mbuzi kutoka Mwanza kuipeleka moja kwa moja Dubai.

NYAMA%2013.jpg

Picha ikionesha wakati nyama hiyo ikipakiwa.​
Akiongea leo jijini Mwanza, wakati wa kupakia nyama hiyo Mongela amesema safari hiyo ina tija kwa watazanzia kutokana na bidhaa bora ambayo itakuwa inafika sokoni kwa wakati.

''Serikali imefanikiwa kusafirisha mzigo wa kwanza wa nyama, kimsingi mzigo unaopakiwa leo hapa Mwanza unafika Dubai leoleo na hii ni biashara ya kimataifa ambayo unahitaji kufikisha bidhaa bora sokoni'', amesema Mongela.

Naye Mkurugenzi wa kampuni inayosafirisha nyama hiyo, amesema hiyo ni fursa kwa wafugaji wadogo kwani biashara hiyo ikifanikiwa itasaidia kupanua soko hivyo bei ya mifugo hiyo itapanda na kuwanufaisha wafugaji.

Safari hiyo ni ya kwanza ambapo zitafanyika safari zingine mbili na kama zitakuwa na mafanikio itaanzishwa safari ya kila siku kwa ajili ya kupeleka mzigo mkubwa zaidi.

Ndege ya Tanzania yapeleka mbuzi Dubai | East Africa Television
===============​
Wanaohoji ndege yetu ni Cargo au ya Abiria wajionee wenyewe.

img779385.jpg
 
Mkuu wa mkoa wa Mwanza, John Mongela, amethibitisha kuwa ndege ya shirika la ndege Tanzania ATCL Boeing 787 Dreamliner, imebeba shehena ya nyama ya Mbuzi kutoka Mwanza kuipeleka moja kwa moja Dubai.

NYAMA%2013.jpg

Picha ikionesha wakati nyama hiyo ikipakiwa.​
Akiongea leo jijini Mwanza, wakati wa kupakia nyama hiyo Mongela amesema safari hiyo ina tija kwa watazanzia kutokana na bidhaa bora ambayo itakuwa inafika sokoni kwa wakati.

''Serikali imefanikiwa kusafirisha mzigo wa kwanza wa nyama, kimsingi mzigo unaopakiwa leo hapa Mwanza unafika Dubai leoleo na hii ni biashara ya kimataifa ambayo unahitaji kufikisha bidhaa bora sokoni'', amesema Mongela.

Naye Mkurugenzi wa kampuni inayosafirisha nyama hiyo, amesema hiyo ni fursa kwa wafugaji wadogo kwani biashara hiyo ikifanikiwa itasaidia kupanua soko hivyo bei ya mifugo hiyo itapanda na kuwanufaisha wafugaji.

Safari hiyo ni ya kwanza ambapo zitafanyika safari zingine mbili na kama zitakuwa na mafanikio itaanzishwa safari ya kila siku kwa ajili ya kupeleka mzigo mkubwa zaidi.
Jamani ndege ya abiria imekuwa cargo plane, makubwa
 
Huo ni mwanzo tu. Tatizo wabongo wengi tunalo tatizo la kushindwa kuifahamu dunia ya kisasa na mahitaji yake.

Hapo maana yake Mwanza imeunganishwa na Dubai, wanunuzi wa mbuzi wanavutwa zaidi ili waifahamu Tanzania ambayo ina mengine mengi zaidi ya mifugo.
 
:oops::oops::oops::oops::oops:!!!!!!!!
 
Rubbish!
 
Back
Top Bottom