denoo49
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 6,113
- 6,953
YA Zimbabwe ni ngapi?Kasome life expectancy ya Cuba.
YA Zimbabwe ni ngapi?Kasome life expectancy ya Cuba.
YA Zimbabwe ni ngapi?
Hivi kwanini Faiza una matusi sana kwa wakubwa wenzio?
Wakati mwingine tuanzie kwenye familia zetu je baba yako yupo au babu yako ana umri gani? Kuishi na kufa ni mipango ya munguTunazungumzia Afya ya Mwili acha mihemko Uchwara !
Wakat Mwingine ruhusu akili yako kuwaza nje ya Siasa hapa tunazungumzia Afya ya Mwili na ikiwezekana lipatikane Darsa la namna ya kutunza Mwili!
Warioba kazidiwa na Mwinyi 15 years lakin Bapa zimemchosha nae utasingizia kazi ndo zilimchosha?
Hivi unapomuita mwenzio poyoyo una maana gani? Je neno hilo poyoyo unaweza kulutumia kwa mama yako mzazi?Tusi liko wapi?
Hivi unapomuita mwenzio poyoyo una maana gani? Je neno hilo poyoyo unaweza kulutumia kwa mama yako mzazi?
Wakati mwingine tuanzie kwenye familia zetu je baba yako yupo au babu yako ana umri gani? Kuishi na kufa ni mipango ya mungu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Faiza mama haya Tufanye umeshinda, ila uwe unapima uzito wa maneno maana mengine yana viashiria vya udharirishajiPoyoyo siwezi kulitumia kwa mama yangu mzazi kwa sababu yeye si poyoyo.
Hilo siyo tusi.
Hivi wewe hujawahi kufanya mchezo wa matusi?
Kichwa chako!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] Faiza mama haya Tufanye umeshinda, ila uwe unapima uzito wa maneno maana mengine yana viashiria vya udharirishaji
Asante Mwl wa kiswahili= udhalilishaji
pole sana mkuuJamani Mzee Castro! Mungu aendelee kumpa uhai mrefu,sitaki kusikia habari za kifo chake kabisa.
Sikukuuliza mama' ko ili nikudhalilishe Hapana, ila ukweli ndio huo huwezi muita mtu mzima mwenzio Poyoyo, jiheshimu we Dada kubali ukatae muda mwingine ni vyema ukapima maneno yako= udhalilishaji
Hizo ni hisia zako, au wewe ulivyouliza kuhusu maman'gu ulifikiri ni udhalilishaji? Mbona kawaida tu.
Ukiyavulia nguo uyaoge.
Hicho kiajuza Faizafoxy kwa umri hakina mpinzani humu ndio maana kinatukana kila mtu,kina umri karibu na castroHivi kwanini Faiza una matusi sana kwa wakubwa wenzio?
Sikukuuliza mama' ko ili nikudhalilishe Hapana, ila ukweli ndio huo huwezi muita mtu mzima mwenzio Poyoyo, jiheshimu we Dada kubali ukatae muda mwingine ni vyema ukapima maneno yako
Hicho kiajuza Faizafoxy kwa umri hakina mpinzani humu ndio maana kinatukana kila mtu,kina umri karibu na castro
Poyoyo mama yako mzazi, mpuuzi nn hivi unadhani nani hajui kutukana? Mchezo wa matusi ukiujua wewe na mama yako inatosha sio lazima wengine tuucheze!We poyoyo kweli kweli, ni nani alikwambia umenidhalilisha? Amma unachokisoma hukielewi au unakipa maana zako za kiajabu-ajabu kutokea kichwani mwako.
Hujawahi kucheza mchezo wa matusi?
Mbona hilo lako binafsi unapiga chenga kulijibu? Ilhali umeniuliza la maman'gu nimekujibu.
Team Lumumba MNA mtindio wa ubongo maana hamjielewi kabisaHeri ya buku saba kuliko viroba.
Yaani Mkuu hiki kizee kimekosa busara kabisa! Kila kitu kinajifanya mjuaji kumbe hana lolote zaidi ya kushambulia watuHicho kiajuza Faizafoxy kwa umri hakina mpinzani humu ndio maana kinatukana kila mtu,kina umri karibu na castro