Fidel Castro ajitabiria kifo

Fidel Castro ajitabiria kifo

Bibi mtake radhi mleta mada kwa hiyo ukiwa na umri kama wa F Castro unapaswa kujitabiria kifo??? Basi aanze Mzee mwinyi wa 1925 kujitabiria kifo ambae kwa sasa ana miaka 91 hiyo aliyofanya Castro ni akili yake binafs hata wa miaka 50 anaweza fanya hivyo haihusian na umri bibi yangu afu kwan na wewe faiza hujajitabiria tu hadi leo????
 
R.I.P Fidel " history will absolve you"
 
Hao ndiyo walilipa heshima gwanda likaonekana vazi la kianaharakati,vazi la ukombozi leo hii wanavaa makanjanja wapiga dili tu halina tofauti na batiki tena.

Siku hizi Wavaa Gwanda kazi Yao kususa na kufunika Midomo na Karatasi.

Siku hizi Jamaa zetu wamelifanya Gwanda Liwe sawa na Batiki za kwny send off
 
Bibi mtake radhi mleta mada kwa hiyo ukiwa na umri kama wa F Castro unapaswa kujitabiria kifo??? Basi aanze Mzee mwinyi wa 1925 kujitabiria kifo ambae kwa sasa ana miaka 91 hiyo aliyofanya Castro ni akili yake binafs hata wa miaka 50 anaweza fanya hivyo haihusian na umri bibi yangu afu kwan na wewe faiza hujajitabiria tu hadi leo????

Hukumuelewa Faiza fox, yeye alishangaa Mtu wa Umri wa Miaka 90 kujitabiria kifo, Hiyo ni sawa na Mama Mjamzito alie tayari Wodi ya Wazazi kujitabiria kuwa atajifungua hivi karibuni!
 
Daah! Kumbe Fidel Castro ni mdogo Ki Umri kwa Mzee Mwinyi lakin sasa pamoja na u Field marshal wake hawezi kusimama bila ya Msaada wakat Mzaramo wetu wa Mkuranga anashiriki mpaka marathon fupi
Kunatofauti kubwa sana kiafya kati ya mtu anayeshinda vibarazani kafunga msuli huku akicheza BAO au akinywa kahawa , na mtu anayekesha porini, akipambana na maharamia wanaotaka kuchukua/kuvamia mji au ardhi yake.
 
Ki Afya anaeshinda Porini kwny Mapambano atakuwa na Afya zaidi kwa ushiriki wake wa kazi za kujenga Mwili, anaeshinda Vibarazani na kahawa atachoka zaid kwa kuwa hashughulishi Mwili wake

Ngoyai kazidiwa na Mzee Mwinyi kwa Miaka 28 jee nae alikuwa anashinda Maporini kupambana na Maharamia?
 
Hivi huyu Fidel Castro si rika moja na Mugabe?dah mwenzake anajiandaa kupumzika milele Mugabe yeye anawaza kugombea tena urais.
 
Jmn Hv Tz ya leo hakuna hata kijana mmoja mwenye tabia Kama za castrol au uzalendo uliishia Kwa Nyerere???
 
Hivi ww upoje, unakauli mbayambaya khaa

Kauli nzuri ni ipi? Hivi wewe unaishi bila kutegemea kufa?

Amma kwa hakika hiyo nayo ni tofauti kubwa sana ya kuwa umejaa ujinga. Sisi tunaamini kifo ni haki.
 
Back
Top Bottom