Fidel Castro ajitabiria kifo

Fidel Castro ajitabiria kifo

Daah! Kumbe Fidel Castro ni mdogo Ki Umri kwa Mzee Mwinyi lakin sasa pamoja na u Field marshal wake hawezi kusimama bila ya Msaada wakat Mzaramo wetu wa Mkuranga anashiriki mpaka marathon fupi
Sasa huyo mwinyi wako amefanyia nini taifa,casto amefanya kazi zote ngumu duniani
 
Sasa huyo mwinyi wako amefanyia nini taifa,casto amefanya kazi zote ngumu duniani

Tunazungumzia Afya ya Mwili acha mihemko Uchwara !

Wakat Mwingine ruhusu akili yako kuwaza nje ya Siasa hapa tunazungumzia Afya ya Mwili na ikiwezekana lipatikane Darsa la namna ya kutunza Mwili!

Warioba kazidiwa na Mwinyi 15 years lakin Bapa zimemchosha nae utasingizia kazi ndo zilimchosha?
 
95863447_Fidel_Castro_who_claims_that_he_will_die_soon-large_trans++eo_i_u9APj8RuoebjoAHt0k9u7HhRJvuo-ZLenGRumA.jpg

Rais wa zamani Cuba, Fidel Castro awaaga wajumbe wa Chama Cha Kikomunisti Cuba na kuwaambia atakufa siku si nyingi lakini mapinduzi yataishi

Mwanamapinduzi na kiongozi mzalendo wa Taifa Timamu la Cuba atamka alamsiki kama babu zetu walivyofanya.

Si kitu rahisi lakini hana budi .

Alizaliwa kijijini Biran mwaka 1926.
Mwaka 1955 alipokea tuzo ya Batista.Bwana huyo aliweka record ya kuogelea kipande kirefu baharini na kuingia nchini Cuba na kufanikisha mapinduzi.

Amina.
Amefariki
 
huyu atakuwa kaongea na chama chake jana ila leo kajiuaa kajitoa mhanga
 
hakuna kitu kirahisi kutabiri kama kifo sababu ni lazima kitokee tu kwa kila aliye hai.haya NA mi natabiri Mimi na nyie tutakufa.anayeupinga utabiri wangu aseme hatutokufa.

kifo ni ahadi lazima itimie
 
Sasa umri huo unatabiri nini tena? mleta mada poyoyo kweli kweli.
Sasa mwandishi ana kosa gani kwani yeye ndio amemtabitia kifo au ametoa taarifa juu ya utabiri wa kifo chake mwenyewe,amendika "... awaaga wajumbe wa Chama Cha Kikomunisti Cuba na kuwaambia atakufa siku si nyingi lakini mapinduzi yataishi....." ukizingatia kauli taarifa hapo kulikuwa hakuna haja kupinga tena.
 
Mleta uzi ndiyo kaandika. Sijaona "source" wala "citation" ya kuwa si yake hayo. Wewe umeiona?
 
Tunazungumzia Afya ya Mwili acha mihemko Uchwara !

Wakat Mwingine ruhusu akili yako kuwaza nje ya Siasa hapa tunazungumzia Afya ya Mwili na ikiwezekana lipatikane Darsa la namna ya kutunza Mwili!

Warioba kazidiwa na Mwinyi 15 years lakin Bapa zimemchosha nae utasingizia kazi ndo zilimchosha?
kwani umeambiwa mimi nazungumzia afya ya nini?? mimi nimekujibu kauli yako unavyosema kuwa casto alikuwa na 90yrs lakini kachoko kuzidi mwinyi ambaye naye ana 90 yrs-nikakujibu kuwa majukumu aliyokuwa anafanya casto kipindi yupo kijana ni tofauti kabisa na ya Mwinyi-casto alikuwa commandor amepigana vita vya kila aina za kiakili na kimwili tofauti na huyo Mwinyi wako kwa hiyo ni lazima atachoka sana uzeeni
 
Tunazungumzia Afya ya Mwili acha mihemko Uchwara !

Wakat Mwingine ruhusu akili yako kuwaza nje ya Siasa hapa tunazungumzia Afya ya Mwili na ikiwezekana lipatikane Darsa la namna ya kutunza Mwili!

Warioba kazidiwa na Mwinyi 15 years lakin Bapa zimemchosha nae utasingizia kazi ndo zilimchosha?
pili acha kukariri kama hujui sema uambiwe dunia ni siasa na Siasa ndio dunia -politics is about power and authority! kila kitu duniani kinafanyika kutokana na siasa!.
 
Back
Top Bottom