FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Angekuwa yule mbaguzi pep huenda angemuuza, pep anapenda sana wakatalunya. Sitamsahau kwa kumuondoa eto'o na kutuletea Ibrahimovic.
Usiseme ni ubaguzi moja kwa moja huenda kuna technical reasons kocha aliziona kama ni ubaguzi iweje alimnunua Seydou Keita? Wakati naye ni mweusi?
Mbona hausemi kuhusu toure kwa busquets?
Napo pia alifanya ubaguzi? au huoni shughuli ya sergio
 
Mkuu umenikumbusha kitu, kipindi Toure anaondoka Sergio Busquet ndio alikuwa anakuja kwa kasi sana. Nadhani kocha aliona umri wa Busquet ni mdogo ukilinganisha na Toure kwa hiyo aka opt kumuuza mkubwa
 
Lionel Messi ameifikia rekodi ya Gerd Muller iliyodumu kwa muda mrefu kwa kuweka kimiani magoli 365 ya La Liga kwa Barcelona.
Mkali huyo wa Kiargentina alifungua ukurasa wa magoli kwa miamba wa Catalan Jumapili kwa goli la kiufundi dhidi ya Levante.
Messi aligongeana na mchezaji mwenzake mkongwe Jordi Alba na kumalizia kwa kuukwamisha wavuni mpira kuipa goli la kuongoza 1-0 timu yake ugenini katika ushindi wa 3-0 ugenini.

Na, kwa kufanya hivyo, La Pulga alilingana magoli na supastaa wa zamani wa Bayern na Ujerumani akiifikia rekodi ambayo imedumu kwa muda wa miaka 39.
Sasa amefunga magoli 365 akiwa Blaugrana katika mechi 400 za La iga, akiifikia rekodi hiyo ya kihistoria ya Muller aliyofanikiwa kuiweka Muller kwenye klabu moja miongoni mwa Ligi Kuu tano za Ulaya.

Rekodi inaweza kuvunjika Jumapili ijayo Barca watakapoitembelea Real Sociedad.
Cha zaidi, Messi aiifikia rekodi kwa mechi 27 pungufu za gwiji huyo wa Bayern Muller, ambaye alihitaji mechi 427 kufikia idadi hiyo ya magoli.
Messi tayari ameshavunja rekodi moja ya Muller mwezi Desemba, akifunga goli lake la 526 kwa Barcelona kwenye michuano yote dhidi ya Real Madrid na kuipiku idadi ya Mjerumani huyo akiwa kwenye kabu moja.
Na baada ya kiwango safi dhidi ya Levante ambacho pia kilihusishwa pasi ya goli, hakuna atakayebisha kuwa nambari 10 huyo ataendelea kuingia kwenye vitabu vya rekodi misimu ijayo.
 
Safi sana, uko vzr kwa rekodi
 
b79f9b529fb4ce5ad9f46c48a532d741.jpg
 
Ndo manake.....pique anastaafia barca
Unajua kuchezea Barca,Quality na Vision pekee havitoshi-Positional acumen ya mchezaji with or without the the ball ni very important ndio maana Neymar mwaka wa kwanza Barca alikuwa wa kawaida sana.Semedo mbali na quality yake bado aafundishwa kuji position.Dembele na ustar wake bado aja master mpangilio wa Barca-over time wata master the Barca way na wata flourish.Usishangae Turan akaenda elsewhere na akacheza good soccer hata kama the Barca way imemshinda
 
Uhamisho wa Philippe Coutinho wa £142m kujiunga na Barcelona ulithibitishwa Jumatatu baada ya mchezaji huyo kutambulishwa rasmi kwa mashabiki Nou Camp.
Mbrazil huyo wa miaka 25 alitia saini mkataba akiwa pamoja na rais wa klabu hiyo Josep Maria Bartomeu, kabla ya kutambulishwa rasmi kwa mashabiki.
Liverpool na Barca waliafikiana kuhusu uhamisho wa Coutinho Jumamosi.
"Ningependa kumshukuru rais na kila mtu aliyechangia kufanikisha hili," amesema Coutinho.
"Nina furaha sana, ni ndoto ambayo imetimia na natumai kwamba nitafanya kazi yangu vyema uwanjani."

Bartomeu ameongeza: "Mashabiki wote wa Barca wana furaha kumuona Coutinho hapa."
Coutinho alifanyiwa uchunguzi wa kimatibabu na ingawa alibainika kwamba ana jeraha paja la kulia, alikamilisha uhamisho wake.
Jeraha hilo lilimzuia kucheza mechi ambayo Liverpool walilaza Burnley 2-1 siku ya mwaka Mpya.
Barcelona wamesema kiungo huyo wa kati huenda akakaa nje wiki tatu hivi.
Hii inaashiria kwamba anaweza kutarajiwa kucheza debi ya Catalona dhidi ya Espanyol tarehe 4 Februari.
_99508155_coutinho_reuters1.jpg
 
Coutinho atafanyiwa uchunguzi wa kiafya leo Jumatatu na kutangazwa rasmi kama mchezaji wa Barcelona lakini kuanza kwake kucheza kunaweza kucheleweshwa kutokana na jeraha.
 
Tetesi

Nyota wa Barcelona Lionel Messi ametaka Philippe Coutinho kuwepo katika kikosi cha kwanza badala ya Ousmane Dembele. (Diario Gol)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom