First in Africa Boeing 787 Dreamliner ET Unajua trip yake ya kwanza? Kilimanjaro! Ya kwetu?

Kama precision air ya watu binafsi inajipeleka serikali itashindwaje? NIWAKUMBUSHE KUWA shirika la ndege ni alama ya taifa..watalii wanajaa ethiopia na kenya kutokana na maajabu ya mashirika hayo..mwakyembe umeshindwa?

Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mwakyembe kachukua lini wizara ya uchukuzi? Air Tanzania ni ushahidi tosha ya kushindwa kwa utawala wa CCM. Shirika kili lilikufa siku nyingi tangu enzi zile za miaka ya 1980's lakini serikali ikawa inajitutumua kuliendesha juu ya migongo ya wananchi. Wananchi wa Tanzania ni wavumilivu sana tunabebeshwa mizigo mizito mno na CCM jamani mwisho ufike karibuni tumechoka sana.
 
Mmemuweka mpuuzi Mwakyembe kuwa waziri wa uchukuzi naye kamuweka binamu yake shirika limeisharudi ICU.

Sasa watu wake wampelekee taarifa ya uzi huu, apitie aone vijinchi vidogo vinaishinda Tz yenye kila utajiri.

Achukue posho yake aende Sychelles, Mauritius, Rwanda akajifunze kufanya maamuzi magumu kwa mustakbala wa nchi. Au hata apitie hizi link zilizobandikwa hapa, kama ni binadamu apate aibu kidogo na ajifunze kitu.

Air Mauritius

Air Mauritius | Corporate information

Angalia hii Air Mauritius - Wikipedia, the free encyclopedia

Halafu angalia hii Air Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia

Hata web page ya AirTanzania ni kimeo Air Tanzania Company Limited. Air Tanzania flights. Air Tanzania, from Dar Es Salaam to Tabora, Kigoma, Bukoba, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro and Zanzibar.
 
Kama ndiyo hivi najuta kuzaliwa mtanzania hata kilimo cha mananasi kimetushinda mkuu alikuwa Ghana anashangaa hivi siye wabongo tunaweza nini
 
Hili ni vema likajadiliwa kisiasa, WaEthiopia wamenunua ndege ya kisasa kabisa nje ya Japan na ya kwanza ya aina yake Africa, unaajua trip yake ya kwanza? Kilimanjaro, huwezi kuamini dlegetion ya viongozi na media from all over the world: Angalia hapa:
BBC News - Ethiopia gets first Boeing 787 Dreamliner in Africa

Air Tanzania itanunua lini ndege zake used maana TZ tunaongoza kwa Mitumba! I am not proud of this, but it worth saying.

Tunamngoja Mwakyembe aje kujibu.
 
Inatakiwa tuwe na shirika linalopeperusha bendera ya Taifa lililo imara na lishindane na mashirika binafsi kama precisionair. Mimi nawapongeza precision kwa kutumia udhaifu wa serikali yetu na kujiimarisha na sasa ni moja ya mashirika imara sana kushinda mashirika ya nchi kibao za afrika. Kumbuka precision ndo shirika la ndege lenye youngest planes fleet in Africa.

Pitia hizi link ufurahi.
1. https://www.jamiiforums.com/habari-...ege-tatu-kigoma-dar-dr-mwakembe-tusaidie.html

2. https://www.jamiiforums.com/habari-...417-ubabaifu-wa-precision-air-kiutendaji.html
 
Sasa watu wake wampelekee taarifa ya uzi huu, apitie aone vijinchi vidogo vinaishinda Tz yenye kila utajiri.

Achukue posho yake aende Sychelles, Mauritius, Rwanda akajifunze kufanya maamuzi magumu kwa mustakbala wa nchi. Au hata apitie hizi link zilizobandikwa hapa, kama ni binadamu apate aibu kidogo na ajifunze kitu.

Air Mauritius

Air Mauritius | Corporate information

Angalia hii Air Mauritius - Wikipedia, the free encyclopedia

Halafu angalia hii Air Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia

Hata web page ya AirTanzania ni kimeo Air Tanzania Company Limited. Air Tanzania flights. Air Tanzania, from Dar Es Salaam to Tabora, Kigoma, Bukoba, Mwanza, Arusha, Kilimanjaro and Zanzibar.

Mkuu hizo links mbili za hapo chini zitawaharibia watu sikukuu yao!
 
Jamani mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mwakyembe kachukua lini wizara ya uchukuzi? Air Tanzania ni ushahidi tosha ya kushindwa kwa utawala wa CCM. Shirika kili lilikufa siku nyingi tangu enzi zile za miaka ya 1980's lakini serikali ikawa inajitutumua kuliendesha juu ya migongo ya wananchi. Wananchi wa Tanzania ni wavumilivu sana tunabebeshwa mizigo mizito mno na CCM jamani mwisho ufike karibuni tumechoka sana.

