DARK HORSE
Member
- Jun 21, 2016
- 59
- 76
2-1
Hahaaaa yaani yananiuzi haya majamaa mpaka sio vzr. Lkn tunashinda 3-2 mkuuMajamaa yanakimbia mbaya..Barca hawachezi tena ule mpira wao.
Utafikiri mapaka shume yameona nyama...Hahaaaa yaani yananiuzi haya majamaa mpaka sio vzr. Lkn tunashinda 3-2 mkuu
Wameruhusu goli nyingi sana msimu huu, zaidi ya 30. Kocha angepanga kikosi vizuri tungewapiga nyingi sana. Ila huyu Eusebio ndiyo ilitakiwa tumchukue sijui walishindwana nini?Paulinhooo 39'
Eusabio pamoja na mbinu zake zote...ila nyuma ni mbovu sana wa counterattack
Utajisikia aibu hadi dakika 90 zikiishaPigaaaaaaaaa umbwaaaaaaaaa hawaaaaaaaaaaa
Hahaaa. Hivi padri mcharo bado yupo humu jukwaani?Valverde ni mpumbavu akili zake kama za padri mcharo
Nahisi wanamchezesha wakitegemea ataperform ili wamuuze. Hivi ni kweli Valverde kasema hatamuuza?Arrangements za kocha niliziogopa kuanzia mwanzo mwenzenu mimi nikimuona tu Gomes nanywea aisee am very sorry for this mchezaji mzitoo kama nyumba
ID Yake ile ya CCP ENGINEER ilikuja kuomba mkopo wa million 5 kuna uzi alianzisha ila nahisi ameolewa maana vyuma vimekazaHahaaa. Hivi padri mcharo bado yupo humu jukwaani?