Wamarekani walijaribu kila njama kumuua castro lakinio hawakuweza. Long live mzee kwa kulitendea haki gwanda. Kwa wema wako nakuheshimu, pembeni nakumbuka ulivyomwambia che guavara aje lakini alikataa mwisho wa siklu shujaa wetu akauliwa bilivia. Ila bado upendo wako kwa huyu jamaa haukupotea kwani ulitafuta mabaki ya mwili wake na hatimaye uliyapata na kwenda kuyazika havana pale na kuweka sanamu kwa ajili ya kumuheshimu huyu shujaa, R.I.P Che guavara. Miafrika mijinga tuu naamini Kabila angelika active ungekuta DRC wapo mbele kimaendeleo.