Mmeuwa mashirika ya umma yote kwa wizi, msiisingizie CCM, si nyinyi baada ya kubaniwa na CCM ndio mnajidai kuiponda? Mbowe alipata wapi Bilicanasa?
 
Kama ndiyo hivi najuta kuzaliwa mtanzania hata kilimo cha mananasi kimetushinda mkuu alikuwa Ghana anashangaa hivi siye wabongo tunaweza nini

Wabia wenzetu wa muungano wana sababu ya kukataa kujitambulisha kama Watanzania. Umeona eee!

Mkuu kitu ambacho baadhi yetu tunaweza ni usanii, kutoa /kupokea rushwa, kufanya ufisadi, kuficha vijisenti katika benki za nje, kuikolimba nchi yetu, na kingine ambacho tunaweza pitia hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-kejeli-kwa-tanzania-olympic.html#post4418487
 
Hao wabia wenu wa Muungano hawana hata mtumbwi licha ya kuwa wamezungukwa na maji, itakuwa ndege!

Hawataki kujitambulisha kwa mengine labda, ila si kuoza kwa serikali maana yao pia hohe hahe
 
Ndio sababu wanasema,"waachiwe wapumue" ili wapate kununua hiyo mitumbwi.

Tumeshindwa kula na kipofu.

Dr. Shein tayari ameagiza Titanic no. 2.
 
ATL wana ndege mbili halafu zote mbovu pamoja na wafanyakazi 50.
 
Ndio sababu wanasema,"waachiwe wapumue" ili wapate kununua hiyo mitumbwi.

Tumeshindwa kula na kipofu.

Dr. Shein tayari ameagiza Titanic no. 2.

Haya tusubiri tuone matokeo ya hayo maagizo. Manake kama maagizo pekee ni tija, Tanzania sasa ingekuwa peponi
 
Inatakiwa tuwe na shirika linalopeperusha bendera ya Taifa lililo imara na lishindane na mashirika binafsi kama precisionair. Mimi nawapongeza precision kwa kutumia udhaifu wa serikali yetu na kujiimarisha na sasa ni moja ya mashirika imara sana kushinda mashirika ya nchi kibao za afrika. Kumbuka precision ndo shirika la ndege lenye youngest planes fleet in Africa.

Jaman tusifie wanajitahid lakin ukweli lazima tuongee, precision haina youngest fleet kuliko wote in africa, ndege zake zina kelele hata kama upo ndani huna amani, unajua youngest fleet wewe..m we unaona ethiopia wananunua dream liner ya 2012 halafu unasema precision ndo wana youngest fleet, what about kenya airways, zambezi, egypt air na wengineo, kusema kweli precision napanda basi tu as no more options in countryside trips but ukweli nakosaga amani napokuwa angani.. Hata 540 yaani ndege zetu zote wasiwasi....

Ukitaka kujua youngest fleet inakuaje panda qatar ya saa 7 from dar to doha ndo utajua huwa inakuaje, precisions ni used zile
 
Inatakiwa tuwe na shirika linalopeperusha bendera ya Taifa lililo imara na lishindane na mashirika binafsi kama precisionair. Mimi nawapongeza precision kwa kutumia udhaifu wa serikali yetu na kujiimarisha na sasa ni moja ya mashirika imara sana kushinda mashirika ya nchi kibao za afrika. Kumbuka precision ndo shirika la ndege lenye youngest planes fleet in Africa.

Jaman tusifie wanajitahid lakin ukweli lazima tuongee, precision haina youngest fleet kuliko wote in africa, ndege zake zina kelele hata kama upo ndani huna amani, unajua youngest fleet wewe..m we unaona ethiopia wananunua dream liner ya 2012 halafu unasema precision ndo wana youngest fleet, what about kenya airways, zambezi, egypt air na wengineo, kusema kweli precision napanda basi tu as no more options in countryside trips but ukweli nakosaga amani napokuwa angani.. Hata 540 yaani ndege zetu zote wasiwasi....

Ukitaka kujua youngest fleet inakuaje panda qatar ya saa 7 mchana from dar to doha daily ndo utajua huwa inakuaje, precisions ni used zile
 
waziri wetu yuko busy kushuguikia kuchomelea mabehewa ya treni na uniform za ma airhostess zilizoagizwa china...hovyo kabisa hii nchi
 
Ethiopian Airlines has bought 10 of Boeing's flagship aircraft, which are built from lightweight material, rather than aluminium, to save fuel!!!
 
waziri wetu yuko busy kushuguikia kuchomelea mabehewa ya treni na uniform za ma airhostess zilizoagizwa china...hovyo kabisa hii nchi

anasafiri kwa treni ili aonekane anajali walalahoi badala ya kukaa ofisini na kuaanda mikakati ya nchi kuwa na shirika la ndege madhubuti
 
Kwanini yale mabilioni yaliyopo uswis na marekani yasitumike kununulia hilo boing hata moja
 
Back
Top Bottom