adrenaline
JF-Expert Member
- Jun 17, 2015
- 3,952
- 6,153
Daah hawa madogo
Madogo kama wamekula pili pili leoGame inabidi to win katikati na Rakitic yuko chini ya kiwango leo second half Iniesta inabidi aingie
Kusubiri hadi kipind cha pili tutakula 4 hapaGame inabidi to win katikati na Rakitic yuko chini ya kiwango leo second half Iniesta inabidi aingie
Naona kama hawa jamaa wamezidi🙂Kuna nini leo